Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Msela vipi, leo unga geto imepungua nini?
Nimecheka sana, kweli usilolijua ni giza nene,
Hivi ukija kugundua mm ni baba yako wa kufikia, au shemeji yako niliyekununulia hako kasmartphone unakokatumia kunikejeli na kunitusi humu utafanyaje?
 
Attachments

  • Screenshot_20201125-104043_1606333197507.jpg
    Screenshot_20201125-104043_1606333197507.jpg
    35.5 KB · Views: 8
MKODISHO FC

  • NO Stadium
  • NO Name
  • NO History zaidi ya ile ya kushuka daraja mara 6 (1910, 1924, 1962, 1975, 1979 and 1988).

Hawa ndiyo Mkodisho wanaojiita Timu kubwa.
Kwa tunao ijua chelsea, tunaamini ilianza 2014.

Huko nyuma chelsea hakuweza kumfikia hata Leeds.
Kwanza me chelsea namuona sio mpinzani wangu, labda siku ya mechi yetu.
Kiufupi chelsea hata akichukua kombe, hainiumi.
Chelsea ni timu ya watoto chini ya miaka 24.
Hawana jipya.
 
Sema ndio kipindi ambacho ww umeanza kujitambua na kuanza kushabikia mpira. Wanaume waliokomaa na wanaelewa mpira toka zamani wanaelewa shughuli ya Chelsea.
 
Nimecheka sana, kweli usilolijua ni giza nene,
Hivi ukija kugundua mm ni baba yako wa kufikia, au shemeji yako niliyekununulia hako kasmartphone unakokatumia kunikejeli na kunitusi humu utafanyaje?
Na ukija kugundua kuwa mimi ni8 babu yako utafanyaje
 
Sema ndio kipindi ambacho ww umeanza kujitambua na kuanza kushabikia mpira. Wanaume waliokomaa na wanaelewa mpira toka zamani wanaelewa shughuli ya Chelsea.
Mkuu nimeanza kufatilia soccer mwaka 98 world cup nchini ufaransa.
Huko nyuma sio kwamba nilikua siangalii gem, hapana, bali nilikua sina timu ya kudumu.
Nishawahi kuishabikia Newcastle, Blackburn, hii ilitokana na tabia yangu ya kupinga kushabikia kitu chenye mashabiki wengi.

Nilianza kuishabikia Manchester United kwenye mechi ya fainali ya UCL dhidi ya Bayan Munich 99.

Sababu mtaani kwetu makaka wakubwa wengi walikua wanashabikia Bayan, hivyo siku ya fainali wengi walikua wanaipa ubingwa Bayan kasoro mimi na mzee ambaye nyumbani kwake ndio tulikuwa tunaangalia gem.

Kwenye mechi ile nakumbuka nilipandia 500 kwa 500, hii ilikua pesa niliyo pewa kwa matumizi ya shule.

Tangu ushindi ule wa Manchester United nikaingiwa rasmi na Shetani wa soccer na mpaka leo mimi ni shabiki wa Manchester United.

Kipindi hicho chelsea ni timu kama Charton tu.
Kwa Tanzania sidhani kama ilikua ina mashabiki, afadhali Aston Villa, nakumbuka ilikua ina mashabiki.
 
Yaani hata QPR ilikuwa inaafadhali
 
Kwa tunao ijua chelsea, tunaamini ilianza 2014.

Huko nyuma chelsea hakuweza kumfikia hata Leeds.
Kwanza me chelsea namuona sio mpinzani wangu, labda siku ya mechi yetu.
Kiufupi chelsea hata akichukua kombe, hainiumi.
Chelsea ni timu ya watoto chini ya miaka 24.
Hawana
Mkuu huwezi kuwa serious ...kwahyo ile Chelsea ya 2004- ya tembo drogba, super frank lamps, john terry, makelele, essien walikuwa wanarukaruka tu uwanjani kama Charlton au Wycombe wanderers.....hauwezi kweli kuwa serious 😂
 
Mfumo mzuri leo ni kushambulia mwanzo mwisho kwa hiyo 4-3-3 itapendeza zaidi.
Inabidi tuwawin kwenye midfield ili tuzibe mianya watu wao wa mbele wasipate mpira....maana hao jamaa naona watakuwa wanatuvizia kwenye counter attacks..na kasi za kina bale na son mmh Leo shughuli IPO......unakumbuka game ya city on target za mbili ndo goli zao
 
MKODISHO FC

  • NO Stadium
  • NO Name
  • NO History zaidi ya ile ya kushuka daraja mara 6 (1910, 1924, 1962, 1975, 1979 and 1988).

Hawa ndiyo Mkodisho wanaojiita Timu kubwa.
Unataka kusema kuwa livakuku hajawahi kushuka daraja??? Hakuna timu ya big four ambayo haijawahi kushuka daraja sio manure,arse8 wàla chelsea wote zilishawahi kushuka daraja kwa vipindi tofauti
 
Mkuu huwezi kuwa serious ...kwahyo ile Chelsea ya 2004- ya tembo drogba, super frank lamps, john terry, makelele, essien walikuwa wanarukaruka tu uwanjani kama Charlton au Wycombe wanderers.....hauwezi kweli kuwa serious 😂
Ndio maana nikamwambiaje wanaume waliokomaa hawawezi kutoa comment kama hiyo yake.
 
Inabidi tuwawin kwenye midfield ili tuzibe mianya watu wao wa mbele wasipate mpira....maana hao jamaa naona watakuwa wanatuvizia kwenye counter attacks..na kasi za kina bale na son mmh Leo shughuli IPO......unakumbuka game ya city on target za mbili ndo goli zao
Kama atapanga midfield vizuri kazi itakua rahisi sana kwa kina James na Chilwell. Naomba aaimuanzishe Kai badala yake aanze Kova ndio mzuri wa kupooza na kuua counter attacks. Kova ana jicho la kuziba space.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom