lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,694
- 25,910
TusubiriKwa bahati nzuri tunashinda tukiwa na mapengo hayo uliyotaja.
So, zile kelele za kuwa aliumia VVD tutapoteana kwasasa ni meaningless! Right?
TusubiriKwa bahati nzuri tunashinda tukiwa na mapengo hayo uliyotaja.
So, zile kelele za kuwa aliumia VVD tutapoteana kwasasa ni meaningless! Right?
Kwa bahati nzuri tunashinda tukiwa na mapengo hayo uliyotaja.
So, zile kelele za kuwa aliumia VVD tutapoteana kwasasa ni meaningless! Right?
Acha uboya wewe Sasa mmeziita dhaifu au relegated .?...Wewe ni bichwa box, tunaongea habari za sasa unaleta habari za baadae wewe umekuwa sheikh Yahya? [emoji23] [emoji23] [emoji23].. Kwa sasa hizo timu hazijaonja hata ushindi mmoja, unataka tuziongeleeje? Zaidi ya kuziita Dhaifu ukizicompare na nyingine katika mashındano,
Hivi ukiwa cheltyako lazima utumie matyako kufikiria hata ktk mambo madogo,
Wewe bichwa maji unajua hata kwanini hizo timu tatu zimewekwa rangi nyekundu? [emoji23] Tatizo ni mtimu unaoshabikiaAcha uboya wewe Sasa mmeziita dhaifu au relegated .?...
Kumbuka kuwa bomoabomoa ilianza kwa Crystal Palace 4-0 kimsimamo kawazidi Man city, Wolve, Arsenal na ManureWewe bichwa maji unajua hata kwanini hizo timu tatu zimewekwa rangi nyekundu? [emoji23] Tatizo ni mtimu unaoshabikiaView attachment 1624293
Yaweza kuwa pointBarkley huku kashindwa kun'gara kutokana na style plays anayofundisha Lampard na Sarr huwezi ukamfanya Barkley awe mpira pass Kama Xavi kwenye game.Strength ya Barkley Ni Kasi na counter attack ndio Aina ya mchezo wanaocheza Aston Villa ndio maana anapiga mpira mkubwa
Wewe taahira mbona unarukaruka Mada kwahyo nyie arsenyeto mkiwa hapo ni midtable team au...?Wewe bichwa maji unajua hata kwanini hizo timu tatu zimewekwa rangi nyekundu? [emoji23] Tatizo ni mtimu unaoshabikiaView attachment 1624293
Huyo tumpe mudaNauliza umuhimu wa HARVETZ kwenye kikosi cha Chelsea ni upi? Sioni umuhimu wa huyu mchezaji kabisa, akiwepo na asipokuwepo kikosini hakuna tofauti yeyote.
Watakaoendelea kuwaandama wachezaji waliosajiliwa ni vichwa maji na hakuna haja ya kubishana nao. Tutapoteza muda bure
Wote na FL viwango sawa tuFormer Spurs boss keeping close eye on Stamford Bridge in search for next job
Mauricio Pochettino is monitoring the managerial situation at Chelsea as he prepares for a return to the Premier League at some point in the future.
Puchetino ana uwezo mkubwa usimfananishe na lampard uwezo wake mdogo sana.Wote na FL viwango sawa tu
Vichwa maji. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Former Spurs boss keeping close eye on Stamford Bridge in search for next job
Mauricio Pochettino is monitoring the managerial situation at Chelsea as he prepares for a return to the Premier League at some point in the future.
Puchetino sio Kocha wa makombe ni wa kutengeneza kikosi tu Bora Chelsea ibaki na Lampard tu Kama wanataka huyo kocha.Chelsea inahitaji kocha Aina ya allegri Kama inataka Mafanikio.Puchetino ana uwezo mkubwa usimfananishe na lampard uwezo wake mdogo sana.
Duh kwann au ndo kisa kuwa injury prone?Uza Pulisic, nunua Son Min
Halafu mbona kama kaitwa timu ya taifa, na lampard anasema ni mgonjwa.Duh kwann au ndo kisa kuwa injury prone?