Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

CHELSEA 3-1 LEEDS UNITED, Premier League: Post-match reaction

By Mlanzi

Olivier Jonathan Giroud, Kurt Happy Zouma Pamoja na Christian Mate Pulisic kwa pamoja wamekamilisha comeback na kuipa Chelsea ushindi Mbele ya Mashabiki wapatao 2,000 katika Dimba hatari kuliko Madimba yote duniani, nalizingumzia Dimba la Stamford Bridge.

Makosa madogo kutokea dimba la kati yalimpa nafasi Patrick Bamford kuipatia Leeds United bao la kwanza kabla ya ile clinical finish kutoka kwa Olivier Jonathan Giroud dakika ya 27 akipokea assist kutoka kwa Reece James.

Kabla nisahau! Kina kitu sijakipenda kutoka kwa Mashabiki walipokuwa wakisema "TAKE A STAND AND BOO THE KNEE. WE ENGLISH DON'T KNEEL FOR CRIMINALS" haya maneno ni ya kibaguzi na hayana nafasi katika soccer!

Ukiachana na performance ya team, kuna ukomavu unazidi kujengeka unaoifanya team yetu iwe tushio...!! Ile Character ya team pindi inaporuhusu bao la mapema. Team inapambana kupata come back na ushindi Juu. Kwa mfano, hii game dhidi ya Leeds, Game dhidi ya WBA nk. Hii ndiyo proper energy itakayotupeleka mbali.

Katika hii game Manager Frank Lampard alikuwa amepanga kikosi bora kabisa kwa upande wangu ! Kikosi kilichokuwa na veteran Olivier Jonathan Giroud kuanza mbele ya Tammy Abraham. Nina uhakika Jibu litapatikana hivi karibuni la nani aanze mbele ya nanini na wakati gani sub zifanyike.

Timo Werner asipokufunga basi atafanya assist..!! Hebu check ile pace na assist yake dakika ya 93!!!! Mabepari wanaita brilliant. Baada ya kurejea kutoka half time, turning point ilikuja kupitia corner kick, ambapo Mason Mount alim-assist Kurt Happy Zouma dakika ya 62.

Pongenzi kwa goalkeeper wa Leeds Meslier kwa kuokoa rundo la mashambulizi kutoka kwa Timo Werner Pamoja na Mason Mount. Bao la tatu lilikuja Kutoka kwa Christian Mate Pulisic dakika ya 90+3 Akipokea assist kutoka kwa Timo Werner.

Subs zetu ZIlikuwa Christian Pulisic akimtoa Hakim Ziyech, Huku Mateo Kovacic akiingia upande wa Kai Havertz na Tammy Abraham upande wa Olivier Jonathan Giroud.

Next up: Tutawakaribisha Krasnodar pale pale Stamford Bridge katika Champions League group stage.

KTBFFH!
 
Usichukulie poa dogo Illan Meslier ni golikipa mzuri sana, dogo kwenye saves yuko vizuri sana. Sisi tumepiga shots on target 11 angarau tumepata magoli 3 sasa nenda kairudie game aliyo cheza na Everton, Everton walipiga shots on target 8 hawakuambulia ata goli moja.

Mda mwingine sio kulaumu muangalie na upande mwingine uko vipi kwa ubora wa mchezaji mmoja mmoja. Nitakupa mfano, ile game tulicheza na NYUMBU KAMA NYUMBU kama si ubora wa Mendy basi tungefugwa si chini ya goli 2. Huyu dogo

Dogo Meslier ni moja ya magolikipa wazuri kabisa epl kwa msimu huu mpka sasa ana clean sheet 4 kazidiwa 1 na Mendy.
Kwa hizi shots on target ilitakiwa tuwe na goal si chini ya 6. Bado umakini zaidi unatakiwa.
 
Pale England ni mashabiki wa Chelsea ndio wanaongoza kwa ukorofi, hawa jamaa ni wakorofi tena hasa. Fuatilia matukio yao utaelewa tu huwa wanafoka sana uwanjani. Na wanaongoza kupigwa Ban kisa matukio yao.

Ata ushindi wa jana mashabiki wamehusika kwa namna moja ama nyingine, wale walikuwa ni 2,000 tu, sasa jiulize wangejaza uwanja. Kuna kipindi niliona wanamfokea lefa sijui nani alichezewa rafu akashindwa kutoa kadi.

Yule beki wa Leeds Llorente sijajua ni kwann walikuwa wanamzomea kila akipata mpira.
CHELSEA 3-1 LEEDS UNITED, Premier League: Post-match reaction

By Mlanzi

Olivier Jonathan Giroud, Kurt Happy Zouma Pamoja na Christian Mate Pulisic kwa pamoja wamekamilisha comeback na kuipa Chelsea ushindi Mbele ya Mashabiki wapatao 2,000 katika Dimba hatari kuliko Madimba yote duniani, nalizingumzia Dimba la Stamford Bridge.

Makosa madogo kutokea dimba la kati yalimpa nafasi Patrick Bamford kuipatia Leeds United bao la kwanza kabla ya ile clinical finish kutoka kwa Olivier Jonathan Giroud dakika ya 27 akipokea assist kutoka kwa Reece James.

Kabla nisahau! Kina kitu sijakipenda kutoka kwa Mashabiki walipokuwa wakisema "TAKE A STAND AND BOO THE KNEE. WE ENGLISH DON'T KNEEL FOR CRIMINALS" haya maneno ni ya kibaguzi na hayana nafasi katika soccer!

Ukiachana na performance ya team, kuna ukomavu unazidi kujengeka unaoifanya team yetu iwe tushio...!! Ile Character ya team pindi inaporuhusu bao la mapema. Team inapambana kupata come back na ushindi Juu. Kwa mfano, hii game dhidi ya Leeds, Game dhidi ya WBA nk. Hii ndiyo proper energy itakayotupeleka mbali.

Katika hii game Manager Frank Lampard alikuwa amepanga kikosi bora kabisa kwa upande wangu ! Kikosi kilichokuwa na veteran Olivier Jonathan Giroud kuanza mbele ya Tammy Abraham. Nina uhakika Jibu litapatikana hivi karibuni la nani aanze mbele ya nanini na wakati gani sub zifanyike.

Timo Werner asipokufunga basi atafanya assist..!! Hebu check ile pace na assist yake dakika ya 93!!!! Mabepari wanaita brilliant. Baada ya kurejea kutoka half time, turning point ilikuja kupitia corner kick, ambapo Mason Mount alim-assist Kurt Happy Zouma dakika ya 62.

Pongenzi kwa goalkeeper wa Leeds Meslier kwa kuokoa rundo la mashambulizi kutoka kwa Timo Werner Pamoja na Mason Mount. Bao la tatu lilikuja Kutoka kwa Christian Mate Pulisic dakika ya 90+3 Akipokea assist kutoka kwa Timo Werner.

Subs zetu ZIlikuwa Christian Pulisic akimtoa Hakim Ziyech, Huku Mateo Kovacic akiingia upande wa Kai Havertz na Tammy Abraham upande wa Olivier Jonathan Giroud.

Next up: Tutawakaribisha Krasnodar pale pale Stamford Bridge katika Champions League group stage.

KTBFFH!
 
Werner pamoja na uzembe lakin anamchango mkubw hope he won't be affected physiologically for missing goals

Japo watu hawamzungumzii ila mount huyu dogo anapiga mwingi sana
Mount azungumziwi ila dogo amejenga consistency nzuri sana ..kipindi ana anza sikutegemea kama angekuwa wamoto hivi.
#CFC
 
Leeds kwa uchezaji wake kilikuwa kipimo sahihi kwetu sisi kujua uimara wa beki zetu na tunako elekea. Hii mechi niliisubiri kwa hamu sana.
Kuna matakataka yalisema huu mwezi utakuwa ni hati hati kwetu lakini naona mwezi umewageuka maana walianza sema tumekutana na akina Sheffield utd,westBrom, sijui nani huko ..sasa tumekutana na zile timu waliona zitakuwa mlima kwetu ..ila tunazinywa tu kama maji
 
Kwani yule mganga wetu wa humu ndani ako wapi tumpe kazi ya kuwafunga macho Liver
😂 😂 😂 😂
Sadly, toka ushindi mkubwa wa nchi utangazwe ametoweka katika mazingira ya kutatanisha..!
 
Liverpool tunaomba apate draw au afungwe kabisa kama itawezekana.

Kila kitu kinawezekana ukiamini

Amini Kwamba liverpool anakung'utwa leo.
Bora wewe unawaombea Liver, Mimi hakuna watu natamani match ya leo kama 'Senali' ili tu niwatanie maana wana kidomo domo sana wale wana..!
 
Je ni huyu huyu OG ambaye alimaliza michuano ya kombe la dunia bila ya kufunga goli 2018?
Je ni huyu huyu OG ambaye tuliamini yeye hafungagi magoli Chelsea tangu aje isipokuwa Europa?
Au kabatizwa na sasa kazaliwa upya!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom