Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kai Havertz leo kacheza vizuri na naona form yake ikirudi
Hongereni The Blue, angalau tuongoze ligi kwa muda ili kuwapa vijana morale
Mendy Zouma na Silva ni wa Muhimu sana pale nyuma
Pamoja na Werner kuokoa goli lakini anahitajika kule mbele sana, haya makosa makosa ya werner yakiisha tutakuwa na mvua ya magoli sana
Giroud kajihakikishia namba dhidi ya Tammy

Tumewafunga ila chenga wametula, touches nyingi kwenye eneo letu la penalti
Kai Havertz kacheza vizuri sana mechi ya leo dhidi ya Leeds, tuzidi kumpatia muda atakuja kuwa CAM mzuri kuliko watu wanavyodhani, lakini tkubali Leeds wako vizuri sana kiukweli.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Ontarget zilikuwa 10, total shots 23, Kocha inabidi alifanyie kazi hilo, hizo ni shots nyingi sana mabao yalitakiwa sio chini ya 6 au 7
Pale mbele bado Chelsea kuna makosa madogo madogo mengi sana tunayafanya na wakati mwingine ni uchoyo wa wachezaji wenyewe huigharimu timu kukosa magoli ya wazi kabisa.

Nafasi aliyopiga Giroud na kuwa kona ingebidi ampasie mwenzie wa kuli angeweza kufunga goli, pia kwa Wenner alipoupiga mira nnje kabisa ya goli.

Mipira iliyowakuta wachezaji wa Chelsea langoni mwa Leeds tokana na makosa ya Leeds na kupaisha, kupiga nnje au kumgonga Goal Keeper inatakiwa visahihishwe kwa mechi zijazo tukizipata.



Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Werner pamoja na uzembe lakin anamchango mkubw hope he won't be affected physiologically for missing goals

Japo watu hawamzungumzii ila mount huyu dogo anapiga mwingi sana
Werner ni mtu na nusu, ana makosa ya kukosaga magoli lkn husahihisha kwa kutoa pasi magoli kwa wengine kama ilivyokuwa mechi dhidi ya Shelfied United kwa kumpatia T. Abraham kwa counter attack.

Mount yuko vizuri sana, ingawa Lampard ana uingereza kama wasemavyo wapinzani lkn kwa Mount aendelee kucheza tu maana anaitetea nafasi yake inavyopasa.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Yaani huyu dogo namuona kama Abraham wa pili, dogo kalegea ata mlenda afadhali.
Kai yuko vzr weakness yake ni yuko physical weak so apo ni training tu inahitajika.

Pia ndo first season kucheza EPL so apewe mda
Same to mount Last season people were complaining the way he was, buy now kabadirika
 
Baada ya kuingia Kovacic game ikabadilika kidogo kule mbele Chelsea ikaspeed up mashambulizi na goal la tatu lilianzia kwake kutengeneza ndipo akampa Werner to Pulisic.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom