Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kacheza mechi chache mno na sasa unamuona anacheza ni kwa sababu Pulisic hayupo ndio maana Timo anacheza kushoto dogo anasimama kati. Nadhani akipata playing time ya kutosha wote mtakubali Tammy ni potential kubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tammy ana safari ndefu sana ya kuja kufikia kiwango cha Chelsea striker. Itadepend na nidhamu yake kwenye kujifunza na kujituma zaidi
 
1 GIROUD = 100 ABRAHAMS.
This comment is too extreme. Giroud ana miaka 34 na Tammy ana miaka 23 Kwa graph ya ubora Giroud ana fade away na Abraham anakua. Anaweza asifikie viwango vya Chelsea striker ila kwa Giroud = 100 Abrahams umeenda mbali sana. Abraham na Giroud hawawezi kwa sasa kuwa 1st striker wa kutegemewa Chelsea kwa sababu uwezo wao wa kufunga ni mdogo. Mimi nawaona wako level moja ya midtable teams wakijitahidi sana Europa teams.
 
This is Chelsea
Whether you like or not😎😎
#tutaendeleaKuwakera.
#CFC 💙💙💙
 
Niko fit
images.jpg
 
Tammy ana safari ndefu sana ya kuja kufikia kiwango cha Chelsea striker. Itadepend na nidhamu yake kwenye kujifunza na kujituma zaidi
Kati yawachezaji ninawafuatilia mmoja wao ni Tammy. Kama utakua makini jaribu kumchunguza hata discpline imeongezeka. Kwasasa bado ana struggle kumshawishi Lampard na itamchukua muda na hata kumkatisha tamaa kwa sababu anaweza akajitahidi lakini asifikie level za kina Timo na Olivier na hapo ndio kinakuja kipimo cha imani ya mchezaji kuweza kumantain juhudi yake katika situation kama hiyo.

Wachezaji wanahitaji wana psychology kuhandle situation kama hiyo otherwise tunaweza kumpoteza kisoka au akaondoka Chelsea na hapo ndio tutajuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 GIROUD = 100 ABRAHAMS.
Ni kweli kabisa kwa maono yako. Giroud ana miaka 34 na Tammy ana miaka 23 mbingu na ardhi hapo. Lakini huyu Giroud alikua na kiwango hikii alichonacho Tammy? Katika ligi ya ushindani hivi?

Hatuwezi kuforce flani kuwa flani ila ni lazima tuelewe kila kitu ni process na progress. Akipewa nafasi anafanya vizuri so mi nashukuru kwa hilo. Ila Tammy ana advantage kubwa kwa sababu yupo kati ya watu wenye madini mengi kumsaidia kukuza carrier yake. Nalitambua hilo na ndio maana sijataka kuwafananisha

Tatizo kubwa la Tammy hawezi risk kufunga, hadi apate mipira milaini ndio afunge, tofauti na Giroud ana risk kufunga hadi mipira ya hatari. advantage ya Tammy ni anajua kujiposition hasa kwenye loose balls. Hata kule Championship magoli mengi yalikuwa ya namna hiyo. Na ndio maana Tammy anafunga sana kwenye timu ndogo zenye kuruhusu loose balls badala ya timu kubwa zenye backline bora. Akianza kujaribu kufunga magoli yale ya mzingira magumu atakuja kuwa best striker, ila mpaka afanye hivyo
 
Hapo mkuu umeeleza vzuri sana.......inabidi tuanze kuzitaja timu ndogo alizozifunga....mi naanza na ARSENAL tehtehteh
 
Tatizo kubwa la Tammy hawezi risk kufunga, hadi apate mipira milaini ndio afunge, tofauti na Giroud ana risk kufunga hadi mipira ya hatari. advantage ya Tammy ni anajua kujiposition hasa kwenye loose balls. Hata kule Championship magoli mengi yalikuwa ya namna hiyo. Na ndio maana Tammy anafunga sana kwenye timu ndogo zenye kuruhusu loose balls badala ya timu kubwa zenye backline bora. Akianza kujaribu kufunga magoli yale ya mzingira magumu atakuja kuwa best striker, ila mpaka afanye hivyo
Imani yangu ni kwamba ana improve kadri siku zinavyokwenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa kwa maono yako. Giroud ana miaka 34 na Tammy ana miaka 23 mbingu na ardhi hapo. Lakini huyu Giroud alikua na kiwango hikii alichonacho Tammy? Katika ligi ya ushindani hivi?

Hatuwezi kuforce flani kuwa flani ila ni lazima tuelewe kila kitu ni process na progress. Akipewa nafasi anafanya vizuri so mi nashukuru kwa hilo. Ila Tammy ana advantage kubwa kwa sababu yupo kati ya watu wenye madini mengi kumsaidia kukuza carrier yake. Nalitambua hilo na ndio maana sijataka kuwafananisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaah katika umri wa Tammy wa sasa Giroud aliipa ubingwa wa ligi Montpelier huku yeye akiwa ni top scorer akibeba golden boot,

Sema lingine,
View attachment 1623296View attachment 1623298
 
Yaaah katika umri wa Tammy wa sasa Giroud aliipa ubingwa wa ligi Montpelier huku yeye akiwa ni top scorer akibeba golden boot,

Sema lingine,
Farmers League unaweza fananisha na EPL? Tena unazungumzia ligi mwaka ya 2008-09 waandishi wa habari kipindi hicho wako concerned zaidi na EPL, La Liga kidogo na Seria A. Kipindi hicho mitandao ya kijamii ilikua facebook na twitter. Ligi ya miaka hiyo ya ufaransa ni sawa na Championship England ya sasa.

Sio kweli,
 
1 KANTE = 15 PARTEY
1 ZIYECH = 20 PEPE + 4 WILLAN
1 WERNER = 50 LACAZETE
1 THIAGO = 50 MUSTAFI + 2 LUIS
1 Gabriel = 58 thiago ,32 zouma, 48 rudiger 53 chriestsen

1 thomas = na takataka zote zinazocheza kiungo hapo chelsea + £658b
 
Tammy wa hovyo kabisa, lampard anampanga kwa kuwa ni muingereza mwenzie, kwa kocha anaejielewa giroud ndio angekua chaguo la kwanza, lampard bado sio kocha wa kutupa mafanikio yoyote. Shifield hata Arsenal vibonde wanaweza kuwafunga vile vile.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom