Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Karibu sana kwenye baraka, ukiibariki Chelsea umebarikiwa wewe na familia yako. Ila ukiandika utopolo kama huu basi jiandae kuleta matatizo kwenye familia yako.

Badili haraka sema Chelsea leo atashinda.
#CFC

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Uwe unapotezea watu kama hao Chifu maana nao wana haki zao ilimradi wameongea hata kama ni utopolo.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Post kama hizi will not last longer, soon zitapotea mutarudi kwenye Post zenu za Lampard bado anajenga Timu.

Hii ni kawaid kwa fans wa kil timu furahia kitu kikiwepo , mtu yoyote timue yke ikfany jmbo Zuri kawaida kusifia
 
KDB alishaprove kuwa atakuja kuwa hatari nahis aliuzwa sababu y majeraha, pia salah alikuja Chelsea tayar yupo vizur tokea alipo toka alishaonekana mapema tayar ana kitu cha kuoffer. Kila mtu alishangazwa na kuuzwa kwao.

Sasa huyu Abraham unamfananisha na KDB na Salah seriously? Yaani Abraham hana future promissing yoyote. Ungeniambia kwa Odoi au Mount hapo ningekuelewa.
Hamna mchezaji anaenipa dhambi kama Tammy,,,huyu mbwa nikimuona natoa maneno ambayo muumba mbingu na nchi na vitu vyote vilivyomo akinisikia napata wasiwasi..Giloud unamuweka bench kisa huyu
 
Watanzania bana tuna matatizo sana vichwani mwetu, mimi kumshambulia Abraham nalipwa Mshahara? Wewe kumtetea abraham unalipwa mshahara? Kila shabiki anatoa mawazo yake kwa jinsi anavyouona mpira wa timu. Chelsea wanafahamu kama kuna jukwaa la Chelsea jamii forum? Sisi hapa tunajifurahisha tuu hatuongezi wala hatupunguzi chochote kwenye timu. Tunapoteza muda tuu huu Hapa kujadili nonsense issues. Ushabiki wetu hapa hauna impact yoyote kwa timu, unajipa mastress bure
Siyo kwamba wewe ndio mwny matatizo umejificha kutokakwa ID yako ya
Siku tukishinda utaskia kocha anabebwa na wachezaji

Siki tukifungwa utaskia kocha mbov hana mbinu

Kuna mashabiki humu ni wanaishi kwa kutapatapa
Sasa hapo ndio unakuja kushangaa kama wachezaji wanambeba kocha inakuaje tunashindwa.? Hapo ndio unagundua wengi wao wanashindwa kuelewa wanahitaji nini
 
Nyie tako moja fc leo mufungwe ili EPL iende kiminyato, tumeeleeana?
 
Watanzania bana tuna matatizo sana vichwani mwetu, mimi kumshambulia Abraham nalipwa Mshahara? Wewe kumtetea abraham unalipwa mshahara? Kila shabiki anatoa mawazo yake kwa jinsi anavyouona mpira wa timu. Chelsea wanafahamu kama kuna jukwaa la Chelsea jamii forum? Sisi hapa tunajifurahisha tuu hatuongezi wala hatupunguzi chochote kwenye timu. Tunapoteza muda tuu huu Hapa kujadili nonsense issues. Ushabiki wetu hapa hauna impact yoyote kwa timu, unajipa mastress bure
Tammy akikosa goli unajua anatukosesha sh ngapi sisi wajasiriamali?
 
Afu Giroud wao wanaomlilia alipokuwa na rika sawa na alilonalo Abraham kwa sasa alikuwa hana uwezo kama huo alionao Abraham japo bado anahitaji uzoefu wa kutosha, yani kweli dunia haiishiwi vituko tokana na aina ya watu kama hao wanaoona wako sahihi kupinga kila kitu kwa ujuaji mwingi kumbe "ujuaji mwingi mbele ni giza la tororo kabisa"

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Mauno fc mnaongoza kwa kutoa utopolo, Giroud katika umri wa Tammy alibeba golden boot na kuiwezesha klabu yake ya kubeba ubingwa wa ligi,
Usimfananishe Giroud na uchafu
 
Zlatan: Chelsea can’t sign me, I have more trophies than Chelsea. I should be the one to sign Chelsea....
JamiiForums907773118.jpg
 
Umesahau pia kama anataka vijana alimnunua Silva kwan ni kijana. Kama anaweza mtumia silva kwa short plan inashindikana vipi kwa Giroud.
Kwanza ni lazima ujue Silva hakununuliwa ni wakala wake alipendekeza aje darajani kwa sababu tulikua na shida kwenye defense. Pia kwny defence vijana walishapewa nafasi lakini matokeo mliyaona mfano Christensen na Tomori. Hapa point aiyo tu kuwapa nafasi vijana ila unaangalia wanatoa mchango gani kwa timu na ndio maana hata Tammy anapata nafasi.
 
Post kama hizi will not last longer, soon zitapotea mutarudi kwenye Post zenu za Lampard bado anajenga Timu.
Pointless from a pointless fan. Sijatoa hii stat kwamba itadumu, na wala hakuna anayesema Lampard hajengi timu. Kwani Klopp yeye kamaliza kujenga timu, mbona kawaingiza Jota na Thiago. Ndio maana nikasema Pointless
 
Naona wewe Ni mgumu kuelewa wenzako wamesema kwamba Abraham anapewa nafasi kubwa than Giroud kwasababu yakumtengeneza Abraham kwaajili ya future na me nimejenga hoja Kama Ni hivyo Kante apewe game chache alafu game nyingi apewe gilmour kwa kuzingatia hoja yenu hiyo pia idoi acheze game nyingi Ziyech apewe chache Je wewe upo tayari kukubaliana na Hili?
Mkuu issue siyo tu kutoa nafasi eti kisa wapo vijana ndio maana Gilmour anapata nafasi kweny games za FA na nyingine ndogondogo.

Mkuu niwie rafhi ila mnafikiria pafupi sana. Yan kusema Tammy anapata nafasi zaidi ya Oli kwa sababu ya kumu develop Tammy basi ndio apange kikosi kizima cha vijana. Billy akirudi akipewa nafasi akaonyesha uwezo anaweza naye kupata nafasi dhidi ya Kante. Kikubwa tunahitaji kuona ushindani kwa kila nafasi.

Mmeshasahau Tammy alikaa bench alipomkuta Oli na bado Lamps aliendelea kupanga Olivier.
 
PULISIC MATCH STATS

BUNDESLIGA 2018/2019

Mechi alizocheza - 20
Mechi ambazo hakucheza - 14

EPL 2019/2020

Mechi alizocheza full - 19
Mechi alizotokea bench/Sub - 6
Mechi ambazo hakucheza - 13

EPL 2020/2021

Mechi alizocheza full - 2
Mechi alizotokea bench/Sub - 1
Mechi ambazo hajacheza - 5
AYAYA tumepigwaa
 
Point, pamoja na kumchukua miaka minne Klopp alikuja akiwa na miaka mingi ya uzoefu kama kocha wakati Lampard ndio mwaka wake wa pili kwenye football na wa kwanza kwenye big league. Waliokuwa wanamsodoa Klopp akiwemo King Ngwaba leo hii wamekuwa wapole kama njiwa
Comment za namna hii huwa zinamuumiza sana huyo jamaa. Yan hakuamini kabisa kama ni yeye ndio kaharisha vile. 😹😹
 
Rekodi ya Chelsea vs Newcastle pale St James Park hii hapa
Katika mechi 7, Chelsea kashinda moja tu na kutoa droo moja, zote 5 kafungwa

02 Feb 2013L3-2
02 Nov 2013L2-0
06 Dec 2014L2-1
26 Sep 2015D2-2
13 May 2018L3-0
26 Aug 2018W1-2
18 Jan 2020L1-0
 
Mkuu kwani zile 7 zilikuwa za msimu uliopita?

Liverpool 2 Vs Aston Villa 7

Arsenal 0 vs Aston Villa 3

Aston villa ni kiboko wa Liverpool na Arsenal kawatandika kule kule kwako bila huruma
Aston villa kaifunga liverpool kwake acha urongo wewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom