lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,480
Safari hii umenena vyema kwamba unatunza wewe badala ya kuwaambia wengine watunzeNatunza hii Post
Safari hii umenena vyema kwamba unatunza wewe badala ya kuwaambia wengine watunzeNatunza hii Post
Baba yako nyumbani je?Tabia za wanaume wanaoingiliwa kinyume na maumbile yao. Jikaze mtoto wa kiume, shobo zitauponza mnyeo huo![]()

Unajifunza kutukana mdogo wangu?Basi unawashwaaaa mwenyewe, wakunaji hatutaki kukukuna kipele chako kidogo.
Huo ni ushamba,Kweli ĄiseeeeeeeeeehhhhhhChelsea fc Halisi tunataka uwanja mpya. Tumechoka kuendelea kutumia uwanja kasha la kiberiti. Tote hawana mafanikio yoyote lakini wanalo bonge la uwanja. Katika timu zote za top 6 zina viwanja vikubwa sasa ukubwa wetu ni upi ndani ya top 6 kama tunashindwa kujenga uwanja mkubwa wa kisasa?
Ni mapuuzi sana hayaAaaah jamani kumbe mpak hapo juzi juzi tu 1988 hawa wajinga walishuka daraja![]()
KabisaSisi Chelsea fc ni kama CHADEMA, umaarufu wetu mkubwa hauendani na kaofisi kadogo tulikopangisha Ufipa.
Wewe Jamaa usiwe na Kichwa ngumu haya na hili pinga! Au nayo hii ni mbinu ya kufuta Post yangu ya Awali?
Kama hujui Mimi niliajiriwa mwaka 2010 Tabora.
View attachment 1636732
View attachment 1636733
Usihangaike na mkodisho mkuu, 99% ni akili ndogoKama baba yako je?Tuwe natafuta kujua kwanza CV za hawa akina Dully, unaweza ukamkuta ni msela au teja

Chelsea bila Abramovic ndugu yangu ni Coastal union iliyochangamkaMnatakiwa mjue sisi ni mashabiki wa chelsea na sio wa abramovic ko kakodi yeye sio sisi.sisi tunashabikia chelsea fc
Kitu huwa siwaelewi mafans wa chelsea ni kutokwa povu timu yenu ikikosolewa,sijui ndio Mentality ya timu ndogo, au wengi wenu ni watoto,au hamjui kuheshimu mawazo ya wengine, au labda hamjiamini![]()
Msela vipi, leo unga geto imepungua nini?Kama baba yako je?![]()
![]()
![]()
Tatizo kubwa mnashindwa kutofautisha kati ya idea na facts ,dully na kunggwaba wanataka kuhalalisha mambo madogo wasiyoyajua kuwa facts wakati ni weupe kwenye eneo hilo ,wakisema Chelsea atafugwa tutaheshimu idea yao sio kubwabwaja tu ,toka lini pharmacist akajua mergers ,share owning ,associate parties,corporate financing etc ,unapoongelea haya mambo in facts sio idea ,HATUPENDI UJINGA Ila utani wa football uendelee.Kitu huwa siwaelewi mafans wa chelsea ni kutokwa povu timu yenu ikikosolewa,sijui ndio Mentality ya timu ndogo, au wengi wenu ni watoto,au hamjui kuheshimu mawazo ya wengine, au labda hamjiamini![]()
Hawa watu wengi wao ni wale wasioweza kuvumilia changamoto, wapo kama vitindamimba.Kitu huwa siwaelewi mafans wa chelsea ni kutokwa povu timu yenu ikikosolewa,sijui ndio Mentality ya timu ndogo, au wengi wenu ni watoto,au hamjui kuheshimu mawazo ya wengine, au labda hamjiamini![]()
Ukiwachallenge kidogo tu wanalialiaUnakuja kutukejeli kama hivi na wao wakirudisha unasema wanatoka povu. Mimi nafuatilia naona mzani unabalancekesho ndio tutajua mbivu na mbichi, nani amekodi uwanja na nani amekodi jinaView attachment 1637204