OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Waliona washafika kilele cha mafanikio.
Waliona washafika kilele cha mafanikio.
Hawa ndio strikers wanaotakiwa kuvaa zeji y chelsea, haaland ukiniambia atakuja kufanya makubwa nitakuelewa mana ana kipaji, ukizubaa kidago tu kashaweka kambani. Sio ngongoti wenu hana hata anachoonyesha halafu mnasema atakuja kuwa mchezaji mzuri.Chelsea wanamtaka Haaland
Haaland top priority for Chelsea
Blues eye up Dortmund striker
Erling Haaland is Chelsea's top priority in next summer's transfer window, according to Sky Sport Italia.
The Borussia Dortmund striker has been in excellent form once again for the Bundesliga outfit this season, and continues to burnish his reputation at home and abroad.
But the Leeds-born Norway international is now at the top of Frank Lampard's wishlist, with the striker seen as a must-have by the Blues
Yawapasa kutafakari. Giroud, Werner, Tammy, ... wote hawatoshi mpaka mnamtaka Haaland. Kuweni makini na mipango yenu.Chelsea wanamtaka Haaland
Haaland top priority for Chelsea
Blues eye up Dortmund striker
Erling Haaland is Chelsea's top priority in next summer's transfer window, according to Sky Sport Italia.
The Borussia Dortmund striker has been in excellent form once again for the Bundesliga outfit this season, and continues to burnish his reputation at home and abroad.
But the Leeds-born Norway international is now at the top of Frank Lampard's wishlist, with the striker seen as a must-have by the Blues
Sioni hilo dili lilifanikiwaYawapasa kutafakari. Giroud, Werner, Tammy, ... wote hawatoshi mpaka mnamtaka Haaland. Kuweni makini na mipango yenu.
Barcelona nao baada ya kupata pesa ya Neimar wakawa na ukwasi mwingi na kuanza kununua tu bila mipango thabiti; Malcom, Dembele, Griezmann, Coutinho, De Jong, ... Sasa hivi hata wakimtaka Depay hawawezi bila kuuza kwanza! Walipomtaka Dest iliwalazimu kumuuza Semedo.
Nyinyi kufungiwa yale madirisha matatu na kuwekeza kwa vijana wadogo kutoka academy kumewajengea msuli mkubwa wa kufanya manunuzi na hivyo sasa hivi mnataka kuinunua dunia nzima.
Jiangalieni.
Giroud hana maisha marefu stamfordYawapasa kutafakari. Giroud, Werner, Tammy, ... wote hawatoshi mpaka mnamtaka Haaland. Kuweni makini na mipango yenu.
Barcelona nao baada ya kupata pesa ya Neimar wakawa na ukwasi mwingi na kuanza kununua tu bila mipango thabiti; Malcom, Dembele, Griezmann, Coutinho, De Jong, ... Sasa hivi hata wakimtaka Depay hawawezi bila kuuza kwanza! Walipomtaka Dest iliwalazimu kumuuza Semedo.
Nyinyi kufungiwa yale madirisha matatu na kuwekeza kwa vijana wadogo kutoka academy kumewajengea msuli mkubwa wa kufanya manunuzi na hivyo sasa hivi mnataka kuinunua dunia nzima.
Jiangalieni.
Hana maajabu ngongotiHawa ndio strikers wanaotakiwa kuvaa zeji y chelsea, haaland ukiniambia atakuja kufanya makubwa nitakuelewa mana ana kipaji, ukizubaa kidago tu kashaweka kambani. Sio ngongoti wenu hana hata anachoonyesha halafu mnasema atakuja kuwa mchezaji mzuri.
Wewe ni nani hadi uoinge mipango ya Club kubwa kama ChelseaYawapasa kutafakari. Giroud, Werner, Tammy, ... wote hawatoshi mpaka mnamtaka Haaland. Kuweni makini na mipango yenu.
Barcelona nao baada ya kupata pesa ya Neimar wakawa na ukwasi mwingi na kuanza kununua tu bila mipango thabiti; Malcom, Dembele, Griezmann, Coutinho, De Jong, ... Sasa hivi hata wakimtaka Depay hawawezi bila kuuza kwanza! Walipomtaka Dest iliwalazimu kumuuza Semedo.
Nyinyi kufungiwa yale madirisha matatu na kuwekeza kwa vijana wadogo kutoka academy kumewajengea msuli mkubwa wa kufanya manunuzi na hivyo sasa hivi mnataka kuinunua dunia nzima.
Jiangalieni.
Mkuu, ni marufuku kujadili kuhusu Chelsea bila kujitambulisha?Wewe ni nani hadi uoinge mipango ya Club kubwa kama Chelsea

Mkimsajili Haaland mtaingia rasmi kwenye ulingo wa Raiola.Giroud hana maisha marefu stamford
Kwa nini unadhani hivyo mkuu.Sioni hilo dili lilifanikiwa
Hapo atauzwa Giroud atanunuliwa HalaandYawapasa kutafakari. Giroud, Werner, Tammy, ... wote hawatoshi mpaka mnamtaka Haaland. Kuweni makini na mipango yenu.
Barcelona nao baada ya kupata pesa ya Neimar wakawa na ukwasi mwingi na kuanza kununua tu bila mipango thabiti; Malcom, Dembele, Griezmann, Coutinho, De Jong, ... Sasa hivi hata wakimtaka Depay hawawezi bila kuuza kwanza! Walipomtaka Dest iliwalazimu kumuuza Semedo.
Nyinyi kufungiwa yale madirisha matatu na kuwekeza kwa vijana wadogo kutoka academy kumewajengea msuli mkubwa wa kufanya manunuzi na hivyo sasa hivi mnataka kuinunua dunia nzima.
Jiangalieni.
Same to you
Raiola kasema Haaland anataka Uefa, mnaweza kuibeba ili kambi yake itulie?Hapo atauzwa Giroud atanunuliwa Halaand
Project tunayoiandaa sasa hivi nikuajili ya kubeba uefa na league msimu ujao Kuna baadhi ya magarasa yaliyosalia pale Chelsea yataondolewa kama jorginho,Emerson,Alonso,Mosses,bbakayoko na Christensen tutaongeza baadhi ya wachezaji wa class A wamewalenga Ni Jimenez wa ATM, Halaand,Alaba na Declan rice wa Westham.Raiola kasema Haaland anataka Uefa, mnaweza kuibeba ili kambi yake itulie?
Fanyeni hima overhaul isichukue muda mrefu. Mara nyingi inapochukua muda mrefu kumbadilishia kocha mpya kikosi risk ya squad unrest huwa juu ikisababishwa zaidi na expendables wa kocha huyo.Project tunayoiandaa sasa hivi nikuajili ya kubeba uefa na league msimu ujao Kuna baadhi ya magarasa yaliyosalia pale Chelsea yataondolewa kama jorginho,Emerson,Alonso,Mosses,bbakayoko na Christensen tutaongeza baadhi ya wachezaji wa class A wamewalenga Ni Jimenez wa ATM, Halaand,Alaba na Declan rice wa Westham.
Swali gumu Hilo ila nachoona Giroud na Abraham wamemzidi Werner kwa kuwa Ni clinical kwenye goalJe Pulisic na Ziyech wakiwa wazima kabisa na kwenye form yao, unadhani Werner anaweza kuwaweka Bench akina Tammy na Giroud?