Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,274
- 4,549
watabiri hawaamini macho yaoNa imeisha bila sare wala red card. The blues tanaanza kujipata.
watabiri hawaamini macho yaoNa imeisha bila sare wala red card. The blues tanaanza kujipata.
Alikuwa anacheza beki wa kati na left back ila sio wingbackKwani kipindi yuko Ajax si alikuwa Beki wa kati yule?
Na bado roho zitawauma sana tu.watabiri hawaamini macho yao
Msimsifie huyo mzee sana kipimo kikiwa Bournemouth ambae hajashinda mechi yoyote msimu huu.
Mechi mbili mfululizo, Alonso amepanga 4-4-2 au 4-2-3-1. Ni watu tu wamekaririGame ya Leo tumecheza kikubwa sana baada ya ujio wa Caicedo team yetu imeimarika sana nilichopenda Alonso anawabadilisha wachezaji position ndani mchezo Neto na Hato hawachezi wingback kwa asimilia 100 Kuna wakati Hato anakuwa kama left back in back 4 sometime wingback same to Neto hii imewachanga wapinzani tukiendelea hivi clean sheet zitapatikana sana
Nafasi kwa Mike Penders yakutuonesha ingawa Sina wasiwasi nae ni Kipa mzuri lakini kwenye hizo mechi atakazokosekana Martinez inabidi awe bora sana kiasi ambacho Emil Martinez hasionekane ni pengo ni kama alichofanya Hato jana na kizuri Alonso kaweza kutumia vizuriEmiliano Martinez kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Asanteni kwa jumbe zenu, Operesheni imeenda vizuri. Jambo muhimu ni kwamba tumeshinda tena kwa clean sheet.
Tutarudi tena kwenye wiki chache zijazo
View attachment 3692742
Hatimaye Caicedo kapata partnership nzuri pale Kati hiki ndicho tulikuwa tuna kosa kwenye middle ya Enzo na CaicedoMechi mbili mfululizo, Alonso amepanga 4-4-2 au 4-2-3-1. Ni watu tu wamekariri
YES, Henderson anafanya run nyingi sana kwa hiyo Caicedo anapata fursa ya kama DM, Enzo alikiwa akinasa kule mbele harudi kusaidiaHatimaye Caicedo kapata partnership nzuri pale Kati hiki ndicho tulikuwa tuna kosa kwenye middle ya Enzo na Caicedo
Hapa najiuliza hivi kama James akirudi kwa hii performance ya Henderson sijui itakuaje na kumbuka huyu camptain wetu au Kocha atampeleka kwenye nafasi ya beki??YES, Henderson anafanya run nyingi sana kwa hiyo Caicedo anapata fursa ya kama DM, Enzo alikiwa akinasa kule mbele harudi kusaidia
James mtumishi hewa.Hapa najiuliza hivi kama James akirudi kwa hii performance ya Henderson sijui itakuaje na kumbuka huyu camptain wetu au Kocha atampeleka kwenye nafasi ya beki??
Inavyoonekana Jordan Henderson ameingia na kuziba nafasi ya Granit Xhaka bure kabisa — zero transfer fee, full impact. Chelsea wamepata leadership ya mzee bila hata kufungua wallet.Hapa najiuliza hivi kama James akirudi kwa hii performance ya Henderson sijui itakuaje na kumbuka huyu camptain wetu au Kocha atampeleka kwenye nafasi ya beki??