Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea mnafunga hizo mid table timu, sijaona ubavu wa kumfunga

Spurs

Liverpool

Man City

Man united

Hata Arsenal hamuwez

Hesabu hazidanganyi

Huo ndio ukwel

Kocha hana mbinu
 
Inaonekana kile kichapo cha 7-0 toka kwa Aston Villa bado hakijakutoka rohoni maana si kwa hili povu ulilokuwa unatafutia pa kulitolea haha hahaaaaa...

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Unahisi kama unanijua ila hata haunijui.

Na ndiyo ninachosema. Chelsea haina watu wanaojua wala kufuatilia mpira. Kama huyu anaandika huku anajichekesha eti Villa alimfunga Liva 7 - 0.

Sasa kamtafute mtu akutajie matokeo sahihi. Michezo ipo mingi siyo lazima mpira shabikia hata kibao kata.
 
Chelsea mnafunga hizo mid table timu, sijaona ubavu wa kumfunga

Spurs

Liverpool

Man City

Man united

Hata Arsenal hamuwez

Hesabu hazidanganyi

Huo ndio ukwel

Kocha hana mbinu
Wewe na Man City yako umeifunga timu gani kati ya hizo big teams toka kwa Liverpool, Man U na Tottenham zaidi ya kukalia kichapo cha 2-0 kwa Tottenham tena zaidi ya mara 2 pale plae ambapo mwaka jana november ulikula hizo hizo 2-0?

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Unahisi kama unanijua ila hata haunijui.

Na ndiyo ninachosema. Chelsea haina watu wanaojua wala kufuatilia mpira. Kama huyu anaandika huku anajichekesha eti Villa alimfunga Liva 7 - 0.

Sasa kamtafute mtu akutajie matokeo sahihi. Michezo ipo mingi siyo lazima mpira shabikia hata kibao kata.
Wala sihitaji kukujua, endelea kuteseka hadi utapokuwa na vidonda vya tumbo, kansa n.k sababu ya roho ya kwanini, haiwezekani timu imeshafunga zaidi ya magoli 25 kwa mechi 11 afu uje uropoke kuwa timu haina mbinu sababu imefungwa na Everton jana.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Inaweza kuwa jana formation ni ile ile ya 433 lakini Kai kucheza winga hawezi bora angemuweka Mount kule anamudu nafasi nyingi Au angemuweka Timo kulia na yule dogo Faustino Anjorin winga wa kushoto
Unajua LAMPARD NI MGUMU SANA KUWAAMIN VIJAN ANJORIN DGO NI MZURI ILA SI LAMPARD
 
Wala sihitaji kukujua, endelea kuteseka hadi utapokuwa na vidonda vya tumbo, kansa n.k sababu ya roho ya kwanini, haiwezekani timu imeshafunga zaidi ya magoli 25 kwa mechi 11 afu uje uropoke kuwa timu haina mbinu sababu imefungwa na Everton jana.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Bro ungeweza kucounter nilichoandika bila kunitajia timu isiyonihusu lakini kwakua hujui mpira huna cha kuandika inabidi uandike mipasho.

Highlights unazoangalia hazikufanyi uujue mpira. Subiri wanaoandika matusi waje utukanane nao. Pia liva hakufungwa 7 bila usiongee tena hivyo mbele za watu.

You are a diagrace to the sport.
 
Arsenal iliwahi chukua ligi bila kupoteza game
IKR

Huwezi fananisha msimu wa 2003 na misim ya sasa hivi

Mbona chelsea iliweza cheza na kuruhusu 15 goals ndan ya msim mzima unahis hicho kitu sasa hiv kinaweza tokea jibu ni hapana

Mpira unabadilika kadri siku zinavyokwenda
Kwa sasa hivi hakuna tim inayoweza cheza 38 games bila kufungwa

Bayern mwenyewe ambaye yupo katika kiwango bora lakim kwenye bundesliga ashapoteza game
 
Open forum pale tu Chelsea FC ikifungwa ilihali ikishinda hakuna hata anayeonekana hapa, au ninyi ndiyo wale watimizao usemi wa "maisha bila unafki hayaendi"? hahaaa...haya endelea kutupatia za uso ili nasi tuje tuwakilishwe na kamati ya roho mbaya wenzio wanaohangaikaga ktk uzi wenu wa Liverpool FC.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app

Ukitaka jamii ikutenge acha kuhudhuria misiba.

Ila usipoenda kwenye sherehe, hakuna atakayehangaika na wewe.

Sisi tunakuja msibani kutoa faraja.
 
Wala sihitaji kukujua, endelea kuteseka hadi utapokuwa na vidonda vya tumbo, kansa n.k sababu ya roho ya kwanini, haiwezekani timu imeshafunga zaidi ya magoli 25 kwa mechi 11 afu uje uropoke kuwa timu haina mbinu sababu imefungwa na Everton jana.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Wewe mbwa

Arsenal tushamnyoosha

Liverpool kaponea chupuchupu

Man utd Jana kaponea chupuchupu

Bado nyie, tunakuja kuwavunjia hapo darajan kwenu

Kaa mkao wa kuliwa
 
Sawa shehe Yahaya uliyepo kwenye kamati ya roho mbaya kwa utabiri ili ujikalie kileleni kirahisi tu, lkn hii nukuu tunaihifadhi kwa mechi zijazo ili ikiwa hivyo tuwe tunakutumia kwenye mikeka yetu ya kubeti.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app

Inaonekana mnaumia sana sisi kuja kujadili hapa kuliko mlivyofungwa.

Kuweni wapole, honeymoon imeisha, December na January ni kipindi ambacho pretenders na contenders wanajulikana.
 
IKR

Huwezi fananisha msimu wa 2003 na misim ya sasa hivi

Mbona chelsea iliweza cheza na kuruhusu 15 goals ndan ya msim mzima unahis hicho kitu sasa hiv kinaweza tokea jibu ni hapana

Mpira unabadilika kadri siku zinavyokwenda
Kwa sasa hivi hakuna tim inayoweza cheza 38 games bila kufungwa

Bayern mwenyewe ambaye yupo katika kiwango bora lakim kwenye bundesliga ashapoteza game
Msimu huu kila timu inastruggle kuwa kwenye form. Historically hii siyo Bayern bora, hata ya msimu uliopita siyo bora.

Ni Bayern ya kuungwa ungwa kwa wachezaji wa mikopo n.k lakini ndiyo imeifanya barca ifanye overhaul na kuchukua makombe.

Anyway, kilichofanywa na chelsea na Arsenal kitachukua muda kutokea, liva walijaribu Watford wakachafua shughuli.
 
Wewe mbwa

Arsenal tushamnyoosha

Liverpool kaponea chupuchupu

Man utd Jana kaponea chupuchupu

Bado nyie, tunakuja kuwavunjia hapo darajan kwenu

Kaa mkao wa kuliwa
Man city mtajuta kwanini mlisonga mbele kwenye ucl maana huko mkitolewa ni kuja kupambania Carabao.
 
IKR

Huwezi fananisha msimu wa 2003 na misim ya sasa hivi

Mbona chelsea iliweza cheza na kuruhusu 15 goals ndan ya msim mzima unahis hicho kitu sasa hiv kinaweza tokea jibu ni hapana

Mpira unabadilika kadri siku zinavyokwenda
Kwa sasa hivi hakuna tim inayoweza cheza 38 games bila kufungwa

Bayern mwenyewe ambaye yupo katika kiwango bora lakim kwenye bundesliga ashapoteza game

Liverpool wakati anafungwa na Watford 3 - 0 msimu ulioisha alikuwa amecheza game 43 bila kupoteza.
 
Bro ungeweza kucounter nilichoandika bila kunitajia timu isiyonihusu lakini kwakua hujui mpira huna cha kuandika inabidi uandike mipasho.

Highlights unazoangalia hazikufanyi uujue mpira. Subiri wanaoandika matusi waje utukanane nao. Pia liva hakufungwa 7 bila usiongee tena hivyo mbele za watu.

You are a diagrace to the sport.
Kumbe we ni Arse8 fan? pole sana kijana, endelea kujifariji tu maana maisha ndiyo haya haya.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom