Tactical manager mpe timu mbovu utamjua, Alegri kaifundisha Juve yenye talent kuliko timu zote za Serie A, ndio maana kwenye UEFA hakutoboa
Hili sio sawa.
Kutumia team mbovu kumpima coach tactic nounces zake?
By the way hao ma coach kufundisha team nzuri sio kitu kilikuja kama grant kwao...they earned that right.
Kama unaamini Pep, Klopp anatakiwa akafundishe team mbovu (akina Everton na mid table teams zingine?) hiyo ni biased opinion.
Carlo alifika huko Everton baada ya ku deteriorate kama miongoni mwa elites managers.
Kwa maneno mengine, sio kwamba kuna team kubwa ilimuhitaji Carlo akakataa kwa minajil kwamba anaenda kudhihirisha u tactical elite wake.
Kama umeshindwa kufahamu tactical levels za Klopp na Pep unasubiri wafike kwenye decline phase ya managerial life circle yao then team kubwa ziwapige chini watimkie huko Westham na wenzake.... you're getting it all wrong.
I can't believe ni kwa namna gani umeshindwa ku realize namna Klopp amei re define 4:3:3 with a lot of tactical inputs...ama unaiona hii 4:3:3 yake ni ile iliyozoeleka siku zote?
Pep, hii false 9 unaiona siku hizi, ilikuwepo before, lakini hakuna coach aliyewahi kuipa new breathing life kama Pep mapema 2009...with loads of tactical inputs kuifanya kuwa maarufu tena duniani baada ya kutumika miaka ya 80 watu wakai dump
Allegri, achana na Italy, unazungumzia coach aliyefika final 2 za UEFA akiwa na wachezaji kama Cuadrado.
Sasa unapozungumzia yeye kuto kutoboa UEFA, unazungumzia coach aliyefungwa final na Barca yenye inform MSN na Madrid yenye in form BBC.
Sio jukum langu, ila nakushauri ufanye home work zaidi kujua kwamba a good tactical coach anakua na indicators zipi.
Ama uanzie kwenye kufahamu kwanza tactics ni nini haswa kwenye football. Ni rahisi kuchanganya tactics na techniques japo zote zinatumika kwenye soka....well, in a single match