radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,291
Astom villa wamoto sanawewe ata villa awe title contender au awe relegator bado anakufumua2[emoji851]
Astom villa wamoto sanawewe ata villa awe title contender au awe relegator bado anakufumua2[emoji851]
Unazungumziaje msimu uliopita badala ya msimu huu? Kwahiyo leeds wanacheza championship? [emoji23] [emoji23] [emoji23]... Kwasasa Relegator s ni sheffield, burnley twende na uhalisiaAisifiaye mvua ujue imemnyea. Leo Villa anakingiwa kifua siyo relegator kwa sababu kawanyoosha watu midomo yao sasa wana heshima. Lakini haimuondoi yeye kuwa relegator kwa sababu ya trend alokua nayo msimu uliopita.
Kweli ndege wafananao huruka pamoja[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aloo jibu zuri sana namimi nilifikiria hivi hivi
Hapo chelsea kamzidi mech moja aston villaAisifiaye mvua ujue imemnyea. Leo Villa anakingiwa kifua siyo relegator kwa sababu kawanyoosha watu midomo yao sasa wana heshima. Lakini haimuondoi yeye kuwa relegator kwa sababu ya trend alokua nayo msimu uliopita.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hivi mnatumia nini kufikiri?Wewe nahisi ndio hauko sawa. Huwezi kuwaita watu relegator na wakati tuko match day 8. Kama ni hivyo basi msiwe mnalia lia tukiwaita Arsenal midtable team kwa nafasi mliyopo sasa.
Nyota njema huonekana asubuhi, sasa game 8 hujashinda hata mchezo mmoja kwa nini ucwepo huko relegation zone...!Tuko game ya 8 unawaita watu relegators?
Relegator ni hao hapo had yatakapo tokea mabadiliko aston villa huwez kumuweka huko kwanza hata fom inambeba ktk kura za kushuka daraja anaweza kuwa sehem nzur zaidi ya hao hapo chini ina maana had chelsea anahusika kushuka daraja angalia mlivyokabana point tofaut ni jina chelsea yule aston villa unapata wap ujasiri wa kumuweka huko villa kwa fom ya sasa pia kwa kiwango cha sasa villa yupo vizur kishashinda mech kubwa mbili tena kwa uwiano mzur tu wa magoli na bado hawajayumba 7.....3 leicester city kachukua ubingwa akiwa katoka kwenye hali ya villaAisifiaye mvua ujue imemnyea. Leo Villa anakingiwa kifua siyo relegator kwa sababu kawanyoosha watu midomo yao sasa wana heshima. Lakini haimuondoi yeye kuwa relegator kwa sababu ya trend alokua nayo msimu uliopita.
Hapo chelsea kamzidi mech moja aston
Leicester hakuanza kuitwa bingwa ndani yamechi 10 za mwanzo.Relegator ni hao hapo had yatakapo tokea mabadiliko aston villa huwez kumuweka huko kwanza hata fom inambeba ktk kura za kushuka daraja anaweza kuwa sehem nzur zaidi ya hao hapo chini ina maana had chelsea anahusika kushuka daraja angalia mlivyokabana point tofaut ni jina chelsea yule aston villa unapata wap ujasiri wa kumuweka huko villa kwa fom ya sasa pia kwa kiwango cha sasa villa yupo vizur kishashinda mech kubwa mbili tena kwa uwiano mzur tu wa magoli na bado hawajayumba 7.....3 leicester city kachukua ubingwa akiwa katoka kwenye hali ya villa View attachment 1625656
Mbona huwa mnalia tukiwaita midtable teamNyota njema huonekana asubuhi, sasa game 8 hujashinda hata mchezo mmoja kwa nini ucwepo huko relegation zone...!
Habari kwa Wapenda Soccer wote!
Zile mechi zetu za Relegators Burnley na Sheffield zimeshaisha! Sasa tutarudi kufukua hili kaburi baada ya Mataifa kumalizana.
Kwa bahati mbaya tupo Season ya 2020/21
Hapo chelsea kamzidi mech moja aston villaView attachment 1625654
Nyie kweli vipofu[emoji15]Ukitaka kichekesho Kama hiki tuma porojo kwenda 25542
Hawaelewagi hao mkuu,Hapo chelsea kamzidi mech moja aston villaView attachment 1625654
Mkuu haya mamtu kuyaelimisha yakupasa uingie na diclopa humuRelegator ni hao hapo had yatakapo tokea mabadiliko aston villa huwez kumuweka huko kwanza hata fom inambeba ktk kura za kushuka daraja anaweza kuwa sehem nzur zaidi ya hao hapo chini ina maana had chelsea anahusika kushuka daraja angalia mlivyokabana point tofaut ni jina chelsea yule aston villa unapata wap ujasiri wa kumuweka huko villa kwa fom ya sasa pia kwa kiwango cha sasa villa yupo vizur kishashinda mech kubwa mbili tena kwa uwiano mzur tu wa magoli na bado hawajayumba 7.....3 leicester city kachukua ubingwa akiwa katoka kwenye hali ya villa View attachment 1625656
Wewe sheikh Yahya? Leicester walisemaga hivihivi mwisho akautwaa ubingwa, soka halipo hivyo,anachofanya Villa kwasasa ni kama mvua za masika itakuja kiangazi kutakua na vumbi. Hao Villa kwakua wana upepo sasa ivi huwezi niambia eti ni tittle contender katika game week 8. Watakata moto then warudi kwny nafasi zao
Kama huyo aliyetandikwa 7 wewe kakutandika 3. [emoji23] [emoji23] [emoji23] Yajayo yanafurahisha.....Mkuu kwani zile 7 zilikuwa za msimu uliopita?
Liverpool 2 Vs Aston Villa 7
Arsenal 0 vs Aston Villa 3
Aston villa ni kiboko wa Liverpool na Arsenal kawatandika kule kule kwako bila huruma
We jamaaa ujielewi mbona hoja haieleweki unasimamia Nini?Nyie kweli vipofu[emoji15]View attachment 1625769