Hata wachambuzi wa mchezo huu kwenye TV1 ya Spain walisema hivyo hivyo - hawana Plan B. Ndio sababu waliyokuwa wanaiadhibu R.Madrid lakini angalau kwa mara hii Mourinho aliwatolea uvivu.shida ya Barca...ni very conservative na footballing policy yao...keep and pass the ball mpaka nafasi itokee, huwa hawana plan B, kwa hiyo ukicheza na watu wanaojua kucheza zonal marking kama Chelsea, laizima wapate tabu
Hongereni sana. R. Madrid tunawasubirini.
mbona chelsea wanachukua hili kombe!
Messi kawaangusha Barca leo......Kwa kukosa Penati
halafu hata ile penalt waliyopewa Barca ni ya kipuuzi sana......Fabregas alijiangusha kirahisi sana.....na ndio maana wakakosa.........waongo sana hawa Barca...........leo eti wanajifanya kusema eti.....cheating is bad!.......bad my foot!.......mi namkumbuka sana kocha wao....naye wakati wake alikuwa ni cheater wa ajabu.....pamoja na kwamba alikuwa mchezaji mzuri..........
Barca wanafaa wakacheze Basketball......maana nimafundi wa ku-screen na ku-cheat.....kule zinaruhusiwa..........damn it!
Goli la 8 Torres anaifunga Barca kwa mechi 11
Di Matteo alifanya vyema kumuingiza Torres...(Drogba alikuw aamechoka mbaya baada ya kuhamia kucheza defence na pia acheze mbele).....kwani jamaa ana historia ya kuwafunga mara nyingi wakutanapo naye........
Chelsea anachukua FA na pia anachukua U-Champions -L...........it does not matter aje Real au Munich.......ndio mtamjua Torres ni nani kwenye soka...........
leo naona peasant atalala nje...
Chama ninazo mbili, ndizo zilikuwa zikiumana leo.
Sijacheka sijalia.
Leo mnakusanya virago vyenu majirani.
Haya haya haya wale wazee kusanyeni vilivyo vyenu mjiandae kurudi kwenu!
hongera sana kaka, kama nakuona vle ulivo happy, kiroho safi nawasapoti nyie watu mwanzo mwisho, ukindoa manure mm epl nina damu yenu kwa mbaaaaaaaaaaali.hhahahahahahaaaaaaa!!!! egg on your face, loser!!!!!!