Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1607269918865.png
 
IMG-20201206-WA0061.jpg
IMG-20201206-WA0060.jpg

Impact ya zouma kwenye set pieces kawabananisha wachezaji ili wasiweze kumkaba giroud aliyepiga free header.....lkn nafikiri goli LA zouma giroud pia aliwabananisha km sikosei zouma akafunga
 
Kwenye derby ya leo ya London kuna mchambuzi mmoja katoa homework moja

Kuna timu inajua inafanya nini wakati wana mpira na wakati hawana mpira lakini kuna timu nyingine hawajui wanalolifanya uwanjani wakiwa na mpira ama wakiwa hawana mpira
Hiyo timu nyingine isiyojua inafanya nini ndio ipi?
a) Spurs
b) Arsenal
c) Mbao United
 
Kwa userious walionao Liverpool na Tote kwenye kusaka taji la EPL, Kovacic na Giroud wasikosekane kwenye 1st eleven yetu. Tuonyeshe userious zaidi yao kwenye kupata matokeo chanya kila mechi.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Timo naye aonyeshe userious kwenye kufunga sio kuwasaidia wapinzani kuokoa magoli
 
Inasemekana atacheza Porto kwa msimu mmoja kisha atajiunga na Chelsea.

Vp unamfuatilia huko aliko? Tupe maendeleo yake tafadhali.
Kwa timu kubwa kama Porto kuwa regular starter sio mchezo lazima atakuwa asset kule. Huyo atakuja kuchukua namba ya akina Tomori na Christensen wasipoangalia
 
Kwa timu kubwa kama Porto kuwa regular starter sio mchezo lazima atakuwa asset kule. Huyo atakuja kuchukua namba ya akina Tomori na Christensen wasipoangalia
Kwani huyo beki ana ukali gani?
 
Hiyo mechi haina umuhimu kwetu lazima outcast wote wapewe nafasi

Mkuu Mendy anatakiwa kuongeza klin shit nyingi. Na mechi kama hizo ndiyo zinaongeza

Though na prefer Cabalero acheze badala ya kepa.
 
Kwa userious walionao Liverpool na Tote kwenye kusaka taji la EPL, Kovacic na Giroud wasikosekane kwenye 1st eleven yetu. Tuonyeshe userious zaidi yao kwenye kupata matokeo chanya kila mechi.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app

Natamani iwe ivo lakini kuna jamaa anaitwa Super Frank Lampad haelewi akilala akiamka anakuja na first eleven yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom