Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tammy wa hovyo kabisa, lampard anampanga kwa kuwa ni muingereza mwenzie, kwa kocha anaejielewa giroud ndio angekua chaguo la kwanza, lampard bado sio kocha wa kutupa mafanikio yoyote. Shifield hata Arsenal vibonde wanaweza kuwafunga vile vile.
Mmeanza porojo zenu
Kwa nini asimpange Odoi
Kwa nini asimpange Drinkwater
Kwa nini asimpange Tomori
Kwa nini asimpange Barkley mpaka akaenda mkopo Aston Villa na kule anakiwasha?
Huu upuuzi wa kumsema kocha anawapendelea Waingereza bado iko tu midomoni mwa mashabiki wasio waelewa na wastaarabu, RUBBISH kabisa

Timu ikiwa haina majeruhi kabisa waingereza wanaopata namba pale ni wachache sana, wengi wao ni kutoka nje ya waingereza, Sasa mtu kama Pulisic yuko majeruhi Abrahama anapewa nafasi mnaanza kusema au ninyi ni Team Giroud

Kocha anampa muda mwingi Abrahama kwa sababu yeye ndie solution ya kudumu ya Hapo mbele tofauti na Giroud ambaye carrier yake ya mpira ndio inaelekea ukingoni
 
Habari kwa Wapenda Soccer wote!

Zile mechi zetu za Relegators Burnley na Sheffield zimeshaisha! Sasa tutarudi kufukua hili kaburi baada ya Mataifa kumalizana.
 
Tammy wa hovyo kabisa, lampard anampanga kwa kuwa ni muingereza mwenzie, kwa kocha anaejielewa giroud ndio angekua chaguo la kwanza, lampard bado sio kocha wa kutupa mafanikio yoyote. Shifield hata Arsenal vibonde wanaweza kuwafunga vile vile.
Shida mafanikio yakishatokea huwa mnapotea
 
Mmeanza porojo zenu
Kwa nini asimpange Odoi
Kwa nini asimpange Drinkwater
Kwa nini asimpange Tomori
Kwa nini asimpange Barkley mpaka akaenda mkopo Aston Villa na kule anakiwasha?
Huu upuuzi wa kumsema kocha anawapendelea Waingereza bado iko tu midomoni mwa mashabiki wasio waelewa na wastaarabu, RUBBISH kabisa

Timu ikiwa haina majeruhi kabisa waingereza wanaopata namba pale ni wachache sana, wengi wao ni kutoka nje ya waingereza, Sasa mtu kama Pulisic yuko majeruhi Abrahama anapewa nafasi mnaanza kusema au ninyi ni Team Giroud

Kocha anampa muda mwingi Abrahama kwa sababu yeye ndie solution ya kudumu ya Hapo mbele tofauti na Giroud ambaye carrier yake ya mpira ndio inaelekea ukingoni
Achana na watu wenye akili ndogo mkuu, kinachofanyika leo watakielewa angalau baada ya miaka 2
 
Yule jamaa wa Bigger Than Life pamoja na LONDON IS BLUE ambao wanaongoza kampeni ya kutomtaka Lampard darajani sasa ivi wamepotea baada ya timu kuanza kufanya vizuri. Siku tukiboronga kidogo wanakuja hapa kuanza upya kampeni zao.

TOOO PLASTIC.
 
LAMPARD: IT TAKES TIME TO BUILD RELATIONSHIPS BUT WE’RE GETTING THERE​

Frank Lampard has reiterated that on-field relationships take time to flourish and patience should be afforded to our new signings as they adapt to new team-mates, though he admits our run of four consecutive victories in all competitions indicates that progress is being made.

MOURINHO ALL-TIME XI
4-3-3

Eden Hazard - Didier Drogba - Cristiano Ronaldo

Frank Lampard - Claude Makelele - Mesut Özil

William Gallas - Ricardo Carvalho - John Terry - Javier Zanetti

Petr Cech

Amewaacha makusudi Sergio Ramos na Marcelo
Katika hiyo timu, 8 wanatoka Chelsea Wawili Real Madrid alipoifundisha 2010 na mmoja Inter Milan alipoifundisha 2009

35491006-8931393-image-a-18_1604968284746.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom