OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Hatari sana tunaweza beba hili kombeNaona msimu huu chalsea na liverpool wameukamia
Hatari sana tunaweza beba hili kombeNaona msimu huu chalsea na liverpool wameukamia
nilitegemea utalikwepa hili swali kwasababu hakuna wakufikia kiwango cha chris mate pulisic pale arsenal,yaani nyie yatima wa mzee wenga hamjui hata kujibu maswaliWewe umekurupukia wapi? [emoji23] Tumeiongelea arsenal au Son? Hivi ukiwa shabiki wa hiki kikundi cha wapagazi lazima uwe kichaa?
mashabiki wa arsenal ndo wanaongoza kwa kujiua duniani nashangaa wewe bado hujajitia kitanzi au unasubiria mechi ijayo na leeds 🤣🤣Wewe umekurupukia wapi? [emoji23] Tumeiongelea arsenal au Son? Hivi ukiwa shabiki wa hiki kikundi cha wapagazi lazima uwe kichaa?
Tusichanganye Philosophy, Technique na Tactics pia kuna tricksHili sio sawa.
Kutumia team mbovu kumpima coach tactic nounces zake?
By the way hao ma coach kufundisha team nzuri sio kitu kilikuja kama grant kwao...they earned that right.
Kama unaamini Pep, Klopp anatakiwa akafundishe team mbovu (akina Everton na mid table teams zingine?) hiyo ni biased opinion.
Carlo alifika huko Everton baada ya ku deteriorate kama miongoni mwa elites managers.
Kwa maneno mengine, sio kwamba kuna team kubwa ilimuhitaji Carlo akakataa kwa minajil kwamba anaenda kudhihirisha u tactical elite wake.
Kama umeshindwa kufahamu tactical levels za Klopp na Pep unasubiri wafike kwenye decline phase ya managerial life circle yao then team kubwa ziwapige chini watimkie huko Westham na wenzake.... you're getting it all wrong.
I can't believe ni kwa namna gani umeshindwa ku realize namna Klopp amei re define 4:3:3 with a lot of tactical inputs...ama unaiona hii 4:3:3 yake ni ile iliyozoeleka siku zote?
Pep, hii false 9 unaiona siku hizi, ilikuwepo before, lakini hakuna coach aliyewahi kuipa new breathing life kama Pep mapema 2009...with loads of tactical inputs kuifanya kuwa maarufu tena duniani baada ya kutumika miaka ya 80 watu wakai dump
Allegri, achana na Italy, unazungumzia coach aliyefika final 2 za UEFA akiwa na wachezaji kama Cuadrado.
Sasa unapozungumzia yeye kuto kutoboa UEFA, unazungumzia coach aliyefungwa final na Barca yenye inform MSN na Madrid yenye in form BBC.
Sio jukum langu, ila nakushauri ufanye home work zaidi kujua kwamba a good tactical coach anakua na indicators zipi.
Ama uanzie kwenye kufahamu kwanza tactics ni nini haswa kwenye football. Ni rahisi kuchanganya tactics na techniques japo zote zinatumika kwenye soka....well, in a single match
Mtoe Lampard hapo hana tracts, hana trucks, hana techniques, poor philosophy. Anatembelea ubora wa wachezaji. Lampard uwezo wake kufundisha mechi za bonanza.Tusichanganye Philosophy, Technique na Tactics pia kuna tricks
Hiyo ya formation ni mpangilio wa wachezaji kulingana na talents zao tu
- Kocha anaanza na Phylosophy mfano Lampard phylosophy yake ni Quick passing
- Inakuja Techniques - Hapa inakuja matumizi ya talents kama driblings, crossing, penalty shooting, free kick shooting, tackling etc
- Inafuata Strategy yenye ndani yake Tactics na tricks - mfano packing the bus, high pressing, counter attack, long balls etc
Yawezekana makocha wanazo zote na ndio maana wakafanikiwa, lakini mwanzo wa argument ilikuwa makocha wengine wanafaidika na talents za wachezaji hawana mbinu kubwa sana na tukamtolea mfano Lampard. Swala na Kocha mwenye mbinu mpe timu mbovu ilikuja kwa mukadha huo, muondoe hizo tallent je timu itafanya vizuri
Klopp kusajili wachezaji wazuri sioo mbinu, alipokuwa na timu mbovu alifika wapi?
Furgason angekuwa bado kocha ndie kocha pekee mwenye mbinu za kueleweka anafuatia MOU hao wengine wanatembelea tallents za wachezaji
Chilwel kaumia huko na katolewa tuombe isiwe injury kubwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Takataka kweli ni takataka, msimu umeisha Arsenąl wana CS na FA wakati nyinyi mnapiga miyayo tu, alafu unakuja kubana pua nye nye nye nye nyeeeeeeeTakataka ni arsenal hovyo kabisa, aje kocha mzuri Arsenal ni ile ile, matokeo yale yale. Mashabiki mnaishi kwa matumaini ndio maana mna hasira
La uji au la kiganga? [emoji23]Hatari sana tunaweza beba hili kombe
Hamna lolote[emoji23] [emoji23] [emoji23] Takataka kweli ni takataka, msimu umeisha Arsenąl wana CS na FA wakati nyinyi mnapiga miyayo tu, alafu unakuja kubana pua nye nye nye nye nyeeeeeee
Tumuweke MatonyaMtoe Lampard hapo hana tracts, hana trucks, hana techniques, poor philosophy. Anatembelea ubora wa wachezaji. Lampard uwezo wake kufundisha mechi za bonanza.
Wewe ni zumbukukuTumuweke Matonya
Mtoe Lampard hapo hana tracts, hana trucks, hana techniques, poor philosophy. Anatembelea ubora wa wachezaji. Lampard uwezo wake kufundisha mechi za bonanza.
😂😂😂😂La uji au la kiganga? [emoji23]
Wewe huna akili hata kidogoWewe ni zumbukuku
nyie kweli ni yatima wa mzee wenga yaani mbele ya wanaume wenzio unajivunia community shield na FA 🤣🤣🤣[emoji23] [emoji23] [emoji23] Takataka kweli ni takataka, msimu umeisha Arsenąl wana CS na FA wakati nyinyi mnapiga miyayo tu, alafu unakuja kubana pua nye nye nye nye nyeeeeeee
Hata usimshangae ndio mafanikio y mid table teams.nyie kweli ni yatima wa mzee wenga yaani mbele ya wanaume wenzio unajivunia community shield na FA 🤣🤣🤣