Wazee wa Leasing,naskia hadi mashabiki mlianza kwa kukodisha ,dah nyie wazee hatari
emoji3.png
emoji3.png
Wenye vyenu mnashika nafasi ya ngapi?
 
Kwa shabiki anayejua mpira huwezi acha kumtaja Kovacic. Washambuliaji kule mbele wanacheza comfortable kwa sababu nyuma yao kuna transformer zinafanya kazi.

Mount - Kante - Kovacic
Kovacic ni mzur sana
Sema sio mchezaj anaeweza kupa assist 10 or goals10

Tusimsahau kai
 
Kwa hyo leo kai hafai kweli mwili wa nyama moyo wa plastic yule dgo kwangu mie ni mchezaji mzuri sana
Kwnaza age yake bdo ni ndgo sana so atakomaaa tu na ata wafanya wote wamgeukie dgo ni Talented sana yule
 
Huyu mtu wakumuangalia sana leo ikibidi kumuwekea ulinzi shirikishi kwa sababu ndio alikua kiongozi mkuu katika kumuangamiza Ancelloti game yao na Everton. Sasa hii game kwa kawaida inaonekana nyepesi kwetu lakini ni moja game ngumu sana kama approach ya kumuheshimu mpinzani itakuwepo. Lampard anapaswa kutulia sana
 

Attachments

  • IMG-20201204-WA0000.jpg
    IMG-20201204-WA0000.jpg
    24.1 KB · Views: 1
  • IMG-20201204-WA0001.jpg
    IMG-20201204-WA0001.jpg
    36.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom