Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Unataka kusema kuwa livakuku hajawahi kushuka daraja??? Hakuna timu ya big four ambayo haijawahi kushuka daraja sio manure,arse8 wàla chelsea wote zilishawahi kushuka daraja kwa vipindi tofauti
Arsenal walishuka mwaka upi?
 
Inabidi tuwawin kwenye midfield ili tuzibe mianya watu wao wa mbele wasipate mpira....maana hao jamaa naona watakuwa wanatuvizia kwenye counter attacks..na kasi za kina bale na son mmh Leo shughuli IPO......unakumbuka game ya city on target za mbili ndo goli zao
Tafuta mbinu nyingine. Huwezi kutuminya kwenye midfield. Hojbjerg atakuwepo kuiweka mfukoni midfield yenu. Ndombele atakuwepo kuwa-destroy (yaani kama ilivyokuwa tu kwenye game ya City. Lampard akitaka kupata matokeo leo asije kwa dharau na kutaka kushambulia. Timu yoyote iliyotaka kuishambulia sana Spurs msimu huu ilidondokea pua. Ni Everton pekee waliofanikiwa.
 
Mkuu nikishambualia unakufa wewe. Nasema ivyo kwa sababu kiungo mkabaji yupo Kante utafananisha na kina Rodri wale?
 
Mkuu nikishambualia unakufa wewe. Nasema ivyo kwa sababu kiungo mkabaji yupo Kante utafananisha na kina Rodri wale?
Naijua shughuli ya Kante ila Ndombele taa yake imewaka lazima Kante atolewe kafara kumkaba yeye tu. Hapo bado Kane hajarudi nyuma kucheza ile false 10 yake. Defense yenu lazima itajivuta tu. Hapo ndipo Son anaingia kutufungia goli la kwanza. Baada ya hapo mpira utakuwa wa kasi sana.
 
Hahaa.. mkuu unaongelea defence yetu ya Thiago, Zouma na Rudiger bila kumsahau Mendy. Nadhani utakua uahapata habari zao hao.
 
Hahaa.. mkuu unaongelea defence yetu ya Thiago, Zouma na Rudiger bila kumsahau Mendy. Nadhani utakua uahapata habari zao hao.
Zouma Jose anaujua udhaifu wake. Akiachama tu tunawasha moto . Ki ukweli jamaa yangu leo nimetulia tu nasubiri kipyenga. Game itakuwa nzuri sana kuitazama (simaanishi Spurs tutataka kuwashambulia ). Itatawaliwa na mbinu za hapa na pale. Leo inabidi Lampard awe mtulivu kule kwenye touchline. Asianze kuleta yale mambo yake ya siku ile tunawatoa kwenye Kalagabaho.
 
Tafuta mbinu nyingine. Huwezi kutuminya kwenye midfield. Hojbjerg atakuwepo kuiweka mfukoni midfield yenu. Ndombele atakuwepo kuwa-destroy (yaani kama ilivyokuwa tu kwenye game ya City. Lampard akitaka kupata matokeo leo asije kwa dharau na kutaka kushambulia. Timu yoyote iliyotaka kuishambulia sana Spurs msimu huu ilidondokea pua. Ni Everton pekee waliofanikiwa.
Pole sana Unafikiri tutamuweka jorghino.....pale atakaa general IDD amin ngolo kante ....wakisaidiana na unpressable midfielder kamanda kova.....wale sio kina rodri
 
Pole sana Unafikiri tutamuweka jorghino.....pale atakaa general IDD amin ngolo kante ....wakisaidiana na unpressable midfielder kamanda kova.....wale sio kina rodri
Nadhani hujaangalia kiwango cha sasa cha Ndombele. Ni kwamba moto umewaka. Hao wawili itabidi wapewe kazi ya kumkaba yeye tu. Sasa hapo unafikiri Kane atawaacha kweli.
 
TMDA wanasimamia duka la Dawa? Oh my God
Kumbe mweupe kiasi hicho! Hiyo ndiyo shida ya ujuaji mwingi.
Halafu ID yake namtunzia mimi sio?
Namaanisha mtu mwenye taaluma ya Famasia anakibali kwa kusimamia duka la madawa. Sasa TMDA siyo taaluma, Hakuna mtu anasomea TMDA darasani. Unaweza kuwa umeajiriwa TMDA ila una taaluma ya Famasia. Hata hayo huyajui King Madawa?
 
Mkuu nimeanza kufatilia soccer mwaka 98 world cup nchini ufaransa.
Huko nyuma sio kwamba nilikua siangalii gem, hapana, bali nilikua sina timu ya kudumu.
Nishawahi kuishabikia Newcastle, Blackburn, hii ilitokana na tabia yangu ya kupinga kushabikia kitu chenye mashabiki wengi.

Nilianza kuishabikia Manchester United kwenye mechi ya fainali ya UCL dhidi ya Bayan Munich 99.

Sababu mtaani kwetu makaka wakubwa wengi walikua wanashabikia Bayan, hivyo siku ya fainali wengi walikua wanaipa ubingwa Bayan kasoro mimi na mzee ambaye nyumbani kwake ndio tulikuwa tunaangalia gem.

Kwenye mechi ile nakumbuka nilipandia 500 kwa 500, hii ilikua pesa niliyo pewa kwa matumizi ya shule.

Tangu ushindi ule wa Manchester United nikaingiwa rasmi na Shetani wa soccer na mpaka leo mimi ni shabiki wa Manchester United.

Kipindi hicho chelsea ni timu kama Charton tu.
Kwa Tanzania sidhani kama ilikua ina mashabiki, afadhali Aston Villa, nakumbuka ilikua ina mashabiki.
Nimesoma hiyo para ya mwisho tu, kwakweli upewe sifa nyingi mkuu, umemaliza vema kabisa.... Charton athletic
Basi hata hili nalo watakuja kupinga dah...

Maendeleo hayana chama
Mkodisho kama mkodisho
 
Mkuu huwezi kuwa serious ...kwahyo ile Chelsea ya 2004- ya tembo drogba, super frank lamps, john terry, makelele, essien walikuwa wanarukaruka tu uwanjani kama Charlton au Wycombe wanderers.....hauwezi kweli kuwa serious
Usiwe pinga pinga tu mkuu

Maendeleo hayana chama

Mwaka 2003 kushuka chini chelsera ilikuwa kama dijon ya leo
 
Unataka kusema kuwa livakuku hajawahi kushuka daraja??? Hakuna timu ya big four ambayo haijawahi kushuka daraja sio manure,arse8 wàla chelsea wote zilishawahi kushuka daraja kwa vipindi tofauti
Sisi Arsenal hatujawahi kushuka daraja,
Weka ushahidi
 
Hahaa.. mkuu unaongelea defence yetu ya Thiago, Zouma na Rudiger bila kumsahau Mendy. Nadhani utakua uahapata habari zao hao.
leo nitaangalia mechi yenu mkuu ili nimuone huyo Ziyech anayesifiwa pamoja na hiyo defence ya Zuma, then nitakuja na uchambuzi km kweli mmekodi uwanja au mmekodi jina na jezi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom