Nani huyo?Jamaa anajituma
Ila mkuu kusema ukweli IN THE RESTART OF THE SEASON from the pandemic break ...Giroud na christian pulisic ndo walikuwa wachezaji wetu hatari sana wakifuatia kwa mbali na willian so MTU akisema bila magoli ya giroud tusingeingia top 4 namuunga mkono kabisa man.....Abraham kafunga magoli mengi sana kabla ya pandemic break though naye ana mchango kiasi chake.....ila GIROUD alituokoa sana...........Nyie watu mnaniahangaza sana yan unasema bila magoli ya Giroud tusingeingia top four yan unasema as if halikua jukumu lake kufunga. Halafu pia unamasahau Tammy aliyeweka kambani magoli 15.
Yan bado mna ushamba wa kusema Lamps anapendelea waingereza wenzake mnasahau kuna wakati kina James, Tomori na Mount walikua wanakaa bench? Alooo mnakera kwa sababu mnamihemuko ya chuki hamfuatilii vizuri timu yenu.
Kwani lampard kashaondoka?Nitatoa lile bomu la mustafi![]()

Kama ww unavyofikir arse88 ni timu kubwa.Ama kweli.![]()
Mwisho wa siku kocha anajua anachokifranya na ndio maana kaajiriwa yeye kuwa kocha na sio sisi huku ushenziniMimi sitetei Giroud eti acheze. Wakati Gaucho Ronaldinho anapigwa benchi ili Messi apate nafasi hakuna aliyemwelewa vzr Guadiola. Kilichotekea baadae ni stori
Abrahama alifanya kazi yake nzuri na ni mwehu tu atakayepinga, ila Giroud kaokoa jahazi sana na haifai pia kupinga hilo. Shime kocha awashindanishe Abrahyama na Giroud sio kumuweka tu Abraham anafunga goli kwa manati sana tangu Aflop wakati ule wa januari mwaka huuIla mkuu kusema ukweli IN THE RESTART OF THE SEASON from the pandemic break ...Giroud na christian pulisic ndo walikuwa wachezaji wetu hatari sana wakifuatia kwa mbali na willian so MTU akisema bila magoli ya giroud tusingeingia top 4 namuunga mkono kabisa man.....Abraham kafunga magoli mengi sana kabla ya pandemic break though naye ana mchango kiasi chake.....ila GIROUD alituokoa sana...........
Alimiza wajibu wake kama ilivyohitajika. Kusema alituokoa ni kama vile haikua wajibu wake kufanya vile, so kaili hiyo inaashiria Giroud alitufanyia hisani kufunga yal magoli.Ila mkuu kusema ukweli IN THE RESTART OF THE SEASON from the pandemic break ...Giroud na christian pulisic ndo walikuwa wachezaji wetu hatari sana wakifuatia kwa mbali na willian so MTU akisema bila magoli ya giroud tusingeingia top 4 namuunga mkono kabisa man.....Abraham kafunga magoli mengi sana kabla ya pandemic break though naye ana mchango kiasi chake.....ila GIROUD alituokoa sana...........
Tunajua vizuri mchezaji yoyote huwa ana atruggle mno kurudisha kiwango chake baada ya injury ndio kilichotokea kwa Tammy.Abrahama alifanya kazi yake nzuri na ni mwehu tu atakayepinga, ila Giroud kaokoa jahazi sana na haifai pia kupinga hilo. Shime kocha awashindanishe Abrahyama na Giroud sio kumuweka tu Abraham anafunga goli kwa manati sana tangu Aflop wakati ule wa januari mwaka huu
Wewe una chuki na Giroud weather you like or not Giroud is better than AbrahamTunajua vizuri mchezaji yoyote huwa ana atruggle mno kurudisha kiwango chake baada ya injury ndio kilichotokea kwa Tammy.
Siwezi kumchukia mchezaji ikiwa toka amesajiliwa naona contrubution yake ni kubwa kwa kutupa makombe pia kutusaidia kushinda mechi muhimu. Labda ni kurahisishie wachezaji ninaowachukia mimi ni wale wavivu lakini wana vipaji vya hali ya juu mfano Willian, Alonso.Wewe una chuki na Giroud weather you like or not Giroud is better than Abraham
Mkuu kwenye wachezaji wa mpira wa miguu Abraham hakustahili kuwepo kwenye huu mchezo. Abraham alifaa kuwa mwanariadha. Analazimisha sana ila mpira haumtaki hana kipaji cha mpira kabisa.Tunajua vizuri mchezaji yoyote huwa ana atruggle mno kurudisha kiwango chake baada ya injury ndio kilichotokea kwa Tammy.
Mkuu tumefundishwa kuheshimu maoni ya mtu hata kama ni mabaya au mazuri kwa sababu tunatofautiana uwezo wa kufikiri pia hatujui unapotoa comment upo katika hali ya namna gani. Naweza kulaumu kumbe ni mtoto wako ndio kaahika simu.Mkuu kwenye wachezaji wa mpira wa miguu Abraham hakustahili kuwepo kwenye huu mchezo. Abraham alifaa kuwa mwanariadha. Analazimisha sana ila mpira haumtaki hana kipaji cha mpira kabisa.
Comments za hiv huwa sisomiAbraham anapata nafasi ya kucheza Kwa sababu anacheza na mafundi Ziyech, Werner ambao wanatengeza nafasi na kufunga, Abraham pale mbele yupo Kama bosheni. Tusingekuwa na hao mafundi Giroud angepewa nafasi kwa sababu ni mpambanaji na anafunga magoli magumu anasecure point 3 muhimu. Magoli anayofunga Abraham anabahatisha ni mepesi sana hata mama mjamzito anafunga. Hawezi kumtegemea Abraham Kwenye kuamua Mechi. Kwa sasa anacheza kwa kujifurahisha, timu inapata matokeo hata asipogusa mpira
That is the scientific answer, kuna sehemu hata mimi nilishajibu, pamoja na Giroud kuwa bora kuliko Tammy kwa sasa bado atatumika muda mfupi tu may be msimu huu tu halafu ataachiwa aende China au Marekani, Tammy anayo safari ndefu na kila dalili ya kuwa best striker ameonyesha. Pia Tammy anapewa dakika kwa sababu ya injury ya pulisic na hiyo nafasi ni ya Timo Werner wala sio Giroud au Tammy. Ila bado nasisitiza, Kocha awape wote nafasi kwa faida ya timuSiwezi kumchukia mchezaji ikiwa toka amesajiliwa naona contrubution yake ni kubwa kwa kutupa makombe pia kutusaidia kushinda mechi muhimu. Labda ni kurahisishie wachezaji ninaowachukia mimi ni wale wavivu lakini wana vipaji vya hali ya juu mfano Willian, Alonso.
Ila niwie radhi mimi sikujua kama mnafanya comparison kati ya Tammy na Giroud. Kwa ufupi ulishatokea mjadala kama huu wiki chache zilizopita ila nyie ID mpya hamfuatilii mnaongozwa na mihemuko na katika mjadala huo mimi nilisema Giroud is far way better than Tammy lakini Giroud hakuwa kuwa bora katika huu umri alonao Tammy. Kitu ambacho fans wengi akili fupi wanashindwa kumuelewa Lampard ni kwamba Tammy ni long term project plan ndio maana anapata nafasi zaidi lakini haimaanishi Giroud ni mbovu kwa Tammy.
Ninacho ona Lampard anaamini kwa kufanya hivyo ni kuongeza na kukuza kipaji cha huyu dogo lakini wale wa mikurupuko hawalioni hili wao ni kulalama tu.
Hii ID najua ni ya shabiki fulani humu, kajibadilisha ili aweze kumshambulia Tammy na Kocha vizuri. Tammy na Kocha na baadhi ya wachezaji asiowapenda kama akina Mount wakifanya vizuri utaona inapoteaAbraham anapata nafasi ya kucheza Kwa sababu anacheza na mafundi Ziyech, Werner ambao wanatengeza nafasi na kufunga, Abraham pale mbele yupo Kama bosheni. Tusingekuwa na hao mafundi Giroud angepewa nafasi kwa sababu ni mpambanaji na anafunga magoli magumu anasecure point 3 muhimu. Magoli anayofunga Abraham anabahatisha ni mepesi sana hata mama mjamzito anafunga. Hawezi kumtegemea Abraham Kwenye kuamua Mechi. Kwa sasa anacheza kwa kujifurahisha, timu inapata matokeo hata asipogusa mpira
Nimeshamjua ni nani, punde nitamtaja tuHizi ID 3 unaweza kuta ni mtu mmoja ameamua kucheza na akili zetu. Keep It Up Bro