Carlo AncelotiMakocha wenye uwezo wa kuchukua makombe wanajulikana
Hesabu hazidanganyi
Klop
Jose morhino
Pep guardiola
Hao ndio wananyota na vikombe
Hao wengine sijui
Lampard
Ole
Arteta
Hao ni wasindikizaji tu ,hawana pumzi kabisa
Siku mtakapolijua hili ndio mtakapo jua kuwa hamjui, na mnapoteza muda
Akipewa arsenal anatwaa Uefa na top four uhakika...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tatizo la hizi forum za kidijitali hatuonani kwa sura, tunabishana tuuu! Saa nyingine inaweza kuwa lizee la miaka 50 anabishana na kitoto cha miaka 13
Europa off courseEuropa au Champions League?
Europa off course
Okay, naona umempa sifa nyingi sana ambazo nahisi kama umezidisha.
Sidhani kama bado ana hizo qualities.
Mara pap man city na bayanNdg makocha wote wako hivyo. Ni MOU tu anajul kwa kutweak wachezaji ili apate matokeo pamoaj na kwamba naye MOU ana wachezaji wake wanaojua counter attack kama akina Son na Kane. PEP anategemea soko, Klopp kaingia sokoni vizuri kabla ya hapo mnamjua alikuwaje hata kule Dotmond. Tumpe tu fursa aendelee kuijenga timu angalau kwa mwaka huu. Mwaka kesho akiendelea kuwa na mixed results kama hizi surely atatimuliwa
Hapo ndio naonaga kama lampard sio kocha, mshabiki unaona lakini yeye yupo pale pale uwanzani na hata haoni. Havertz hakutakia hata kumaliza half time.Inaweza kuwa jana formation ni ile ile ya 433 lakini Kai kucheza winga hawezi bora angemuweka Mount kule anamudu nafasi nyingi Au angemuweka Timo kulia na yule dogo Faustino Anjorin winga wa kushoto
Kwa hiyo City sio tittle contenderNahisi baada ya Mwezi huu au precisely baada ya January, Title contenders watajulikana na bila kubaatisha watakuwa ni Liverpool na Spurs ndio pekee wako serious. Sisi Chelsea ilikuwa tu ni kushowcase vitu tulivyonunua kwa bei ghali. Najua wataendelea kucheza vizuri ila sio kwa kuchukua ubingwa tusijidanganye mchana kweupe. Tunaweza kufight tukabaki top 4 dhidi ya akina manue, city, Lcity, Southamptom na Astonvilla lakini ubingwa tusahau tusije pata unwanted strokes, diabetes, HT nk
Mwache aendelee kujichetuaKwa hiyo City sio tittle contender
Cha muhimu tusiwe na injuryHao jamaa tunaweza kuwazuia wasitufunge kimbembe ni kuwafunga wao kazi ipo kwenye ku unlock hiyo defensive yao wazee wa kupark bus.