BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,044
Kwani ana tatizo la viungo vya mwili?I think timmo needs physiological therapy
Kwani ana tatizo la viungo vya mwili?I think timmo needs physiological therapy
Huku ni mbali sana.Record zinavunjwa tu anytime usijipe imani ....hata arsenal walikuwa hawajawahi kuwafunga nyumbu OT KWA miaka km 14 lkn the rest is history
Hii ilikua two against four. Pulisic katoka nyuma ya beki kaweza kujitafutia position nzuri kapata nafasi kafunga. Huyu anazile B tatu za mchezaji mpira Ball Position, Ball Balance & Ball Control.
Kumbuka bdo hujaifikia record ya ChelseaZilichezwa Anfield, tulifungwa yes.
I hope this makes you happy.
For your information, Liverpool hajapoteza Anfield kwenye ligi ya EPL kwa zaidi ya miaka mitatu na nusu.
Mkuu wewe hujawahi kucheza mpira hasa wa kiushindani tena mtaani. Yan hapo ni mizuka tu inakuja yenyewe unajikuta unakiongea vitu ambavyo hata baadae ukiulizwa unaweza usiwe na kumbukumbu nzuri.Baada ya kufunga sijui alikuwa anafoka nn mwamba huyu
Kumbuka bdo hujaifikia record ya Chelsea
Second season syndromeKipi kinakwambia Liverpool hayuko vizuri?

Second season syndrome
Liva hachukui ubingwa msimu huu save hii comments
Ubingwa Ni kwa Chelsea au man u
Second season syndrome
Liva hachukui ubingwa msimu huu save hii comments
Ubingwa Ni kwa Chelsea au man u
Spurs hawajawahi kuwa serious na ubingwaBora ungesema hata spurs kuliko Hawa wawili tunajua ubingwa wao ni kuingia Top four


Mkuu wewe hujawahi kucheza mpira hasa wa kiushindani tena mtaani. Yan hapo ni mizuka tu inakuja yenyewe unajikuta unakiongea vitu ambavyo hata baadae ukiulizwa unaweza usiwe na kumbukumbu nzuri.
Spurs hawajawahi kuwa serious na ubingwa
Usidangwe na ngendembwe za mou
Ameishia kimbinu yule
Ubingwa Ni kwa Chelsea na Man U
Mwisho msimu nitawakumbusha hii comment![]()
Kepa tushamsahauTimu itakayomalizana na Kransnodar hii hapa
View attachment 1643295




usishangae anaanza cabaleroTimu itakayomalizana na Kransnodar hii hapa
View attachment 1643295



Hiyo mechi haina umuhimu kwetu lazima outcast wote wapewe nafasiMkuu kikosi kizuri ila naomba umtoe Kepa hapo
Muweke cabalero