Abraham...?Wewe ni shabiki maandazi, angaĺia kikosi huko Abraham ndani. Unamwachaje Abraham kwenye big match kama hii.
Hawa jamaa wanavyoongea utafikiri timu yao ni hatari kama Bayern lkn utopolo mtupuJamani nawatangazia kuna msiba kwa jirani, akina Dully hawawezi kusema kwa sababu ni wafiwa
Shime tuwahi mahema ni machache
jamaa anajua kuliko huyo Lampard wako,kwa kilichotokea utakuwa umemuelewa jamaaWewe unajua kuliko kocha?
Au siyo[emoji23][emoji23][emoji23]kesho ndio tutajua mbivu na mbichi, nani amekodi uwanja na nani amekodi jina [emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1637204
Mtu Kesha lalwa mbili ukoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]WOLVES HAACHI MTU LEO NAONA MNAJISAHAULISHA YATIMA WA WENGER
Jambo gani? Unadhani Chelsea ni manyumbu yaliliwa sita?Mjeshi Son ana Jambo lake Leo
Kama alivyolala na bi mkubwa wako ee[emoji23][emoji23][emoji23]Labda daraja la mkapa
Nyie mbuz leo mourinho lazima alale na nyie
Na hapo pia utabisha WoolwichArsenal ndiyo timu pekee epl haijawahi shuka daraja.
KAMA KAWAIDA MECHI IJAYO NA SPURS YANI HAWA YATIMA WA WENGER PAKA WASHUKE DARAJA MSIMU HUUMtu Kesha lalwa mbili ukoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Mashabiki wa arsenal mnapenda kujipa moyo sana kwamba ndo timu ambayo haijawahi kushuka daraja.angalia sasa mnavyoumbuka.Arsenal ndiyo timu pekee epl haijawahi shuka daraja.
Waliojilinda ni hao waliopossses kwa 39% na kupiga shot on taregt 1 tu
Sisi tulicheza 61% na shot on target 3
Uwe objective basi unapotoa maoni yako mkuu
anazingua yule mtt..!!Abraham ni utopolo tu
Kweli cha mtu mavi. Nina imani wew mpira hujaangaliaKuna open chances zozote ambazo mmetengeneza?
Hamkuwa na mbinu zozote za kutafuta goli, mlikuwa mnahangaika na mpira tu hata 18 mmeingia mara chache sana.
Hakuna hata ile trial unayoweza kumlaumu striker, ukiacha moja ya Tammy.