Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Umetapiliwa kijana, arsenal sio timu kubwa , (labda hiyo zamani)
Chama kubwa forever lile, siku ikitokea timu itakayobeba golden trophy [emoji471] kwa kuvunja record ya unbeaten ndio ntakubali usemi wako
 
Good news
Ben Chilwell ni mzima buheri wa afya na ameshiriki kwenye mazoezi ya timu yake ya Taifa leo
 
Wenger wakati anamweka benchi alikuwa haboi? Hivi style ya uchezaji wa Chelsea unaona inamfaa Giroud? Kila aina ya mpira ina wachezaji wake
Giroud Ni mzuri kwenye link up kitu ambacho kinafit kwa Sasa hiv lakini pia upigaji wa cross wa Ziyech Ni faida pia kwa Giroud sambamba na cross zile za Benchillwel kitampa faida Sana Giroud tatizo la kocha wako anachuki Binafsi na Giroud anaona akimpa nafasi Giroud mwingereza mwenzake Abraham atakosa nafasi.Kumbuka pia bila magoals ya Giroud sisi tusingeingia big 4 msimu Huu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom