Adjustments.jpg
 
Kovacic na Kai wanacheza nafasi mbili tofauti
Sio kweli, Kai anacherza CAM lakini pia anacheza forward karibu zote hata striker alishawahi kucheza japo nafasi yake anayoimudu ni CAM, Leo Lampard kamuweka badala ya Mount na Mount badala ya Kova
 
Kwa hyo leo kai hafai kweli mwili wa nyama moyo wa plastic yule dgo kwangu mie ni mchezaji mzuri sana
Kwnaza age yake bdo ni ndgo sana so atakomaaa tu na ata wafanya wote wamgeukie dgo ni Talented sana yule
Leo Kai anaanza Kova benchi
 
Hii gemu ina magoli mengi

Hawa Leeds ni wazur kushambulia but stail yao ya uchezaji rahc kuwafunga , kai harvetz inabid ajikaze anaanguk ovyo
 
Kai anatakiwa apelekwe benchi aingie Kovacic tokea mwanzo nilisema hii game inamuhitaji Sana Kovacic.
 
Back
Top Bottom