lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,483
Hizi timu zilizotuuzia wachezaji ndio kwanza zinafanya vizuri kuliko wakati akina Havertz na Timo walipowemo kwenye timu hizo
Leverkusen ni ya pili point moja nyuma ya Bayern wanaoongoza ligi na Lepzig ya tatau na wamefungana point na Bayern Lerkusen wote wakiwa na points 28 ktk mechi 13
Je hii inamaanisha Havertz na Werner hawakuacha pengo huko?