Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Katika kocha aliyewahi/kuifundisha Chelsea mashabiki wakatokea kumchukia ni Lampard, Lampard amevunja rekodi ya club ya kuchukiwa na mashabiki. Kocha wa baridiiiiiiii kimbinu, kimipango, kimauno, kimkakati, kimvuto, kiufundishaji, matokeo n.k amefeli kila idara. Mbaya zaidi kocha anakichwa kigumuu kama jiwe. Lampard hata ashinde makombe 100 Chelsea hayana mzuka wowote Kama makombe tulioshinda na Morihno na conte.
Kimauno.
Kwasababu nyinyi ni chelwowowo basi na mauno damudamu,
Huyu kocha ni wa baridi kimauno, kudadadeki lazima afukuzwe, maana anaenda kinyume falsafa na msingi ya klabu,...
 
Tatizo la lampard afanyi fair treatment na ndio maana watu wanamchukia HIV mpaka leo Giroud wakutocheza hata game 1 kweli epl na ameenda mbali mpaka game ya fa challenge ameshindwa kumpa nafasi kwa upuuzi Huu Nani atauvumilia Kama lengo Ni kutengeneza team ya ushindani kupitia vijana kama issue Ni hiyo kwanini asimpige benchi Ziyech ambaye ana miaka 27 alafu ampe odoi mechi time ambaye ana 21 au amuweke benchi Kante ambaye ana 29 alafu ampe nafasi kinda wa academy huko au Billy gilmour.Acha kutetea upuuzi wa Lampard Kama amtumii Giroud alimuongezea mkataba wa Nini?
lembu
Bigger than life
Cash Money Forever
Mkohoti
Umesahau pia kama anataka vijana alimnunua Silva kwan ni kijana. Kama anaweza mtumia silva kwa short plan inashindikana vipi kwa Giroud.
 
Katika kocha aliyewahi/kuifundisha Chelsea mashabiki wakatokea kumchukia ni Lampard, Lampard amevunja rekodi ya club ya kuchukiwa na mashabiki. Kocha wa baridiiiiiiii kimbinu, kimipango, kimauno, kimkakati, kimvuto, kiufundishaji, matokeo n.k amefeli kila idara. Mbaya zaidi kocha anakichwa kigumuu kama jiwe. Lampard hata ashinde makombe 100 Chelsea hayana mzuka wowote Kama makombe tulioshinda na Morihno na conte.
Hayo makombe anashindia wapi? Wakati kocha hana mbinu zozote zaid ya kutegemea uwezo wa wachezaji.
 
Katika kocha aliyewahi/kuifundisha Chelsea mashabiki wakatokea kumchukia ni Lampard, Lampard amevunja rekodi ya club ya kuchukiwa na mashabiki. Kocha wa baridiiiiiiii kimbinu, kimipango, kimaono, kimkakati, kimvuto, kiufundishaji, matokeo n.k amefeli kila idara. Mbaya zaidi kocha anakichwa kigumuu kama jiwe. Lampard hata ashinde makombe 100 Chelsea hayana mzuka wowote Kama makombe tulioshinda na Morihno na conte.

Wew ndo unamchukia sio mashabiki wote na ukisem lampard ndo koch mbovu kuwah kutokea , villa boas alikua Koch mzur!?
Jizungumzie kama wew unamchukia lampard sio mashabiki wote
 
Mbali na ukweli mchungu kuwa Giroud ni bora kuliko Abraham lakini haiondoi ukweli kuwa Lampard anatengeneza long term planning kwa Chelsea na Tammy Abraham ili aje awe mchezaji bora huko mbeleni lkn si kwa mwaka m1 au miwili ijayo tu.

Kelvin De Brune na Mohamed Salah walichukuliwa poa mno na kuachwa Chelsea lkn sasa hivi tunaona moto wake jinsi wanavyong'aa ktk soka bora baada ya kuaminiwa na kupewa muda wa kutosha na akina Klopp na Pep.

Kumbukeni hata Raheem Sterling naye alikuwaga kimeo vivyo hivyo akiwa Liverpool lkn Pep alimuamini kwa kumpatia muda mwingi wa kucheza hatimaye alikuja kutisha na kuwa mchezaji tegemezi ktk kikosi cha Man City na hata England National Team.

Nawaomba washabiki wezangu tuendelee kuwa na uvumilivu tusiwe na mihemuko na Kocha wala Wachezaji kwa kutaka mafanikio ya haraka haraka.

Ilivyomgharimu Juggen Klop kutengeneza timu kwa zaidi ya misimu mi3-mi4 kuisuka Liverpool hadi ikawa na football chemistry nzuri England hadi Ulaya nzima ndivyo pia inapaswa kumvumilia Lampard ambaye hajamaliza hata msimu m1 na wachezaji aliowasajili.

Ikumbukwe usajili wa wachezaji wapya zaidi ya 8, watahitaji muda wa kumuelewa kocha na kuzoeana ndipo tutamtendea haki Lampard kumuhukumu ubora na ubaya wake.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app

KDB alishaprove kuwa atakuja kuwa hatari nahis aliuzwa sababu y majeraha, pia salah alikuja Chelsea tayar yupo vizur tokea alipo toka alishaonekana mapema tayar ana kitu cha kuoffer. Kila mtu alishangazwa na kuuzwa kwao.

Sasa huyu Abraham unamfananisha na KDB na Salah seriously? Yaani Abraham hana future promissing yoyote. Ungeniambia kwa Odoi au Mount hapo ningekuelewa.
 
Umesahau pia kama anataka vijana alimnunua Silva kwan ni kijana. Kama anaweza mtumia silva kwa short plan inashindikana vipi kwa Giroud.
Hah hah kaangalie unauhakika Chelsea walivunja mkataba wa silva!?
Seriously kama hata usajili wa silva ujaelewa bado unasema ivo
Msimu uliopita ukisem uwezo binafsi mchezaji gani Alkuw kweny consistency all over the season!? ad useme uwezo binafsi!?kingine ujue lampard ndo kwanz mwaka wa tatu kwenye coaching
 
Wew ndo unamchukia sio mashabiki wote na ukisem lampard ndo koch mbovu kuwah kutokea , villa boas alikua Koch mzur!?
Jizungumzie kama wew unamchukia lampard sio mashabiki wote
Na wewe kama unampenda jizungumzie wewe, kocha mbovu, Roman anaogopa tu uingereza wake angeshamtimua.
 
Jizungumzie wewe kila shabiki ana uhuru wa kutoa maoni yake. Lampard takataka tuu.
 
uyo bill si aliumia ndo kwanz saiz katoka majeruhi na ataanz kucheza kwanz timu ya vijana
Unakuja kwa odoi unsem odoi achezi

Nahici ujui kwamba adi saiz odoi Ana goli moja uefa so ukisem odoi pia achezi bro I think chuki yako inkufany adi usau kuwa kun watu wanacheza maybe huwa unchk gemu chche tu za Chelsea
Naona wewe Ni mgumu kuelewa wenzako wamesema kwamba Abraham anapewa nafasi kubwa than Giroud kwasababu yakumtengeneza Abraham kwaajili ya future na me nimejenga hoja Kama Ni hivyo Kante apewe game chache alafu game nyingi apewe gilmour kwa kuzingatia hoja yenu hiyo pia idoi acheze game nyingi Ziyech apewe chache Je wewe upo tayari kukubaliana na Hili?
 
Na wewe kama unampenda jizungumzie wewe, kocha mbovu, Roman anaogopa tu uingereza wake angeshamtimua.
Yani mmiliki aogope kumfukuza kisa muingereza really
Last year lampard alipew goals za kufkia ambapo timu ilitakiwa imalize ndan ya top six lampard akaingia top four so for last season alifankiwa alichowekewa
So reason ya kumfukuza apo ni ipi!?
Secondary currently Chelsea epl kalose one gemu so mech moj kocha afukuzwe!?

Lampard atafukuzwa endapo timu itapoteza maybe match tatu mfululizo so uwez justify kuwa koch ni muingereza ndomana hafukuzwi

Morinho alifukuzw timu ilkuw nafas ya tisa pia
Conte nae sababu mojawapo pia kugombn na baadhi ya wachezaji

So labda bro utoe sababu za kocha kufukuzwa
Same time fuatilia kipindi gudiola anafika man cty same to klopp walipewa mda gani

Kuhuc Mimi kumpnd lampard , naheshimu kile alichofanya kwa last season
Secondary ndo mwanzo wa msimu so i can't judge kuwa kocha afukuzwe timu ikizingua atafukuzwa tu hmna Koch ataedumu kweny timu mda mrefu
 
Katika kocha aliyewahi/kuifundisha Chelsea mashabiki wakatokea kumchukia ni Lampard, Lampard amevunja rekodi ya club ya kuchukiwa na mashabiki. Kocha wa baridiiiiiiii kimbinu, kimipango, kimaono, kimkakati, kimvuto, kiufundishaji, matokeo n.k amefeli kila idara. Mbaya zaidi kocha anakichwa kigumuu kama jiwe. Lampard hata ashinde makombe 100 Chelsea hayana mzuka wowote Kama makombe tulioshinda na Morihno na conte.
Avram Grand say Hi
 
Tatizo la lampard afanyi fair treatment na ndio maana watu wanamchukia HIV mpaka leo Giroud wakutocheza hata game 1 kweli epl na ameenda mbali mpaka game ya fa challenge ameshindwa kumpa nafasi kwa upuuzi Huu Nani atauvumilia Kama lengo Ni kutengeneza team ya ushindani kupitia vijana kama issue Ni hiyo kwanini asimpige benchi Ziyech ambaye ana miaka 27 alafu ampe odoi mechi time ambaye ana 21 au amuweke benchi Kante ambaye ana 29 alafu ampe nafasi kinda wa academy huko au Billy gilmour.Acha kutetea upuuzi wa Lampard Kama amtumii Giroud alimuongezea mkataba wa Nini?
lembu
Bigger than life
Cash Money Forever
Mkohoti
Hiyo chuki yake ndiyo inatetea uhalisia kuwa Lampard si malaika kwamba amekamilika 100% lkn haiondoi ukweli kuwa anahitaji kupewa muda wa kutosha ili kuijenga Chelsea ya ushindani ya kesho na kutwa.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
KDB alishaprove kuwa atakuja kuwa hatari nahis aliuzwa sababu y majeraha, pia salah alikuja Chelsea tayar yupo vizur tokea alipo toka alishaonekana mapema tayar ana kitu cha kuoffer. Kila mtu alishangazwa na kuuzwa kwao.

Sasa huyu Abraham unamfananisha na KDB na Salah seriously? Yaani Abraham hana future promissing yoyote. Ungeniambia kwa Odoi au Mount hapo ningekuelewa.
Raheem Sterling umemruka au umeamua kujisahaulisha nilipomuongelea hapo?

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Na wewe kama unampenda jizungumzie wewe, kocha mbovu, Roman anaogopa tu uingereza wake angeshamtimua.
Kingine msichokijua kuwa Abraham anaona kuna influence kubwa kwa namna 1 au nyingine Chelsea ikawa na uangalizi kimaslahi maana bado ule mgogoro wao wa kisias baina ya nchi yake Russia na UK unaendelea ambapo imepelekea Abraham kutokuishi kabisa UK kama ilivyokuwa huko nyuma kabla ya hizi nchi 2 kutofautiana kisiasa.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Naona wewe Ni mgumu kuelewa wenzako wamesema kwamba Abraham anapewa nafasi kubwa than Giroud kwasababu yakumtengeneza Abraham kwaajili ya future na me nimejenga hoja Kama Ni hivyo Kante apewe game chache alafu game nyingi apewe gilmour kwa kuzingatia hoja yenu hiyo pia idoi acheze game nyingi Ziyech apewe chache Je wewe upo tayari kukubaliana na Hili?
Hata hao wakongwe wenyewe akina Klopp na Pep hawajawahi kujenga timu ya vijana wadogo kiumri bila ya kuchanganya na wakulungwa ili kuwapatia za kiuzoefu na kujiamini zaidi kisoka.

Mfano umeona tangu Silva aje Chelsea kidogo imeanza kutengamaa kiukuta japo bado inahitaji marekebisho mbali mbali ili iweze kuwa na beki imara hasa, hiki ndicho kitu ambacho Beki ya Chelsea ilikuwa inakikosa hapo nyuma chini ya Lampard.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Yani mmiliki aogope kumfukuza kisa muingereza really
Last year lampard alipew goals za kufkia ambapo timu ilitakiwa imalize ndan ya top six lampard akaingia top four so for last season alifankiwa alichowekewa
So reason ya kumfukuza apo ni ipi!?
Secondary currently Chelsea epl kalose one gemu so mech moj kocha afukuzwe!?

Lampard atafukuzwa endapo timu itapoteza maybe match tatu mfululizo so uwez justify kuwa koch ni muingereza ndomana hafukuzwi

Morinho alifukuzw timu ilkuw nafas ya tisa pia
Conte nae sababu mojawapo pia kugombn na baadhi ya wachezaji

So labda bro utoe sababu za kocha kufukuzwa
Same time fuatilia kipindi gudiola anafika man cty same to klopp walipewa mda gani

Kuhuc Mimi kumpnd lampard , naheshimu kile alichofanya kwa last season
Secondary ndo mwanzo wa msimu so i can't judge kuwa kocha afukuzwe timu ikizingua atafukuzwa tu hmna Koch ataedumu kweny timu mda mrefu
Third Lampard aliichukua timu ikiwa imefungiwa usajili msimu mzima.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Swali zuri sana team Lampard wakijibu swali Hili nitag
Tayari nishamjibu, msidhani kuwa kama hamumkubali Lampard kwa madhaifu yake basi ndiyo inapelekea asiendelee na ukocha wake chini ya Chelsea, au basi watu wote watamchukia HAPANA, klabu ni zaidi ya kocha lkn tumpe muda maana ndiyo kwanza hajamaliza hata msimu m1 na wachezaji wapya aliowasajili hivi karibuni.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
KDB alishaprove kuwa atakuja kuwa hatari nahis aliuzwa sababu y majeraha, pia salah alikuja Chelsea tayar yupo vizur tokea alipo toka alishaonekana mapema tayar ana kitu cha kuoffer. Kila mtu alishangazwa na kuuzwa kwao.

Sasa huyu Abraham unamfananisha na KDB na Salah seriously? Yaani Abraham hana future promissing yoyote. Ungeniambia kwa Odoi au Mount hapo ningekuelewa.
Kdb aliuzwa kwa sababu ya majeraha ?????

Kdb aliuzwa kwa sababu hakuaminiwa
Kdb hakupata nafas ya kuonesha uwezo wake wakati katoka bundesliga
Alianza game ya hull city baada ya hapo akaanza kusugua bench
 
Fatilia vizuri mkuu. Majeraha ya mara kwa mara ni moja ya kitu kilichomuondoa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom