Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

torres2_1499771a.jpg

DOUBLE ACE ... Drogba and Torres celebrate
with Mata at Barcelona



Hongereni wakuu kwa kuwaadhibu kina Fabre-gas, gas gas ambao walifikiri kuondoka kwao Gunners ndio suluhisho la kuchukua CL. Napenda kuwapa pole kwa kipigo mnachochubiri. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

BTW ngoja nijikombe kombe na mimi pengine Wacha1 ataondolewa kifungoni. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee

 
Mkuu si tupo sana sema hatupati nafasi wakati mwingine kuzama humu ndani na leo tunarudi ndani ya TOP FOUR.


Karibuni sana kina Mvina,Invisible,Maxence,Rev Kishoka,Al Junior Tz,Rev Masanilo,AB Tchaaz msikimbie tena
 
aisee huu ubakaji ...dakika ya 93 cisse kajaa kati!!! kwisha kazi yenu!!! bonge la baoooo!!! five min to go!! tafuteni hata cha machozi!!
 
acha uchokozi kloro... wape pole wenzako.. yaani lile bus wanalopaki golini likienda service... watu wanachungulia nyavu kama kawa...
Hahahahahaahaaaa mbona hata Man U nao huwa wanapark siku hizi lol
Naona kama ushakuwa mfumo mpya siku hizi badala ya 4 4 2 inakuwa 10 0
 
acha uchokozi kloro... wape pole wenzako.. yaani lile bus wanalopaki golini likienda service... watu wanachungulia nyavu kama kawa...

hehehe na nina hakika lile basi litaenda service tena siku ya munich, kwa ufupi ningewashauri washabiki wa chelsea wakaangalie sredi za mzizimkavu zinazohusiana na kupunguza pressure kule JF dokta lol
 
Muda wa kulala klorokwini nenda kalale acha fujo
Hahahahaaaa mboana na nyinyi mnakulaga za kutosha tu au kwa kuwa leo tumekosea?
Ngoja tutakuona siku ukicheza

Mkuu mimi ni spurs na nilikuombeeni sana leo mtoke draw lakini inaonekana ugonjwa wa chelsick hata kwa maombi hautibiki
 
Cisse....the guy cant stop scoring even if he tried...he just got to close his eyes and swing his foot and its in the back of the net....
 
sad sad sad night...! bt yeah we have th CL and FA to our advantage...our minds n hearts r comitted to that! -on b1/2 of di Matteo.
 
sad sad sad night...! bt yeah we have th CL and FA to our advantage...our minds n hearts r comitted to that! -on b1/2 of di Matteo.

That was the beginning of all the May Misery sir, my condolences in advance!
 
Hayo yamepita ngoja leo tukapige na kuchukua mwali wetu...hiyo itakuwa ni baada ya kuchinja jogoo wa A....
 
hongera zenu ila kwanini mmelikataa goli la wazi kabisa kweli hela sio mchezo..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom