Sikumzungumzia mana sio mchezaji wa chelsea, halafu nahis kama sikosei yeye mwenyewe ndio alifosi kuondoka liverfool.Raheem Sterling umemruka au umeamua kujisahaulisha nilipomuongelea hapo?
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Sikumzungumzia mana sio mchezaji wa chelsea, halafu nahis kama sikosei yeye mwenyewe ndio alifosi kuondoka liverfool.Raheem Sterling umemruka au umeamua kujisahaulisha nilipomuongelea hapo?
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Point, pamoja na kumchukua miaka minne Klopp alikuja akiwa na miaka mingi ya uzoefu kama kocha wakati Lampard ndio mwaka wake wa pili kwenye football na wa kwanza kwenye big league. Waliokuwa wanamsodoa Klopp akiwemo King Ngwaba leo hii wamekuwa wapole kama njiwaMbali na ukweli mchungu kuwa Giroud ni bora kuliko Abraham lakini haiondoi ukweli kuwa Lampard anatengeneza long term planning kwa Chelsea na Tammy Abraham ili aje awe mchezaji bora huko mbeleni lkn si kwa mwaka m1 au miwili ijayo tu.
Kelvin De Brune na Mohamed Salah walichukuliwa poa mno na kuachwa Chelsea lkn sasa hivi tunaona moto wake jinsi wanavyong'aa ktk soka bora baada ya kuaminiwa na kupewa muda wa kutosha na akina Klopp na Pep.
Kumbukeni hata Raheem Sterling naye alikuwaga kimeo vivyo hivyo akiwa Liverpool lkn Pep alimuamini kwa kumpatia muda mwingi wa kucheza hatimaye alikuja kutisha na kuwa mchezaji tegemezi ktk kikosi cha Man City na hata England National Team.
Nawaomba washabiki wezangu tuendelee kuwa na uvumilivu tusiwe na mihemuko na Kocha wala Wachezaji kwa kutaka mafanikio ya haraka haraka.
Ilivyomgharimu Juggen Klop kutengeneza timu kwa zaidi ya misimu mi3-mi4 kuisuka Liverpool hadi ikawa na football chemistry nzuri England hadi Ulaya nzima ndivyo pia inapaswa kumvumilia Lampard ambaye hajamaliza hata msimu m1 na wachezaji aliowasajili.
Ikumbukwe usajili wa wachezaji wapya zaidi ya 8, watahitaji muda wa kumuelewa kocha na kuzoeana ndipo tutamtendea haki Lampard kumuhukumu ubora na ubaya wake.
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Mashabiki wangapi wanamchukia: Hiyo sensa umeifanya lini na kwa methodology ipi? Hakuna kocha aliyewahi kupendwa na mashabiki wote asipobeba makombe. Kocha wa kwanza kupendwa na idadi kubwa ya mashabiki hata bila makombe ni LampardKatika kocha aliyewahi/kuifundisha Chelsea mashabiki wakatokea kumchukia ni Lampard, Lampard amevunja rekodi ya club ya kuchukiwa na mashabiki. Kocha wa baridiiiiiiii kimbinu, kimipango, kimaono, kimkakati, kimvuto, kiufundishaji, matokeo n.k amefeli kila idara. Mbaya zaidi kocha anakichwa kigumuu kama jiwe. Lampard hata ashinde makombe 100 Chelsea hayana mzuka wowote Kama makombe tulioshinda na Morihno na conte.
Mchezaji anawekwa kwa umuhimu wake bila kujali umri, Concern kubwa ya defense imelazimu Silva acheze hata kama ni mzee, yaani tusubutu kuwaweka wale vichwa wenda wazimu tufungwe 5 kila mechi kama yale mabao ya Bonemouth?Umesahau pia kama anataka vijana alimnunua Silva kwan ni kijana. Kama anaweza mtumia silva kwa short plan inashindikana vipi kwa Giroud.
Wamuajiri huyu basi, cheltyako bwanaKimauno.![]()
![]()
![]()
![]()
Kwasababu nyinyi ni chelwowowo basi na mauno damudamu,
Huyu kocha ni wa baridi kimauno, kudadadeki lazima afukuzwe, maana anaenda kinyume falsafa na msingi ya klabu,...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nimekutolea mfano sababu hapa tunajadili mustakabali wa Lampard na wachezaji wa Chelsea Tammy Abraham na Giroud, kwani mbona hukunipinga nilipowatolea mifano Klopp na Pep/Makocha wa timu zingine ilihali tunajadili habari za Lampard? Ebu pevuka kiakili basi siyo kiumri ukiwa na mihemuko ya chuki zako binafsi ndugu.Sikumzungumzia mana sio mchezaji wa chelsea, halafu nahis kama sikosei yeye mwenyewe ndio alifosi kuondoka liverfool.
Kumbe unakubaliana na Mimi Sasa kwanini amuweka benchi Giroud?Hata hao wakongwe wenyewe akina Klopp na Pep hawajawahi kujenga timu ya vijana wadogo kiumri bila ya kuchanganya na wakulungwa ili kuwapatia za kiuzoefu na kujiamini zaidi kisoka.
Mfano umeona tangu Silva aje Chelsea kidogo imeanza kutengamaa kiukuta japo bado inahitaji marekebisho mbali mbali ili iweze kuwa na beki imara hasa, hiki ndicho kitu ambacho Beki ya Chelsea ilikuwa inakikosa hapo nyuma chini ya Lampard.
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Mimi sijasema afukuzwe ila ninapinga kitendo chakutompanga GiroudTayari nishamjibu, msidhani kuwa kama hamumkubali Lampard kwa madhaifu yake basi ndiyo inapelekea asiendelee na ukocha wake chini ya Chelsea, au basi watu wote watamchukia HAPANA, klabu ni zaidi ya kocha lkn tumpe muda maana ndiyo kwanza hajamaliza hata msimu m1 na wachezaji wapya aliowasajili hivi karibuni.
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Giroud mnayetupigia naye kelele ni galasa tu, kwani huyo Giroud wenu anafikia hata nusu ya uwezo wa strikers kama Diego Costa?Kumbe unakubaliana na Mimi Sasa kwanini amuweka benchi Giroud?
Sasa hapangwi, andamana basi duniani kote kumpigia Giroud debe ili apangwe maana naona unateseka sana kuliko hata Giroud mwenyewe ambaye hata hakujui na hahitaji hata kukujua.Mimi sijasema afukuzwe ila ninapinga kitendo chakutompanga Giroud
Ishu ya majeraha sio kweli hakuwa na majerahaFatilia vizuri mkuu. Majeraha ya mara kwa mara ni moja ya kitu kilichomuondoa.
Chelsea ndio timu inayoongoza mpaka sasa kwa kufunga, imefunga magoli 20, inayofuatia ni Spurs magoli 19
Aidha Chelsea na Spurs zinaongoza kwa GD ya 10
Kwa maelezo haya Ukweli ni kwamba mbele tumekamilika. Backline yetu ikiendelea kuzuia magoli, Chelsea tutafanya vizuri kuliko msimu uliopita


. Kwa maana nyingine mashabiki wa Arse8, Manyumbu na takataka zingine wamelaaniwa kwa sababu huiponda club ya Myahudi, hivyo tutegemee timu zao kuwa takataka hadi apo watakapojitambua na kuamua kuungana na Chama kubwa Duniani.


Karibu sana kwenye baraka, ukiibariki Chelsea umebarikiwa wewe na familia yako. Ila ukiandika utopolo kama huu basi jiandae kuleta matatizo kwenye familia yako.Hapa leo nitahamia! Kuna kilio kitarindima jioni ya leo! Hivyo muuguwe pole.



Afu Giroud wao wanaomlilia alipokuwa na rika sawa na alilonalo Abraham kwa sasa alikuwa hana uwezo kama huo alionao Abraham japo bado anahitaji uzoefu wa kutosha, yani kweli dunia haiishiwi vituko tokana na aina ya watu kama hao wanaoona wako sahihi kupinga kila kitu kwa ujuaji mwingi kumbe "ujuaji mwingi mbele ni giza la tororo kabisa"kama tunampinga kocha au baadhi ya wachezaji wenyewe uwezo mdogo kuchezeshwa basi tuangalie na mazingira ya kupinga.
Tupinge pale tunapoona tunafungwa halafu kuna majembe benchi hayapangwi. Msimu ulioisha mwishoni nilipinga abraham kuchezeshwa alikuwa hafungi, akapangwa Giroud tukawa tunashinda.
Leo hii timu inashinda kwa kishindo hatuwezi mpinga Abraham kuchezeshwa kwa sababu timu inapata matokeo hata asipofunga. Tumwache acheze aendelee kupata uzoefu.
Tupingeni jambo kwa wakati sahihi. Tuwaacheni vijana wacheze wakati huu timu inapata matokeo mazuri.