SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,444
Mausajili mengi ila kutwa kusuasuaSilva, Mendy tumeula...LAMPARD bado hana kikosi cha kwanza ..hili ni tatizo
#CFC![]()
Mausajili mengi ila kutwa kusuasuaSilva, Mendy tumeula...LAMPARD bado hana kikosi cha kwanza ..hili ni tatizo
#CFC![]()
Kipa kuwa man of the match pia ni kiashiria kuwa kuna tatizoKama mendy sio Man of the match bc watakuwa wamemkosea heshima
Bado kikosi hakijachanganyia wewe ..tulia kwanza round one ikamilike ..utakuwa jeuri yako.Mausajili mengi ila kutwa kusuasua
Na kweli taito na si title contenderBado kikosi hakijachanganyia wewe ..tulia kwanza round one ikamilike ..utakuwa jeuri yako.
Sisi ni taito Contenda.
#CFC![]()
Wewe ivyo hivyo ulivyoelewa lakini sisi tuko kwenye kinyang'anyiro cha ubingwa.😂😂😂Na kweli taito na si title contender
Mashambulizi dhidi yako + umakini wako golin = (kipa) man of the matchKipa kuwa man of the match pia ni kiashiria kuwa kuna tatizo
Ngoja hao ulowasajili wachanganyie. Naona wamekuwa blenderWewe ivyo hivyo ulivyoelewa lakini sisi tuko kwenye kinyang'anyiro cha ubingwa.![]()
Aroon na kigenge chakewajitokeze hapa kutoa maelezo.Angekuwa kepa sijui ingekuwaje hapa leo
Huu usajili wa mendy watu wengi waliubeza kwa sababh jamaa ni muafrika, kingine hajulikan ila anazid kuwanyamanzisha
Ku draw na Man u ni fedheha sana, ilipaswa tuwanyooshe hawa ndoroboNgoja hao ulowasajili wachanganyie. Naona wamekuwa blender
Mkuu ile ID mpya ni yako au?Wewe ivyo hivyo ulivyoelewa lakini sisi tuko kwenye kinyang'anyiro cha ubingwa.![]()

Ndani ya masaa mawili wewe ukiwa online ile ID nayo imepotea.Aaron Arsenal naona leo umeamua unazi uweke pembeni nilikuambia mzee Mendy mtu na nusu na huo usajili wake umefanywa na Peter cechMendy pale kuna kipa
Jamaa nimemkubali
Dah ww jamaa , Kwan Kepa sio kweli mbovu ?Aroon na kigenge chakewajitokeze hapa kutoa maelezo.


Kafanya save za world class GK , hajabahatisha , anaweza,Aaron Arsenal naona leo umeamua unazi uweke pembeni nilikuambia mzee Mendy mtu na nusu na huo usajili wake umefanywa na Peter cech
Hapana mkuu ..sinaga hizo mambo.Mkuu ile ID mpya ni yako au?Ndani ya masaa mawili wewe ukiwa online ile ID nayo imepotea.
Peter cech alisajiliwa kutoka Rennes na Chelsea pia Mendy kasajiliwa kutoka Hiyo hiyo Rennes.Kafanya save za world class GK , hajabahatisha , anaweza,
Angekuwa kepa Leo , man u wangesheherekea ,
Am just too curiousHapana mkuu ..sinaga hizo mambo.
Ndio nini?Nimechoka kujibu ili swali, uwege makini nikiwa nawajibu wenzako![]()