kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 6,198
- 15,941
Taratibu tunaheshimiana tu,,,
Sisi msimu huu target ni uefaMan city mtajuta kwanini mlisonga mbele kwenye ucl maana huko mkitolewa ni kuja kupambania Carabao.
Ilikua wachukua misimu mingapi kuwa na kikosi kilichochukua UEFA na EPL?Liverpool wakati anafungwa na Watford 3 - 0 msimu ulioisha alikuwa amecheza game 43 bila kupoteza.
Huyo sasa ndiyo level yako.Ni kweli inawezekana nawe ulizaliwa na mmbwa ndiyomaana unajibizana na jibwa hahaaaaa...
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Mmefika nusu mara mbili na mara nyingine zote mnatolewa kwenye mtoano.Sisi msimu huu target ni uefa
Tumeongoza group kwa Point nying sana
Sasa atakayekuja mbele yetu, tunamnyoosha .
Chelsea ukiwaangalia unaweza fikili wapo serious, kumbe hawajui wanataka nini msimu huu
UEFA hawawezi
Epl inawatoa jasho
Carabao hoi
Fa hawawezi
Huyu nayesema haya ni shabiki wa Man City anasahau walipokua bora walishindwa kuchukua UEFA sasa hivi wapo eti wanawaza UEFASisi msimu huu target ni uefa
Tumeongoza group kwa Point nying sana
Sasa atakayekuja mbele yetu, tunamnyoosha .
Chelsea ukiwaangalia unaweza fikili wapo serious, kumbe hawajui wanataka nini msimu huu
UEFA hawawezi
Epl inawatoa jasho
Carabao hoi
Fa hawawezi






Ilikua wachukua misimu mingapi kuwa na kikosi kilichochukua UEFA na EPL?
Najua mnataka kutupa pressure na mnajitoa ufahamu kuwa hamuelewi kwamba tupo kwenye process ila mi maneno yenu hayanipi hofu tupo kwa progress ni lazima tupitie haya.
Sasa wewe kwenye ligi umempita united point mbili na united ana game mkononi,yet unajiona na wewe uko vizuri sana..Utashangaa wanaokuja kuchekea huku ni Arsenal na Manyua.
Kufungwa kwa Chelsea hakuondoi ubovu wa Arsenal na kufeli kwa Masai.
Sinaga huo ujinga wa kumtukana mtu anayejiheshimu lakini ukinijia kwa akili za usiku usiku nami nakujia kibangi bangi maana "tafsiri ya heshima ni pa1 na kujisheshimu wala si kuheshimiwa pekee"Huyo sasa ndiyo level yako.
Wote hamjui kitu kuhusu mpira, mnatukanana kama hivyo.
Tumeamua kuweka nguvu uefaHuyu nayesema haya ni shabiki wa Man City anasahau walipokua bora walishindwa kuchukua UEFA sasa hivi wapo eti wanawaza UEFA
HAKI VITUKO HAVIISHI
ChelseaShabiki wa Man City washaanza kuwa kama Arsenal fans. Yan katika ubora wao hawakuchukua makombe ya heshima sasa ivi wakiwa unga unga eti wanajinadi na wao ni contender wa UEFA!! Huyo mtu nae anaiponda Chelsea
Ndg makocha wote wako hivyo. Ni MOU tu anajul kwa kutweak wachezaji ili apate matokeo pamoaj na kwamba naye MOU ana wachezaji wake wanaojua counter attack kama akina Son na Kane. PEP anategemea soko, Klopp kaingia sokoni vizuri kabla ya hapo mnamjua alikuwaje hata kule Dotmond. Tumpe tu fursa aendelee kuijenga timu angalau kwa mwaka huu. Mwaka kesho akiendelea kuwa na mixed results kama hizi surely atatimuliwaKutengeneza huo mfumo ni mpaka iwe unaujua na Lampard haonekani kufahamu mengi katika mikakati ya ushindi. Yeye anataka kuendelea kasajili wachezaji wakubwa mpaka siku wachezaji wenyewe watengeze combination.
Hakuna kitu hapo, Man city wataishia robo finali, wala usijiletee presure bure kwa mambo yaliyo waziTumeamua kuweka nguvu uefa
Pep analijua hilo
Tunataka heshima
Yaani faraja pekee ya Arsenal fans ni kuhudhuria kwenye misiba ya wengine. na huko wanajifanya timu kubwa wakatinapigania relegationKumbe we ni Arse8 fan? pole sana kijana, endelea kujifariji tu maana maisha ndiyo haya haya.
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Kwa nini Azpi asirudi kwenye nafasi yake na Reece akacheza RW kwa muda? MBona mimi namuona Reece akicheza vizuri pale mbele kuziba nafasi ya Ziyech?Kwa upande wangu mbele naona kiza kinene, labda January tufanye kausajili cha kuboresha LW. Na zaidi Kocha kuimprove mbinu zake kwa mfumo wa 433.
Lampard ni mwaka wake wa pili kwenye ukocha ligi kubwa hizo data umezipata wapi?Makocha wenye uwezo wa kuchukua makombe wanajulikana
Hesabu hazidanganyi
Klop
Jose morhino
Pep guardiola
Hao ndio wananyota na vikombe
Hao wengine sijui
Lampard
Ole
Arteta
Hao ni wasindikizaji tu ,hawana pumzi kabisa
Siku mtakapolijua hili ndio mtakapo jua kuwa hamjui, na mnapoteza muda