Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

That is the scientific answer, kuna sehemu hata mimi nilishajibu, pamoja na Giroud kuwa bora kuliko Tammy kwa sasa bado atatumika muda mfupi tu may be msimu huu tu halafu ataachiwa aende China au Marekani, Tammy anayo safari ndefu na kila dalili ya kuwa best striker ameonyesha. Pia Tammy anapewa dakika kwa sababu ya injury ya pulisic na hiyo nafasi ni ya Timo Werner wala sio Giroud au Tammy. Ila bado nasisitiza, Kocha awape wote nafasi kwa faida ya timu
Mkuu nafasi wote wanapata ila kinachokuja kuwatofautisha ni dakika za kucheza. Jinsi hali inavyoenda naona huu utakua msimu wa mwisho wa Giroud.
 
Olivier Giroud’s Agent Lashes Out At Frank Lampard​

Michael Manuello, the agent of Olivier Giroud has claimed that his client has been unfairly treated by Chelsea boss Frank Lampard.

The Frenchman is currently the third choice striker at Stamford Bridge- behind Tammy Abraham and Timo Werner who joined the club from RB Leipzig in the summer.

Giroud’s lack of regular game time could negatively affect his chances of gaining selection to the France team which will contest the rescheduled European Championships next year.
 
Hii ID najua ni ya shabiki fulani humu, kajibadilisha ili aweze kumshambulia Tammy na Kocha vizuri. Tammy na Kocha na baadhi ya wachezaji asiowapenda kama akina Mount wakifanya vizuri utaona inapotea
Watanzania bana tuna matatizo sana vichwani mwetu, mimi kumshambulia Abraham nalipwa Mshahara? Wewe kumtetea abraham unalipwa mshahara? Kila shabiki anatoa mawazo yake kwa jinsi anavyouona mpira wa timu. Chelsea wanafahamu kama kuna jukwaa la Chelsea jamii forum? Sisi hapa tunajifurahisha tuu hatuongezi wala hatupunguzi chochote kwenye timu. Tunapoteza muda tuu huu Hapa kujadili nonsense issues. Ushabiki wetu hapa hauna impact yoyote kwa timu, unajipa mastress bure
 
That is the scientific answer, kuna sehemu hata mimi nilishajibu, pamoja na Giroud kuwa bora kuliko Tammy kwa sasa bado atatumika muda mfupi tu may be msimu huu tu halafu ataachiwa aende China au Marekani, Tammy anayo safari ndefu na kila dalili ya kuwa best striker ameonyesha. Pia Tammy anapewa dakika kwa sababu ya injury ya pulisic na hiyo nafasi ni ya Timo Werner wala sio Giroud au Tammy. Ila bado nasisitiza, Kocha awape wote nafasi kwa faida ya timu
Mchezaji mzuri wa mbeleni utamuona tu, mfano Gilmour au mount watakuja kuwa wakali sana huko siku za usoni, ila sio kwa huyo ngongoti. Sijui mnaona nini kwa huyo jamaa ambacho mimi sikioni.
 
Watanzania bana tuna matatizo sana vichwani mwetu, mimi kumshambulia Abraham nalipwa Mshahara? Wewe kumtetea abraham unalipwa mshahara? Kila shabiki anatoa mawazo yake kwa jinsi anavyouona mpira wa timu. Chelsea wanafahamu kama kuna jukwaa la Chelsea jamii forum? Sisi hapa tunajifurahisha tuu hatuongezi wala hatupunguzi chochote kwenye timu. Tunapoteza muda tuu huu Hapa kujadili nonsense issues. Ushabiki wetu hapa hauna impact yoyote kwa timu, unajipa mastress bure
Hahahaha. Imeisha hiyooo
 
Siwezi kumchukia mchezaji ikiwa toka amesajiliwa naona contrubution yake ni kubwa kwa kutupa makombe pia kutusaidia kushinda mechi muhimu. Labda ni kurahisishie wachezaji ninaowachukia mimi ni wale wavivu lakini wana vipaji vya hali ya juu mfano Willian, Alonso.

Ila niwie radhi mimi sikujua kama mnafanya comparison kati ya Tammy na Giroud. Kwa ufupi ulishatokea mjadala kama huu wiki chache zilizopita ila nyie ID mpya hamfuatilii mnaongozwa na mihemuko na katika mjadala huo mimi nilisema Giroud is far way better than Tammy lakini Giroud hakuwa kuwa bora katika huu umri alonao Tammy. Kitu ambacho fans wengi akili fupi wanashindwa kumuelewa Lampard ni kwamba Tammy ni long term project plan ndio maana anapata nafasi zaidi lakini haimaanishi Giroud ni mbovu kwa Tammy.

Ninacho ona Lampard anaamini kwa kufanya hivyo ni kuongeza na kukuza kipaji cha huyu dogo lakini wale wa mikurupuko hawalioni hili wao ni kulalama tu.
Mkuu umeongea vyema sana

Tushasahau yaliyotutokea kwa kdb na salah
 
Mchezaji mzuri wa mbeleni utamuona tu, mfano Gilmour au mount watakuja kuwa wakali sana huko siku za usoni, ila sio kwa huyo ngongoti. Sijui mnaona nini kwa huyo jamaa ambacho mimi sikioni.
The world is difficult to the blind
 
Watu wanalalamika sana utazan Abraham kacheza mechi zote wamesahau kuna mechi Werner ndo alikua anaanz Kama striker
Hakuna anaebish kuwa giroud ni mzuri ila kutumia kigezo Cha Abraham kuchez ndo kinamaanish koch mbovu uo ni ujinga
Uwez mjudge koch kisa mchezaji fulani
 
Siku tukishinda utaskia kocha anabebwa na wachezaji

Siki tukifungwa utaskia kocha mbov hana mbinu

Kuna mashabiki humu ni wanaishi kwa kutapatapa
 
Abraham anapata nafasi ya kucheza Kwa sababu anacheza na mafundi Ziyech, Werner ambao wanatengeza nafasi na kufunga, Abraham pale mbele yupo Kama bosheni. Tusingekuwa na hao mafundi Giroud angepewa nafasi kwa sababu ni mpambanaji na anafunga magoli magumu anasecure point 3 muhimu. Magoli anayofunga Abraham anabahatisha ni mepesi sana hata mama mjamzito anafunga. Hawezi kumtegemea Abraham Kwenye kuamua Mechi. Kwa sasa anacheza kwa kujifurahisha, timu inapata matokeo hata asipogusa mpira
Mwamba umeongea point kubwa Sana nakuunga mkono kwa asilimia 💯
 
Mbali na ukweli mchungu kuwa Giroud ni bora kuliko Abraham lakini haiondoi ukweli kuwa Lampard anatengeneza long term planning kwa Chelsea na Tammy Abraham ili aje awe mchezaji bora huko mbeleni lkn si kwa mwaka m1 au miwili ijayo tu.

Kelvin De Brune na Mohamed Salah walichukuliwa poa mno na kuachwa Chelsea lkn sasa hivi tunaona moto wake jinsi wanavyong'aa ktk soka bora baada ya kuaminiwa na kupewa muda wa kutosha na akina Klopp na Pep.

Kumbukeni hata Raheem Sterling naye alikuwaga kimeo vivyo hivyo akiwa Liverpool lkn Pep alimuamini kwa kumpatia muda mwingi wa kucheza hatimaye alikuja kutisha na kuwa mchezaji tegemezi ktk kikosi cha Man City na hata England National Team.

Nawaomba washabiki wezangu tuendelee kuwa na uvumilivu tusiwe na mihemuko na Kocha wala Wachezaji kwa kutaka mafanikio ya haraka haraka.

Ilivyomgharimu Juggen Klop kutengeneza timu kwa zaidi ya misimu mi3-mi4 kuisuka Liverpool hadi ikawa na football chemistry nzuri England hadi Ulaya nzima ndivyo pia inapaswa kumvumilia Lampard ambaye hajamaliza hata msimu m1 na wachezaji aliowasajili.

Ikumbukwe usajili wa wachezaji wapya zaidi ya 8, watahitaji muda wa kumuelewa kocha na kuzoeana ndipo tutamtendea haki Lampard kumuhukumu ubora na ubaya wake.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la lampard afanyi fair treatment na ndio maana watu wanamchukia HIV mpaka leo Giroud wakutocheza hata game 1 kweli epl na ameenda mbali mpaka game ya fa challenge ameshindwa kumpa nafasi kwa upuuzi Huu Nani atauvumilia Kama lengo Ni kutengeneza team ya ushindani kupitia vijana kama issue Ni hiyo kwanini asimpige benchi Ziyech ambaye ana miaka 27 alafu ampe odoi mechi time ambaye ana 21 au amuweke benchi Kante ambaye ana 29 alafu ampe nafasi kinda wa academy huko au Billy gilmour.Acha kutetea upuuzi wa Lampard Kama amtumii Giroud alimuongezea mkataba wa Nini?
lembu
Bigger than life
Cash Money Forever
Mkohoti
 
uyo bill si aliumia ndo kwanz saiz katoka majeruhi na ataanz kucheza kwanz timu ya vijana
Unakuja kwa odoi unsem odoi achezi

Nahici ujui kwamba adi saiz odoi Ana goli moja uefa so ukisem odoi pia achezi bro I think chuki yako inkufany adi usau kuwa kun watu wanacheza maybe huwa unchk gemu chche tu za Chelsea
 
Katika kocha aliyewahi/kuifundisha Chelsea mashabiki wakatokea kumchukia ni Lampard, Lampard amevunja rekodi ya club ya kuchukiwa na mashabiki. Kocha wa baridiiiiiiii kimbinu, kimipango, kimaono, kimkakati, kimvuto, kiufundishaji, matokeo n.k amefeli kila idara. Mbaya zaidi kocha anakichwa kigumuu kama jiwe. Lampard hata ashinde makombe 100 Chelsea hayana mzuka wowote Kama makombe tulioshinda na Morihno na conte.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom