mart66
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 610
- 691
This season hajabadili kikosi sana pia match ambazo kovacic hakucheza kulikiwa na sababu , Kama match na Leeds koch alitoa sabb y kutomuanzishaNatamani iwe ivo lakini kuna jamaa anaitwa Super Frank Lampad haelewi akilala akiamka anakuja na first eleven yake![]()
