Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kweli kabisa hii mechi itukute full mkoba

Pulisic - Werner - Ziyech

Mount- Kante- Kovacic

Chilwell - Zouma- Thiago - James

Mendy

Sub:- Odoi, Giroud, Azipu, Joginho, Harvetz, Ermason, Christensen, Rudger.

Hii mechi Abraham anatakiwa asionekane kabisa kwenye mazoezi na uwanjani. Asafiri kijijini kuwasalimia babu na bibi.
Mnaenda kukutana na mhuni

Mhuni kweli kweli

Klop anajua moto wake

Lampard vs simeon (hesabu hazidanganya kesheni mkiomba usiku na mchana)
 
Kweli kabisa hii mechi itukute full mkoba

Pulisic - Werner - Ziyech

Mount- Kante- Kovacic

Chilwell - Zouma- Thiago - James

Mendy

Sub:- Odoi, Giroud, Azipu, Joginho, Harvetz, Ermason, Christensen, Rudger.

Hii mechi Abraham anatakiwa asionekane kabisa kwenye mazoezi na uwanjani. Asafiri kijijini kuwasalimia babu na bibi.
Giroud ni wamuhimu kwenye hii mech kutokana na aina ya mabeki wa atletico

Pulisic hii mech anaweza akala buti sana
 
Kweli kabisa hii mechi itukute full mkoba

Pulisic - Werner - Ziyech

Mount- Kante- Kovacic

Chilwell - Zouma- Thiago - James

Mendy

Sub:- Odoi, Giroud, Azipu, Joginho, Harvetz, Ermason, Christensen, Rudger.

Hii mechi Abraham anatakiwa asionekane kabisa kwenye mazoezi na uwanjani. Asafiri kijijini kuwasalimia babu na bibi.
TAMMY ATAKUWEPO BENCHI LINACHUKUA SUB WENGI KWENYE UEFA, ATAINGIA DAKIAK YA 70 HAPO CHELSEA ITAKUWA IKIONGOZA 3-1
 
Kweli kabisa hii mechi itukute full mkoba

Pulisic - Werner - Ziyech

Mount- Kante- Kovacic

Chilwell - Zouma- Thiago - James

Mendy

Sub:- Odoi, Giroud, Azipu, Joginho, Harvetz, Ermason, Christensen, Rudger.

Hii mechi Abraham anatakiwa asionekane kabisa kwenye mazoezi na uwanjani. Asafiri kijijini kuwasalimia babu na bibi.
Pulisic/Werner - Giroud/Tammy Ziyech/Odoi

Mount/Gilmour - Kante- Kovacic/Havertz

Chilwell - Zouma- Thiago - James/Azpi

Mendy

Sub:-

  1. Kepa,
  2. Rudiger,
  3. Azpilicueta,
  4. Ermeson,
  5. Christensen,
  6. Joginho,
  7. Harvetz,
  8. Odoi,
  9. Tammy Abraham
 
Atletico ni wagumu ila wanafungika angalia game yao dhidi ya Real Madrid waliokufa 2-0. Watu wengi wanaona kama tuahatolewa ila ikiwepo mipango madhubuti anaondoshwa. Tena kwakuatunaanzia Wanda Metropolitano uwanja wenye kumbukumbu yetu kwakua sisi ndio tuliuzindua kwa kipigo palepale kwao. Muhimu ni kuhakikisha tunapata goli kwao hata kama watatufunga ila tu tupate goli na najua hata kama watatufunga haiwezi kuwa kwa zaidi ya goli moja yan inaweza kuwa 2-1, 1-0, au 3-2. Nasema ivyo kwa sababu tuna adavantage ya defense imara kuweza kuwadhibiti wasilete madhara.
 
Pulisic/Werner - Giroud/Tammy Ziyech/Odoi

Mount/Gilmour - Kante- Kovacic/Havertz

Chilwell - Zouma- Thiago - James/Azpi

Mendy

Sub:-

  1. Kepa,
  2. Rudiger,
  3. Azpilicueta,
  4. Ermeson,
  5. Christensen,
  6. Joginho,
  7. Harvetz,
  8. Odoi,
  9. Tammy Abraham
Hauko serious
 
Mashabiki wanalalama kila tufikapo hatua ya mtoano(16 bora) tunapewa timu ngumu hebu angalia hii

14/15~PSG (tulipita tukaishia semi finals)
15/16~PSG (hatukupita)
17/18~Barcelona (hatukupita)
19/20~Bayern (hatukupita)
20/21~Atletico (still counting,,,,
Screenshot_20201214-163137_1607954357095.jpg
 
Chelsea imeshajikatia tamaa kabla hata hawajaingia uwanjan

Semion atawamaliza
 
Mashabiki wanalalama kila tufikapo hatua ya mtoano(16 bora) tunapewa timu ngumu hebu angalia hii

14/15~PSG (tulipita tukaishia semi finals)
15/16~PSG (hatukupita)
17/18~Barcelona (hatukupita)
19/20~Bayern (hatukupita)
20/21~Atletico (still counting,,,,View attachment 1650040
Sisi City tunakula aliyeko mbele yetu

Mkitaka leten huyo atletico +buyern wote kwa pamoja
 
Miaka yote mnapata miteremko lakini hakuna mnachofanya
Mkuu naona mshaleta visingizio mapema

Psychologically tayari mmeshatolewa, kwa sababu mmekata tamaa mapema dhidi ya mpinzan wenu

Man City vs Real madrid (16 bora msimu umeopita )

Unafikili kumtoa Madrid ni rahisi

Achen kulia lia
 
Mashabiki wanalalama kila tufikapo hatua ya mtoano(16 bora) tunapewa timu ngumu hebu angalia hii

14/15~PSG (tulipita tukaishia semi finals)
15/16~PSG (hatukupita)
17/18~Barcelona (hatukupita)
19/20~Bayern (hatukupita)
20/21~Atletico (still counting,,,,View attachment 1650040
Inabidi kushinda hiz game kubwa ili watu waanze kutuchukulia serious.

Naimani atletico tunamtoa tukiwa full fit
 
Atletico Madrid amekufa mapema sana ht kabla mechi haijachezwa, jana nilienda sumbawanga kwa mtaaaaalamu na nshamalizana nae.
 
Abraham
Harvetz
Gilmour

Tuacheni masihara Am sio Renne, hawa jamaa hapo juu hii mechi ni nzito kuliko. Hii mechi ni ya wanaume wa shoka kufuzu au kutolewa, hii sio ligi.

Wasipangwe wachezaji wa kwenda kudokoa mpira na kujiangusha.

Gilmour uzoefu unamuweka benchi
Hao ni sub, tuwaweke nani badala yao? au januari tunasajili ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom