Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Je ni huyu huyu OG ambaye alimaliza michuano ya kombe la dunia bila ya kufunga goli 2018?
Je ni huyu huyu OG ambaye tuliamini yeye hafungagi magoli Chelsea tangu aje isipokuwa Europa?
Au kabatizwa na sasa kazaliwa upya!
lembu Giroud Ni bonge la mchezaji kutokufunga goal hata moja kombe la dunia Ni kutokana na namna alivyokuwa akitumika na kocha wake, wapenzi wa ufaransa walikuwa wakilalamika lakini kocha wake alikuwa akifurahia kazi alikuwa anafanya Giroud.Giroudi alikuwa akitumika Kama mkabaji anashuka mpaka chini anatumia nguvu zake kutengeneza space kwa ajili ya Mbappe na griezman kufunga na assist alikuwa Ni Mara chache Sana kumuona yupo upfront kwa asilimia 50. Swali la pili ngojea nikujibu Giroud alifunga Europa league cos ndipo alikuwa anapewa nafasi wakati mechi za league alipewa mechi chache.

Kwa maoni yangu Giroud wa Arsenal kwangu ndio alikuwa wakawaida alikuwa kwenye nafasi 6 anafunga 1 au kutokufunga kabisa lakini tangu aje Chelsea amekuwa mfanisi Sana mbele ya goal.
 
Nyie jamaa naona mnatutia jambajamba kwenye ubingwa.

Hivi Timo ana shida gani? Maana nashindwa kumwelewa kabisa makosa yake.

Jana mmecheza game kali sana; Kante, Zouma, Ziyech, Pulisic, James (awesome), Giroud! Mlinipunja siku ya game ya Tottenham, ila jana mmenipa zaidi ya nilicholipia.
Don Clericuzio Umemsahau na kamanda Kova Kuna kipindi Leeds walikuwa wanakuja Sana lakini baada ya kuingia huyo mwamba Kati palitulia Sana na ndio alibuild up shambulio la goal la 3 alipiga key pass a.k.a penetration pass kumpelekea Werner na Werner aka assist kwa Pulisic.
 
Yes, na baada ya jamaa kuingia alimpunguzia kijana wangu Kante majukumu ya ukabaji.

Kante alianza kupanda juu tofauti na mwanzo.

Mpaka sasa naona kabisa nyie mmechukua nafasi ya City msimu huu, namba 2 ni yenu aisee.
 
Wee kejeli tu, ngoma bado mbichi. Momentum ya Chelsea inaongezeka exponentially, SUBIRI UONE
 
Je ni huyu huyu OG ambaye alimaliza michuano ya kombe la dunia bila ya kufunga goli 2018?
Je ni huyu huyu OG ambaye tuliamini yeye hafungagi magoli Chelsea tangu aje isipokuwa Europa?
Au kabatizwa na sasa kazaliwa upya!
Giroud asipofunga anawachezesha wenzake wanapata nafasi ya kufunga."Team player" Ndio mana hakua na goli hata moja kombe la dunia 2018, lakin bado alipangwa game zote.
 
Kwani hizo za UEFA hazikuchezwa Anfield?

Zilichezwa Anfield, tulifungwa yes.

I hope this makes you happy.

For your information, Liverpool hajapoteza Anfield kwenye ligi ya EPL kwa zaidi ya miaka mitatu na nusu.
 
Screenshot_20201206-125358_Daily%20Mail%20Online.jpg
 
Huu unafki huu, si huyu huyu ndiye aliyekuwa anamponda Frank Lamperd kuwa anapoteza pesa bure kwa kutumia gharama za juu kifedha kuwasajili wachezaji wapya mbali mbali ktk Chelsea FC? Mara hii tu Chelsea FC washakuwa his epl favourites ktk kuwania ubingwa wa epl?

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Anaziona dalili mapema kabisa
 
Zilichezwa Anfield, tulifungwa yes.

I hope this makes you happy.

For your information, Liverpool hajapoteza Anfield kwenye ligi ya EPL kwa zaidi ya miaka mitatu na nusu.
Record zinavunjwa tu anytime usijipe imani ....hata arsenal walikuwa hawajawahi kuwafunga nyumbu OT KWA miaka km 14 lkn the rest is history
 
Werner pamoja na uzembe lakin anamchango mkubw hope he won't be affected physiologically for missing goals

Japo watu hawamzungumzii ila mount huyu dogo anapiga mwingi sana
Nadhani ulimaanisha 'psychologically'.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom