Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuendelea kumpa nafasi Abraham wakati Odoi, Olivier wanasugua benchi ni ujinga mkubwa mno. Hivi hilo takataka huwa anaangalia ata clip zake baada ya mchezo.!!! Nashangaa sana kila siku makosa ni yale yale, pumbavu limeregea sana yaani hawezi kukaa na mpira lazima apoteze.
 
Na hatuwezi chukua ubingwa bila kuzifunga timu kubwa, mwisho wa siku Lampard anafurahia sare
 
Mimi naona Jana angeanza giroud angeleta matokeo hyo dogo hayupo makini.
Ila Chelsea ina watu balaa.yaani anayetoka na anayeingia wote Ni balaa.
Abraham anaendelea kupata experience kadri anavyocheza mechi ngumu. Mzunguko wa pili nawaambia atazifunga big timu zote.
 
Mapendekezo yangu hapo angecheza Timo au Giroud, huyu Abrahama apewe muda mdogo akomae, naona hata Odoi ni bora kuliko Abraham hata kama wanacheza namba tofauti, Odoi angecheza nafasi ya Pulisic na Timo akacheza no. 9, matokeo jana yangekuwa tofauti
Hata mimi naona hivyo Lampard abadilike sasa. Zile dkk anazopewa Tammy nadhani apewe Giroud halafu iwe viceversa. Huyu dogo jana katu cost tungekua tunaongoza ligi mda huu
 
Hata mimi naona hivyo Lampard abadilike sasa. Zile dkk anazopewa Tammy nadhani apewe Giroud halafu iwe viceversa. Huyu dogo jana katu cost tungekua tunaongoza ligi mda huu
Kwangu Abraham hajacost chochote, tuangalie na aina ya mabeki waliomkaba Abraham. Mbona Giroud hajaleta impact yoyote. Matokeo ya sare ni matokeo mazuri sana kwetu. Abraham aendelee kuwa 1st eleven panga pangua, Giroud auzwe January Abraham acheze comfarable.
 
Huyu dogo takataka Abraham anatukostisha sana na si jana tu toka msimu jana tunapiga kelele hapa kuwa huyu dogo hafai kuwa Chelsea. Makosa yale yale dogo hajifunzi ata kubadilika laiti huyu dogo angepevuka kama dogo Mason basi angekuwa balaa
 
Japo mimi simuamini sana Lampard kimbinu lakini kwa game ya jana huwezi kumlaumu sana maana tungekurupuka tu Mechi ingeisha mapema, kikubwa sasa hivi defensive pattern imeanza imarika hii ni ishara kwamba kocha anaiprove licha ya mapungufu yake
 
Hata mimi naona hivyo Lampard abadilike sasa. Zile dkk anazopewa Tammy nadhani apewe Giroud halafu iwe viceversa. Huyu dogo jana katu cost tungekua tunaongoza ligi mda huu
Hao wote hao wanacheza namba ya timo ambae kwa sasa anacheza lw coz ya pulisic kuwa injury ila pulisic akiwa full fit timo acheze 9

Iwe
Pulisic werner ziyech
 
Kwangu Abraham hajacost chochote, tuangalie na aina ya mabeki waliomkaba Abraham. Mbona Giroud hajaleta impact yoyote. Matokeo ya sare ni matokeo mazuri sana kwetu. Abraham aendelee kuwa 1st eleven panga pangua, Giroud auzwe January Abraham acheze comfarable.
Uko sahihi kabisa mkuu. Excellent
 
Hao wote hao wanacheza namba ya timo ambae kwa sasa anacheza lw coz ya pulisic kuwa injury ila pulisic akiwa full fit timo acheze 9

Iwe
Pulisic werner ziyech
Nadhani kuanzia game ijayo Timo atarudi namba yake kwa sababu Pulisic kashapona
 
Kuendelea kumpa nafasi Abraham wakati Odoi, Olivier wanasugua benchi ni ujinga mkubwa mno. Hivi hilo takataka huwa anaangalia ata clip zake baada ya mchezo.!!! Nashangaa sana kila siku makosa ni yale yale, pumbavu limeregea sana yaani hawezi kukaa na mpira lazima apoteze.
Mimi ni mpenzi mkubwa wa Lampard ila hapo kwa Abraham simuelewi kabisa, labda anaona tusioweza kuona sisi ila kweli hata kama Tamy Abrahama atatufaa huko mbeleni, asiwekwe kwenye big matches. Jana angekuwepo Giroud au Timo kwenye striker na Odoi kushoto tungepata sio chini ya bao 2
 
Kweli mkuu lampard na wachezaji wanastahili credit ...kuwazima son na Kane most lethal strikers in EPL KWA sasa linahitaji credit ...bado ni developing coach atakuwa vizuri ..guardiola na city yake kala chuma 2 wiki iliyopita.kinachomsumbua lampard ni English player favouritism ndo weakness. Yake
Sema wazi hasa Tammy, kwa sababu Mount, Chilwell, Reece wanastahili kuwepo pale walipo
 
Sema wazi hasa Tammy, kwa sababu Mount, Chilwell, Reece wanastahili kuwepo pale walipo
Yeah kweli asante KWA kunisahihisha km ingekuwa English player favouritism tungeona na odoi naye anapata nafac lkn sivyo ....huyu Tammy lamps cjui anaona non sisi hatukiona binafs naona bora angeanza giroud
 
Nilikuwa namponda Lampard ila sasa nimeanza kumuelewa kwa sababu nimebadilisha mtazamo nimuelewe kama anavyotaka yeye tumuelewe. Nimemuelewa kwanini anampenda Abraham, Abraham bonge la striker ukweli usemwe. Lampard kwa ubora wa mechi ya jana namvalisha viatu vya pep, klopp, anceloti, conte, Simione vinamtosha kabisa. Atakayesema Lampard out kuanzia Jana akatafute timu ya kushangilia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom