Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tukubaliane hapa, huyu Ross Barkley wa Aston Villa sio yule wa Chelsea aliyekatiwa jina la muoka mikate
Aston Villa wanacheza mpira wa kasi sana na acuracy ya hali ya juu na Barkley aliyekuwa very slow huku kule kaendana na kasi ya Dean Smith na kuiwezesha Aston Villa kushinda mechi zake zote za ugenini kwa mara ya kwanza ktk historia ya hiyo klabu. Barkley amekuwa ni sehemu ya first 11 ya Dean Smith na mara zote aidha afunge au atoe assist
 
Kinachomfanya Silva ajitume zaidi kuhakikisha Chelsea inafanikiwa ni hii picha aliyotumiwa na Lampard kama suprise kupitia whatsapp
1605083931530.png

“It was a big surprise for me, because I didn’t remember that game.
“I certainly didn’t hesitate to be coached by him. I’m happy that he enjoyed my work so much, I hope to do it in the best possible way to help Chelsea.
“It is a source of pride to be coached by a player I played against and was one of the greatest midfielders in the world.

Frank Lampard anasema
“It is a source of pride to be coached by a player I played against and was one of the greatest midfielders in the world.
 
USHAURI WA BURE!
Kwa wahabiki wa Chelsea na Liverpool, much respect kwenu!!, hivi mnaonaje na nyinyi mkawa na THREAD yenu maalumu kwa ajili ya timu zenu?, i guess timu kama Liverpoll ni kongwe na haiwezi kosa mashabiki wengi humu JF. Kwa Chelsea AB-TICHAZ you can take that initiative or s'one else..!

Nafikiri itapendeza zaidi kuliko kuwa na ad hoc threads na pengine esp. zile zinazojitokeza kukiwa na 'supriz' na matokeo kama ya jana.

Ni mtizamo tu-Thanks!!
Haka katimu kauchochoroni😂😂😂😂
 
Habari kwa Wapenda Soccer wote!

Zile mechi zetu za Relegators Burnley na Sheffield zimeshaisha! Sasa tutarudi kufukua hili kaburi baada ya Mataifa kumalizana.
Mkuu wazeni mapengo ya timu yako bila vvd, fabinho na Trent ...sisi kushinda hzo game imekuwa nongwa ?
 
Aston Villa Relegator? In which League? Labda uwe unazungumzia Astovilla ya Mtaani kwetu Mbagala Kibondemaji.
Kwan Burnley na Sheffield ni permanent relegators.? Kwamba hyo ndo zone yao...?...hii ndo kwanza GW 8 unawaita relegators kwan nan asiyejua Aston villa waliponea kushuka drj mpk game ya mwsho ......EPL ukikaa vibaya unazabuliwa na timu yoyote tena vipigo vya ajabu km goli 7
 
Tukubaliane hapa, huyu Ross Barkley wa Aston Villa sio yule wa Chelsea aliyekatiwa jina la muoka mikate
Aston Villa wanacheza mpira wa kasi sana na acuracy ya hali ya juu na Barkley aliyekuwa very slow huku kule kaendana na kasi ya Dean Smith na kuiwezesha Aston Villa kushinda mechi zake zote za ugenini kwa mara ya kwanza ktk historia ya hiyo klabu. Barkley amekuwa ni sehemu ya first 11 ya Dean Smith na mara zote aidha afunge au atoe assist
Barkley huku kashindwa kun'gara kutokana na style plays anayofundisha Lampard na Sarr huwezi ukamfanya Barkley awe mpira pass Kama Xavi kwenye game.Strength ya Barkley Ni Kasi na counter attack ndio Aina ya mchezo wanaocheza Aston Villa ndio maana anapiga mpira mkubwa
 
Kwan Burnley na Sheffield ni permanent relegators.? Kwamba hyo ndo zone yao...?...hii ndo kwanza GW 8 unawaita relegators kwan nan asiyejua Aston villa waliponea kushuka drj mpk game ya mwsho ......EPL ukikaa vibaya unazabuliwa na timu yoyote tena vipigo vya ajabu km goli 7
Kwani burnley anashika nafasi ya ngapi katika msimamo? Kwani lazima utetee ujinga. [emoji23] [emoji23]
Mnatia uvivu kujibiwa, maana kwa mujibu wa msimamo wa ligi hao burnley na sheffield ni relegators kweli,
Mnaleta story za msimu uliopita nyie matakataka mpo sawa kweli kichwani, [emoji16]
View attachment 1624152
 
Hivi mzee umeelewa nilichokuwa namaanisha au unakulupuka .....sahv unawaita Burnley na Sheffield relegated teams na kwanza ni GW8 hivi una akili au ubongo umeota kutu.... West ham n Aston villa walispend muda wao mwingi chini lkn wakajinasua na kushuka daraja.......kwahyo msimamo wa sahv wa EPL timu NNE za juu umeshaconclude wale ndo top 4....? Au nyie arsenyeto mpo nafac ya kumi ni midtable team...?
 
Mkuu wazeni mapengo ya timu yako bila vvd, fabinho na Trent ...sisi kushinda hzo game imekuwa nongwa ?

Kwa bahati nzuri tunashinda tukiwa na mapengo hayo uliyotaja.
So, zile kelele za kuwa aliumia VVD tutapoteana kwasasa ni meaningless! Right?
 
Wewe ni bichwa box, tunaongea habari za sasa unaleta habari za baadae wewe umekuwa sheikh Yahya? [emoji23] [emoji23] [emoji23].. Kwa sasa hizo timu hazijaonja hata ushindi mmoja, unataka tuziongeleeje? Zaidi ya kuziita Dhaifu ukizicompare na nyingine katika mashındano,

Hivi ukiwa cheltyako lazima utumie matyako kufikiria hata ktk mambo madogo,
wewe ata villa awe title contender au awe relegator bado anakufumua2[emoji851]
 
Nauliza umuhimu wa HARVETZ kwenye kikosi cha Chelsea ni upi? Sioni umuhimu wa huyu mchezaji kabisa, akiwepo na asipokuwepo kikosini hakuna tofauti yeyote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom