Kyatile
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,739
- 1,585
Unajaribu kupumbaza wajinga siyo? Baada ya kuona unaumbuliwa ukaamua uje na mbinu ya kishamba? Hauwezi kabisa ku-neutralize ukweli ulioundika awaliOngeza na hizi [emoji116] basi ingawa ninazo nyingi tu posts kama hizi [emoji23][emoji23]
View attachment 1636702
View attachment 1636703
View attachment 1636704
Dah! Hatari sana, Yani unaleta Posts zangu za kujifurahisha unazileta hapa kuonesha weakness kwangu?
Kwakifupi nimegraduate Bachelor degree mwaka 2009, hayo mengine ni mbwembwe za JF tu [emoji23][emoji23][emoji23]