Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

We jamaa mpira unaujua. Kuna watu watakuja kumsifia Lampard hapa kuwa kacheza vizuri. Kumbe hamna kitu. Pasi zinapgwa na mabeki tu.

Kuna timu ukipaki basi utasakamwa mpk utaona chamoto, sio Lampard hajui mbinu zozote. mwenzio akipaki basi inamaana kashakubali kufungwa.
Chuki huleta upofu. Fungueni macho acheni chuki. Mpira uliochezwa na attacking bado hamuoni chochote? Ukiacha blunder za Tammy hukuona mpira uliochezwa na Hakim au Timo? Basi hata kina Kova na Kante nao hukuona juhudi zao?
 
Ila kuwa muazi Abraham Ni utopolo mtupu
 
Chuki huleta upofu. Fungueni macho acheni chuki. Mpira uliochezwa na attacking bado hamuoni chochote? Ukiacha blunder za Tammy hukuona mpira uliochezwa na Hakim au Timo? Basi hata kina Kova na Kante nao hukuona juhudi zao?
Achana nao hao mashabiki oyaaa oyaaa jana tumecheza mpira mzuri sana, kila mchezaji ametendea haki nafasi yake. Hakuna aliyezingua abraham mwenyewe alikuwa anawachachafia pale mbele, mabeki walibana haswa wangemsahau tuu angewafunga. Kama sio Abraham kuumia angetupia lazima. Nachompenda Abraham akikosa goli anaonyesha sura ya kusikitika sana kutoka moyoni
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Lampard anastahili pongezi kwa kudeal vizuri na attacking force ya Tot Spurs maana sikuelewa kama Kane yupo uwanjani na huyo Son aijui alipotelea wapi kwa hapo nampa pongezi nyingi Lampard.

Pia uwepo naTammy ulitunyima ushindi mapema kwa sababu toka mwanzo nilisema game hii ilihitaji striker anae weza kuhold mabeki hata wawili kwa maana itawapa nafasi kina Timo na Hakim kufunga au kujitengenezea nafasi wao wenyewe lakini uwepo wa Tammy unapunguza ufanisi na ndicho kilichotokea jana. Lampard alizembea sana kufanya sub ya Tammy Spurs walikua wanafungika. Lakini yote kwa yote naamini bado anajifunza na kadritunavyoenda atarekebisha makosa yake.
 
Kweli mkuu lampard na wachezaji wanastahili credit ...kuwazima son na Kane most lethal strikers in EPL KWA sasa linahitaji credit ...bado ni developing coach atakuwa vizuri ..guardiola na city yake kala chuma 2 wiki iliyopita.kinachomsumbua lampard ni English player favouritism ndo weakness. Yake
 
Chuki huleta upofu. Fungueni macho acheni chuki. Mpira uliochezwa na attacking bado hamuoni chochote? Ukiacha blunder za Tammy hukuona mpira uliochezwa na Hakim au Timo? Basi hata kina Kova na Kante nao hukuona juhudi zao?

Mpira umechezwa mkuu sana tu, kiungo yenu imecheza sana na mpira, sana.

Mimi nazungumzia kutengeneza nafasi za magoli, kucheza ukiwa na malengo ya kushambulia, kutafuta goli.
 
Mumeshinda ngapi?
 
Wewe mkuu hukuangalia mpira live au una biasness
nafasi zilziotengenezwa ni za hatari only that bahati haikuwa ya kwetu
Tammy Abraham katuuza, hawezi krosi za kasi ya akina Ziyech na Reece
 
Mnaomlaumu Abraham kwani Giroud kafanya nini cha maana pale mbele? Nyie mnajua mpira kuliko kocha? Acheni ujinga Abraham katumia vizuri nafasi alizopata sema mipira ya cross ilikuwa inamjia kasi sana huwezi kupiga kichwa kizuri.
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Lampard anastahili pongezi kwa kudeal vizuri na attacking force ya Tot Spurs maana sikuelewa kama Kane yupo uwanjani na huyo Son aijui alipotelea wapi kwa hapo nampa pongezi nyingi Lampard.

Pia uwepo naTammy ulitunyima ushindi mapema kwa sababu toka mwanzo nilisema game hii ilihitaji striker anae weza kuhold mabeki hata wawili kwa maana itawapa nafasi kina Timo na Hakim kufunga au kujitengenezea nafasi wao wenyewe lakini uwepo wa Tammy unapunguza ufanisi na ndicho kilichotokea jana. Lampard alizembea sana kufanya sub ya Tammy Spurs walikua wanafungika. Lakini yote kwa yote naamini bado anajifunza na kadritunavyoenda atarekebisha makosa yake.
Mapendekezo yangu hapo angecheza Timo au Giroud, huyu Abrahama apewe muda mdogo akomae, naona hata Odoi ni bora kuliko Abraham hata kama wanacheza namba tofauti, Odoi angecheza nafasi ya Pulisic na Timo akacheza no. 9, matokeo jana yangekuwa tofauti
 
Chuki huleta upofu. Fungueni macho acheni chuki. Mpira uliochezwa na attacking bado hamuoni chochote? Ukiacha blunder za Tammy hukuona mpira uliochezwa na Hakim au Timo? Basi hata kina Kova na Kante nao hukuona juhudi zao?
Kwakweli jana kwa mbali nimeanza kuiona chelsea ninayoisuburia sasa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom