Akicheza Pulisic lazima Timo acheze no. 9Hii game inafaa Giroud aanze kabisa. Ofoi anaweza cheza sub ya Pulisic au Hakim
Wewe ni shabiki maandazi, angaĺia kikosi huko Abraham ndani. Unamwachaje Abraham kwenye big match kama hii.Wewe utakuwa si mshabiki wa Chelsea.
Stress zinakupeleka kubaya. Yan mechi ya leo ndio unataka umpime Ziyech umeanza kufatilia mpira lini ww?leo nitaangalia mechi yenu mkuu ili nimuone huyo Ziyech anayesifiwa pamoja na hiyo defence ya Zuma, then nitakuja na uchambuzi km kweli mmekodi uwanja au mmekodi jina na jezi![]()
Kuna mechi ngapi huyo Abraham kazingua against big team why usimpange Giroud?Wewe ni shabiki maandazi, angaĺia kikosi huko Abraham ndani. Unamwachaje Abraham kwenye big match kama hii.
Wewe unajua kuliko kocha?Kuna mechi ngapi huyo Abraham kazingua against big team why usimpange Giroud?
Ushahidi upo tena mlishuka daraja mara 1![]()
![]()
![]()
Sisi Arsenal hatujawahi kushuka daraja,
Weka ushahidi
Kama hujui arsenal alishawahi kushuka daraja shauri yakoArsenal walishuka mwaka upi?
Labda daraja la mkapaKama hujui arsenal alishawahi kushuka daraja shauri yako
Unajipya fuatilia vizuri timu yako husiwe shabiki maandaziLabda daraja la mkapa
Nyie mbuz leo mourinho lazima alale na nyie
Abraham mzuri kuliko Giroud.Yaani Lampard yuko obsessed na Tammy hata hampi Giroud for one game?
Pulisic naona ataingia sub kwa sababu za fitness
Msipomfunga Spurs (kitu ambacho kweli sikioni kikitokea), mjiandae na maumivu ya boxing day kutoka kwa wakubwa wa jiji la london wenye facilities zinazoeleweka sio mkodisho