Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sijui kwa nini VAR hata haijaangalia hili tukio
IMG_20201024_202222.jpg
 
Wazee mmejipangaje kuzuia penalty za Man u? maana muda wowote yaweza kuibuka
 
Angekuwa kepa sijui ingekuwaje hapa leo

Huu usajili wa mendy watu wengi waliubeza kwa sababh jamaa ni muafrika, kingine hajulikan ila anazid kuwanyamanzisha

Rashford hatomsahau
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom