Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu naona mshaleta visingizio mapema


Psychologically tayari mmeshatolewa, kwa sababu mmekata tamaa mapema dhidi ya mpinzan wenu

Man City vs Real madrid (16 bora msimu umeopita )

Unafikili kumtoa Madrid ni rahisi


Achen kulia lia
Then mkaishia wapi?
 
Mkuu naona mshaleta visingizio mapema


Psychologically tayari mmeshatolewa, kwa sababu mmekata tamaa mapema dhidi ya mpinzan wenu

Man City vs Real madrid (16 bora msimu umeopita )

Unafikili kumtoa Madrid ni rahisi


Achen kulia lia
Mashabiki wapuuzi ndio wako ivyo ila kwa sisi solid fans huwa tunasema mlete yoyote. Hata wao Atl Madrid wanapata tumbo joto baada ya kusikia tumepangwa nao
 
Mpira ni karata ukichanga karata zako vizuri. Unapata matokeo. Ila husipochanga vema unaambulia point 0.
Always chelsea
 
Acha kutupotezea muda nyie city mnajua nini kuhusu UCL? Sisi tuna kombe la UCL tunafahamu tunachokiongea hapa.

We nenda kabishane na Arse8, Tote na mafutuhi wengine.

Kuhusu UCL Tutabishana hapa liverkuku, nyumbu, Bayern, Madrid, Barca.
Nyie mnajua nin sasa kuhusu ucl, mmechukua enzi hizo za kina drogba

We talk about current issues

Acha kutembelea historia


Historia hazitawasidia kumfunga atletico February

Kenge wa mayai wewe
 
Chelsea imeshajikatia tamaa kabla hata hawajaingia uwanjan


Semion atawamaliza
Kuna movie ya mhongkong anaitwa Jacky chan inaitwa drunken master yaani anajifanya kalewa lakini msogelee uone, ndo mfumo lampard atatakiwa autumie kwenye 433 yake
 
Timu ikishakua na huyo lele mama, tayari tushapoteza.
Shida yetu sisi wabongo huwa hatupendi kuwapa watu nafasi
Mara nyingi huwa tunajump kweny conclusion kwamba huyu dg hafai

Ila muda utaongea, itamchukua kai muda kuadapt epl, inabidi apate nafasi si vidakika vichache wakat tim ishashinda inabid apambane akikishe tim inapata matokeo kuanzia mwanzo
 
Mendy
Reec james zouma thiago chilwel
Kai kante mount
Werner giroud pulisic

Giroud baada ya game 2 kufunga goli 5 naona sasa hivi amekuwa regular kwenye starting role.

Huyu jamaa hana maajabu yoyote, subirini apitishe mechi 10 bila goli ndo mtaelewa.
 
Mtakaoangalia mtupe updates mimi huku umeme umekata
IMG-20201215-WA0004.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom