king otaligamba
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 2,178
- 2,038
Oy wanangu wa blues mpo?
Hivyo vimji tudogo kama Liverpool na Manchester unataka kulinganisha na London, ni kama Lushoto na Dar es salaamTIMU YA CHELSEA
• Inapatikana kwenye mji wa Fulham
• Timu inamilikiwa na Abramovic
• Uwanja wa Nyumbani ni Stanford Bridge imekodi kutoka kwa Freeholders (Kampuni ya wanachama isiyo ya Kimiashara ambayo Mwenyekiti wake ni John Terry).
• Jina la Chelsea linamilikiwa na wanaomiliki uwanja (Freeholders).
• Abramovic alitaka kuununua na uwanja ili aumiliki na Timu wenyewe wakagoma.
• Akataka kuanzisha Project ya uwanja Mpya wa £1B, Freeholders wakamwambia katika mkataba wetu tulioikodisha Timu uwanja ni Lazima Timu inayoitwa Chelsea icheze mechi zake za Nyumbani kwenye uwanja huu wa Stanford Bridge, iwapo utahamia uwanja mwengine basi haitakuwa na haki ya kutumia jina la Chelsea, hivyo ukijenga uwanja Mpya Timu ibadilishe jina isiwe tena Chelsea.
Project ya uwanja Mpya imeshindikana.
• Abramovic ameinunua Timu bila ya uwanja na Jina, kwa wakati huo haikuwa shida kwake kupewa Timu bila ya Kumilikishwa Jina na Uwanja kwani bei yake ilikuwa ni ndogo, but Now Timu imeshapanda Thamani ya takriban 2B. Kuna kila dalili hatoweza kuiuza tena Timu hata akitaka kufanya hivyo! Nani atakubali kununua Timu kwa more than £2B+ bila ya Uwanja wala hatimiliki ya Jina? Labda iuzwe chini ya £1B.
Freeholders kamwe hawatakubali Uwanja na Jina la Timu Limilikiwe na yoyote yule zaidi ya wao Wanachama (Kampuni isiyo ya kibiashara).
"Abramovic kazi Anayo"
Hii taarifa ni ya 2005Chelsea could have to drop their famous name if they move out of Stamford Bridge. The 'Chelsea FC' name is held by members of the Chelsea Pitch Owners (CPO), who also own the ground and the turnstiles at Stamford Bridge.
While Chelsea have dismissed suggestions that they plan to use the new Wembley stadium if they decide to rebuild Stamford Bridge as "pure speculation", it emerged that any move out of their west London home could involve the loss of their famous name.
The Premiership leaders, who will secure their first title in 50 years if they beat Bolton at the Reebok Stadium tomorrow, denied any plans were in place to move to the new showpiece £757million Wembley stadium or that they were involved in talks about the renovation and upgrading of their current ground.
Chelsea's current capacity is 42,449 and it is no secret that the club's current success has put a strain on their resources because of the massive increase in the numbers of fans wanting to see Jose Mourinho's side in action.
But any restructuring of Stamford Bridge cannot be undertaken without detailed consultations involving the local authorities, residents and the CPO.
The biggest stumbling block for any proposed relocation from Stamford Bridge would mean the loss Chelsea FC as one of the safeguards put in place by the CPO was that the name could not be traded on outside their spiritual home. 'I don't think they can trade as the 'Chelsea FC' brand away from Stamford Bridge' A spokesman for the CPO, Stephen Frankham, said: "My recollection is the CPO own the name of the football club and the CPO shareholders would have to balloted about such a move.
"But I don't think they can trade as the 'Chelsea FC' brand away from Stamford Bridge. It was to stop the name going anywhere. "How the club deal with that I'm not certain. The CPO also own the pitch and if Stamford Bridge was redeveloped as a stadium then no problem. "But the pitch cannot be redeveloped for commercial use."
To make matters even more difficult for the club's owner, Roman Abramovich, the penthouses alongside the ground are, in the main, privately owned and therefore it would be virtually impossible for the club to serve compulsory purchase orders on them. One of the flat owners is former club chairman Ken Bates, who sold the club to the Russian billionaire. Enormous amount of planning to merely upgrade the ground Chelsea have acknowledged several times in discussion forums with their supporters that they would like to increase the capacity to 50,000 but it would take an enormous amount of planning to merely upgrade the ground for such a limited increase in seats.
A spokesman for the club said today: "Chelsea have made it public on several occasions that in an ideal world we would like to increase the capacity to around 50,000. "However that depends on a variety of different factors and there are several major issues involved. "Nothing will be done without the complete co-operation and dialogue with the local council and residents. "But at this time any speculation with regard to increasing the attendance capacity is exactly that - pure speculation."
Wambea wa BONGO BANA WANELEZEA VITU HATA VILE VYA KISHERIA KAMA WAKULIMA WA TURIANISubiri aje lembu uone atakavyojitetea mwanzo mwisho kwa Makala hata za Shaffih Dauda 😂😂
Wewe uashabiki wako ni wa kikulima mnoUnadhani bila ya Ushabiki kungekuwa na hicho kinachoitwa Mpira wa miguu?
Kiukweli Jorginho ni liability kwa team zinazo tu press Kaka...Haleti stability inayotakiwa kabisa.Jorginho akichezaga Dm lazima kuanzia dk 40 au after HT tutazidiwa na pengine kufungwa. JO ni takataka kabisa bora angetupwa kule Arsenal
Tuombe tu kante asije akaumia, maana huyu jorginho sio wakumtegemea kabisaaKiukweli Jorginho ni liability kwa team zinazo tu press Kaka...Haleti stability inayotakiwa kabisa.



Hawa ndio wanasababisha tunafungiwa internet kwa kudiscuss upuuzi, Arse888 ndio walichobak kushabikia hicho tu na unbeaten hamna kingine. Wanasahau wameshakua pombe ya ngomani.Haahaaaa Mwingine anakwambia njooni tuwaazime uwanja wetu wa zamani wa Highbury.....sasa cjui wana hisa kwenye hyo uwanja
Sub'hnaallahUnajua ukweli upo hivi! Wale Raia wa pale Mjini Fulham ambao ni haters wa Fulham FC tokea kizazi na kizazi ndiyo wanaomiliki Jina la Chelsea na Uwanja tu.
Kuna Chelsea Kampuni hiyo inamiliki Wachezaji, Kocha na Staffs members wa Chelsea.
Sasa Abramovic yeye kauziwa Wachezaji tu na Chelsea Kampuni.
Raia wa Fulham wamegoma kuuza uwanja na Jina.
Hivyo Abramovic anamiliki Watu (Wachezaji) tu na si Timu kama wengi wanavyoamini.
Abramovic ni GSM anayeishi Ulaya tu kwani GSM anamiliki Wachezaji tu Yanga kina Sarpong lakini Timu inamilikiwa na Wanywa Viroba wa Dar.
Hivyo Abramovic alitaka kujifanya Mjanja kutaka kujenga Uwanja wake ili amiliki Timu kamili kwani Wachezaji na Uwanja ndiyo Timu kamili lakini Wahuni wa Fulham wakamwambia we Kenge ukitaka kujenga uwanja wako basi chukua Genge lako lote la kina Bakayoko na Tomori wako ukaanzisha Timu yako utuachie Jina na uwanja wetu tukodishe kwa Mtu mwengine![]()

Ukihoji hapa unaonekana mmbaya,Chuki tu za kocha. Ngoja akishakaribia kufukuzwa ndio atampanga amuokoe kama msimu uliopita.Hivi kwanini Lampard hiwa hampangi Giroud?? Angalia ni magoli mangapi tunakosa kutoka kwake..
#CFC
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kwani umekasirika?Mnachobishana sijaona tija yake, wabongo bana, wenzenu wanapiga hela ndefu maisha yanasonga mbele wewe hata hela ya kula huna umekaa kutaja mara ooo fulham, mara oooo abramovic. Hizo historia waachie wenyewe, hiyo timu unayoishabikia ambayo inamiliki uwanja na wachezaji wewe unafaidikaje ? Cha msingi shabikia timu unayoipenda hayo mengine waachie wazungu ww hayakusaidii

Hawa wengi wao wanapatikana humu cheltakoSasa wewe uliyekuwa si Mbongo hapa JF unafanya nini? Si uende tu ukatafute hiyo Mihela! Watu wengine bhana! Wanamsubiri Shemeji kaingia Bafuni ndiyo wanabeba Simu yake kuandika utopolo hapa.
Wewe umejuaje kama hawana furaha.Habari za viwanja sijui umiliki sisi havituhusu, wahame wasihame sisi tunashabikia tu,ilimradi inatupa furaha hatujali, Hao Arsenal wana viwanja viwili lakini bado hawana furaha na timu yao! kila msimu wao ni kuchambia miba tu.
Ukweli ulivyo hili mlikuwa hamlijuiWewe ndio umepanicAcha kupaniki, ni kweli ulichoambiwa unadiscuss upuuzi, sasa viwanja sijui umiliki sisi vinatuhusu nini? Sisi ilimradi tunashabikia tunafurahi baasiiiiiiii. hayo mambo ya viwanja tuwaachie wao.
Sio wote tulkuw hatujui ndomn ata ukianglia post zangu sijabisha so conclusion ya kusem watu hatujui sio sahihiWewe umejuaje kama hawana furaha.![]()
![]()
Ukweli ulivyo hili mlikuwa hamlijui