Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,078
- 7,422
Hilo suala linaniboa Sana Bora Abraham alivyoumiaLampard atakua kuna kitu anafanywa na Abrahamu kitakua kinamfurahisha sana.
We nimeshakuona ni kichwa maji. hata hujui unashabikia timu gani.Abraham mzuri kuliko Giroud.
Don Clericuzio Umeangalia mpira kweli? au umefuatilia kupitia livescore Chelsea ndio kadominate game possession ya 61 Mourinho alipaki kibasi hasa kipindi Cha pili chote.Hongereni kwa kupata sare kwa Tottenham.
Naona Lampard kaja na mfumo wa kujilinda zaidi anapokutana na wakubwa.
Vs Man Utd 0 - 0, vs Tottenham 0 - 0. Safi sana.
Sasa hiv huyu jamaa simuelewi kabisaWe nimeshakuona kichwa maji. hata hujui unashabikia timu gani.
Wewe Ni wakupuuzwa.Kama sio Abraham kuwa pale mbele tungefungwa. Abraham alikuwa anawafanya mabeki wa toten wasipande sana. Dogo anakipaji kikubwa sana leo haikuwa bahati yake kufunga. Giroud auzwe January ameingia sub hakuna alichokifanya.
Hata hajaumia, lampard sio kocha hili litakuja kijidhihirisha tu huko mbele.Hilo suala linaniboa Sana Bora Abraham alivyoumia
Don Clericuzio Umeangalia mpira kweli? au umefuatilia kupitia livescore Chelsea ndio kadominate game possession ya 61 Mourinho alipaki kibasi hasa kipindi Cha pili chote.
Huyo jamaa ni Juma lokole, muelewe tu.Sasa hiv huyu jamaa simuelewi kabisa
Arsenal ndiyo timu pekee epl haijawahi shuka daraja.Kama hujui arsenal alishawahi kushuka daraja shauri yako
Spurs ndiyo timu kubwa London.View attachment 1637880
Mkubwa wa London atakuwaje midtable team.....
We jamaa mpira unaujua. Kuna watu watakuja kumsifia Lampard hapa kuwa kacheza vizuri. Kumbe hamna kitu. Pasi zinapgwa na mabeki tu.Kuna open chances zozote ambazo mmetengeneza?
Hamkuwa na mbinu zozote za kutafuta goli, mlikuwa mnahangaika na mpira tu hata 18 mmeingia mara chache sana.
Hakuna hata ile trial unayoweza kumlaumu striker, ukiacha moja ya Tammy.
Noma sana,Mkuu naona ulihama kutoka ile midtable team na kuishabikia spurs tehteh....


imepanda leo imekuwa ya 7Haahaaa Kumbe we ni nyumbu ...mi nilujua arsenyetoNoma sana,imepanda leo imekuwa ya 7
Kwahiyo kutotengeneza nafasi nyingi ndio kubaki kibus?Kuna open chances zozote ambazo mmetengeneza?
Hamkuwa na mbinu zozote za kutafuta goli, mlikuwa mnahangaika na mpira tu hata 18 mmeingia mara chache sana.
Hakuna hata ile trial unayoweza kumlaumu striker, ukiacha moja ya Tammy.
Waliojilinda ni hao waliopossses kwa 39% na kupiga shot on taregt 1 tuHongereni kwa kupata sare kwa Tottenham.
Naona Lampard kaja na mfumo wa kujilinda zaidi anapokutana na wakubwa.
Vs Man Utd 0 - 0, vs Tottenham 0 - 0. Safi sana.
Kama sio kocha ni nani basiHata hajaumia, lampard sio kocha hili litakuja kijidhihirisha tu huko mbele.
Next game Leeds, kwa huu upuuzi wa Lampard tukipata hata droo najipiga ban.