Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wewe sheikh Yahya? Leicester walisemaga hivihivi mwisho akautwaa ubingwa, soka halipo hivyo,
Ubishi ubishi
Shida yako ww huelewi nachokimaanisha. Nimesema tutaanza kuwasema Villa pengine baada ya nusu ya mechi 38 aiyo sasa. Kwangu mimi bado atakua relegator mpaka hapo baada ya mechi 19-20 kama atakua ivi ivi nitabadili mawazo.
 
Sijasema ni mchezaji mbaya ila kumlinganisha na Son ni kumdhalilisha Son
Huyo Pulisic hata awe fit asilimia mia hawezi kumfikia Son, msijidanganye
Pulisic ndio kwanza ana miaka 20 mkuu wakati Son ana zaidi ya miaka mitatu kwenye premier League . Tumpe dogo muda tu atakua wa moto kama au zaidi ya son.
 
Nafasi anayocheza Pulisic na aina yake ya uchezaji kuforce kukatiza ngome za adui lazima ale makwanja mengi.

Hazard alikuwa anakula mabuti lakini miguu na mifupa yake iko very strong compaired na Pulisic.

Jack Grelish wa Villa anakula mabuti sana mifupa yake iko strong sana.

Labda Pulisic abadilishe style yake ya uchezaji la sivyo kwa mabeki wa EPL atalazwa sana Hospital

Kante sasa hivi amepona. Asichezeshwe tena attacking Mildfilder walikuwa wanagonga sana miguu. Akicheza DM yeye ndio anapiga mabuti.
Sidhani kama issue ni ugumu wa mifupa, unapopata injury haina maana mfupa umevunjika. Issue hapa kuna wachezaji hawana techniques za kukwepa injury, Pulisic akiwa ni mmoja wao. Kocha ndio kazi yake kuwapa mbinu wachezaji wasipate unneceesary injuries. Lampard kashasema atamsaidia Pulisic ili injuries zipungue
MIFUPA KUWA MICHANGA HAINA UHUSIANO NA INJURIES MAN
 
Pulisic akichezewa rafu anazochezewa Grelish si atakufa. Pulisic anakwepa injury kwa kasi ya ukimbiaji, akipunguza kasi amekwisha. Hazard alikuwa anamiliki mpira, piga buti unavyoweza anasonga mbele.

Pulisic kupunguza injury ni kucheza na space ambazo ziko wazi.
-Lakini sio issue ya mifupa point yangu ya msingi ni hapo
 
Pulisic akichezewa rafu anazochezewa Grelish si atakufa. Pulisic anakwepa injury kwa kasi ya ukimbiaji, akipunguza kasi amekwisha. Hazard alikuwa anamiliki mpira, piga buti unavyoweza anasonga mbele.

Pulisic kupunguza injury ni kucheza na space ambazo ziko wazi.
Huyu jack anagongwa buti si mchezo, lembu anakwambia umefufukia ktk intaneshino breki. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hiki kitimu baada ya kumaliza kucheza na Relegators na kupata viushindi naona kumbikumbi zimejaa tayari sasa msako unaanza upya na watu watatangaza kuacha kuingia humu mpaka lampard afukuzwe.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wengine watazamia kule siasani na chit chat kwa muda kama kawaida yao,

Na wachache kule jukwaa la mapishi, nitaanza kampeni ya kuwafokonyoa huko huko na kuwarudisha hapa,

Maana wengine walishaandika barua rasmi ya kuaga ila wamejirudisha kimyakimya bila utenguzi wa barua zao,... [emoji23] [emoji23] [emoji23] Attachments zinakuja........
 
Mkuu ungemtaja na Aston Vila pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Point yako ni nini labda?
Mimi nimezungumzia mechi n Relegators lakini wewe unataja Aston Villas, hivi unajifundisha kuvuta bange?
Yes, sikumtaja Aston Villa kwasababu sio Relegator! Kuna swali?
 
Mkuu kwani zile 7 zilikuwa za msimu uliopita?

Liverpool 2 Vs Aston Villa 7

Arsenal 0 vs Aston Villa 3

Aston villa ni kiboko wa Liverpool na Arsenal kawatandika kule kule kwako bila huruma

Unajua tunachokizungumzia lakini?
 
Pulisic akichezewa rafu anazochezewa Grelish si atakufa. Pulisic anakwepa injury kwa kasi ya ukimbiaji, akipunguza kasi amekwisha. Hazard alikuwa anamiliki mpira, piga buti unavyoweza anasonga mbele. Pulisic kupunguza injury ni kucheza na space ambazo ziko wazi.
Halafu kiuzoefu usimlinganishe Pulisic na Grealish na vitu viwili tofauti, mmoja ana umri mkubwa na uzoefu kwenye EPL na football kwa ujumla. Grealish ana miaka 25Pulisic anajifunza mbinu zote bado. Muache hizo comparison zisizotakiwa.
 
Wivu ndio nini, hebu toa akili zenu mbovmbovu, inatakiwa uwe kichaa wa kiwango ili ukomae kusema pulisic ni zaidi ya Son
Huyu pulisic injury tu zinamzingua ila ni mchezaji hatari .....msimu uliopita tu alicheza mechi chache zaidi ya son lkn akatoka na goli 9 na huyo son aliyecheza mechi nyingi zaidi akiwa fit katoka na goli 11 .mi ningemuona hatari zaidi km angetoka na 15+ huko...so kusema huyu ni hatari zaidi ya wenzake baina ya hawa wawili nakataa kabisa
 
Hakim Ziyech atumbukiza mawili kwenye ushindi mnono wa goli 4-1 ya Morocco dhidi ya AFrika ya Kati
 
Liverpool

Halafu kiuzoefu usimlinganishe Pulisic na Grealish na vitu viwili tofauti, mmoja ana umri mkubwa na uzoefu kwenye EPL na football kwa ujumla. Grealish ana miaka 25Pulisic anajifunza mbinu zote bado. Muache hizo comparison zisizotakiwa.
Mkuu pulisic kakichafua sana huko akiwa na miaka 18 na kina dembele wa barca enzi hizo wako dortmund ...kashacheza sana uefa ana uzoefu wa champions league kuliko hata grealish iweje useme hana uzoefu ktk football kwa ujumla.....huyu grealish labda kamzidi uzoefu championship au labda alicheza EPL na timu nyingine m sijui
 
Wachezaji wa Chelsea wang'ara England National Team dhidi ya Ireland

England vs Ireland 3-0

Ratings

  1. Nick Pope - 6
  2. Reece James - 8
  3. Michael Keane - 7
  4. Harry Maguire - 7
  5. Tyrone Mings - 7
  6. Bukayo Saka - 8
  7. Harry Winks - 7
  8. Mason Mount - 9
  9. Jadon Sancho - 8
  10. Dominic Calvert-Lewin - 7
  11. Jack Grealish - 9
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom