Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wakuu naomba mwenye link ya kutazama mpira huu anisaidie
 
Wewe unatazamia link gani mkuu? Nipe hiyo hiyo ya kwako nitizamie
Nikualike tuangalie hapa? Check Kuna app Playstore Something like World Football, nimesahau. Huwa inaonyesha mechi live
 
naona mnabebwa mmefungwa goli liko wazi kabisa jamaa hata hajaguswa refa kaweka faulu
 
Tammy anatakiwa apumzike. Jorginho pia anatakiwa kupigwa sub.
Sema inabidi kuwa makini mavna Thiago ni kama kaumia na sub zinaisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom