Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

3 Duo to be sold for Declan Rice Purchase

The report cites sources that claim Lampard is willing to listen to offers for Jorginho, Marcos Alonso, and Antonio Rudiger in January to raise the £60 million West Ham will demand for Rice.
 
PULISIC MATCH STATS

BUNDESLIGA 2018/2019

Mechi alizocheza - 20
Mechi ambazo hakucheza - 14

EPL 2019/2020

Mechi alizocheza full - 19
Mechi alizotokea bench/Sub - 6
Mechi ambazo hakucheza - 13

EPL 2020/2021

Mechi alizocheza full - 2
Mechi alizotokea bench/Sub - 1
Mechi ambazo hajacheza - 5
 
PULISIC MATCH STATS

BUNDESLIGA 2018/2019

Mechi alizocheza - 20
Mechi ambazo hakucheza - 14

EPL 2019/2020

Mechi alizocheza full - 19
Mechi alizotokea bench/Sub - 6
Mechi ambazo hakucheza - 13

EPL 2020/2021

Mechi alizocheza full - 2
Mechi alizotokea bench/Sub - 1
Mechi ambazo hajacheza - 5
Hao watakupinga tu kwasababu wanajifanya wafia timu, ila Son ni mtu hatari sana huwezi kumcopare na pulisic huo ni ukichaa
 
Ni kweli niongeze kama hesabu zinakwenda hivyo basi son 1=pepe 89,willian 78 unaonaje hesabu mzee wa fituhi?
Inachoma kama pasi, nimehuzunika sana kuona mnafananisha Son jeshi na huyo kijana wa MOI! Hayo mengine ni yako ila mvumiliage ukweli
 
Kwani burnley anashika nafasi ya ngapi katika msimamo? Kwani lazima utetee ujinga.
Mnatia uvivu kujibiwa, maana kwa mujibu wa msimamo wa ligi hao burnley na sheffield ni relegators kweli,
Mnaleta story za msimu uliopita nyie matakataka mpo sawa kweli kichwani,
View attachment 1624152
Wewe nahisi ndio hauko sawa. Huwezi kuwaita watu relegator na wakati tuko match day 8. Kama ni hivyo basi msiwe mnalia lia tukiwaita Arsenal midtable team kwa nafasi mliyopo sasa.
 
Hivi mzee umeelewa nilichokuwa namaanisha au unakulupuka .....sahv unawaita Burnley na Sheffield relegated teams na kwanza ni GW8 hivi una akili au ubongo umeota kutu.... West ham n Aston villa walispend muda wao mwingi chini lkn wakajinasua na kushuka daraja.......kwahyo msimamo wa sahv wa EPL timu NNE za juu umeshaconclude wale ndo top 4....? Au nyie arsenyeto mpo nafac ya kumi ni midtable team...?
Aloo jibu zuri sana namimi nilifikiria hivi hivi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom