Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kai Havertz leo kacheza vizuri na naona form yake ikirudi
Hongereni The Blue, angalau tuongoze ligi kwa muda ili kuwapa vijana morale
Mendy Zouma na Silva ni wa Muhimu sana pale nyuma
Pamoja na Werner kuokoa goli lakini anahitajika kule mbele sana, haya makosa makosa ya werner yakiisha tutakuwa na mvua ya magoli sana
Giroud kajihakikishia namba dhidi ya Tammy

Tumewafunga ila chenga wametula, touches nyingi kwenye eneo letu la penalti
 
Game ya leo tungetulia tulikuwa tunashinda zaid ya hizi goal 3

Natumai injury ya ziyech haitokuwa kubwa sana
 
1607206123352.png
 
Kai Havertz leo kacheza vizuri na naona form yake ikirudi
Hongereni The Blue, angalau tuongoze ligi kwa muda ili kuwapa vijana morale
Mendy Zouma na Silva ni wa Muhimu sana pale nyuma
Pamoja na Werner kuokoa goli lakini anahitajika kule mbele sana, haya makosa makosa ya werner yakiisha tutakuwa na mvua ya magoli sana
Giroud kajihakikishia namba dhidi ya Tammy

Tumewafunga ila chenga wametula, touches nyingi kwenye eneo letu la penalti
Leeds ni stail yao hio ya uchezaji wao huwa hawakai nyuma wancheza kwako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom