DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,878
[emoji23] [emoji23] [emoji23] WamekubananishaHapana mkuu ..sinaga hizo mambo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] WamekubananishaHapana mkuu ..sinaga hizo mambo.
Yule Magwaya yaani alimshindilia roba azpilicueta kama kibaka wa mwananyamala kwa mama zakariaNaona VAR haikua kazini leo
Kwa mara ya kwanza nimekuona ukiwa positive psychologically kuongea ukweli baada ya kuweka ushabiki pembeni, safi sana Chifu.Kafanya save za world class GK , hajabahatisha , anaweza,
Angekuwa kepa Leo , man u wangesheherekea ,
Tatizo huo uwanja wa OT ndiyo kikwazo cha ile mbeleko ya kutotoa penalty ya wazi kabisa lakini ingekuwa Stamford Bridge penalty ingetolewa tu bila wasiwasi wowote ule.Yule Magwaya yaani alimshindilia roba azpilicueta kama kibaka wa mwananyamala kwa mama zakariaView attachment 1611020
Leo Lampard kajitahidi japo bado hakuna muunganiko wa timu maana Wener anapambana pekee mbele bila kupea assist na mtu yeyote na hili ndiyo tatizo maana sidhani kama angekuwepo Edern Hazard asingekuwa anapata final pass assist ili afunge zaidi magoli kama sasa hivi.Wale mnaomlaum lamps mechi ya leo kosa lake ni lipi
Maana mechi ya leo tungesema tushambulie tulikuwa tunapoteza
Msim uliopita kwenye league na carabao tuliingia kwa kushambulia na tukapoteza
Vipi mechi ya leo kakosea wapi???
Siyo mimi bana😂😂😂[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wamekubananisha
Hivi hao marefa wakiona hii picha wanaonaje?
Huyu jamaa alishawahi kumpiga mbupu Batshuayi zikasambaa picha na video kamahivi lakini hakuna alichofanywa. So usitegemee lolote imepita hiyo
3-4-3 Huu mfumo Huu sio ngumu kufunga sema tu kocha wako ajui namna ya kuset vizuri eneo la ushambuliaji mbona Conte anafunga magoali mengi kea Huu mfumoHuko nyuma tuliongelea hizi formation mbili na faida na hasara zake
Formation ya 4-3-3 inapendelea mbele na kuexpose defense kwa mashambulizi. 4-3-3 inawapa fursa Pulisic na Ziyech wacheze kwa wakati mmoja na Havertz acheze CAM lakini 3-4-3 inawapendelea mabeki kwa sababu wanakuwa wengi golini (Mabeki watano) na pia inawapa Silva, ZOuma, Azpi, Chillwell na James kucheza kwa mara moja kwa sababu wote ni mabeki wazuri lakini inawanyonga kule mbele kwa sababu aidha Ziyech, Mount na Havertz anakaa benchi na pia kumlazimisha Havertz kucheza out of prefered position ndicho kilichotokea jana
Kwenye 4-3-3/4-2-3-1 lazima tufungwe ila na sisi lazima tufunge
Kwenye 3-4-3/3-4-2-1 kufungwa ni ngumu ila pia kufunga ni ngumu
Sasa Lampard ana kazi ya kuchagua kusuka au kunyoa
Tatizo jamaa anazurula sana, yupo kama Daniel James yeye anawaza mbio tu, mpaka Fred anamwambia dogo tulia kwanza,Leo Lampard kajitahidi japo bado hakuna muunganiko wa timu maana Wener anapambana pekee mbele bila kupea assist na mtu yeyote na hili ndiyo tatizo maana sidhani kama angekuwepo Edern Hazard asingekuwa anapata final pass assist ili afunge zaidi magoli kama sasa hivi.
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Kwa tim kama man utd tungesema tushambulie tulikuwa tunapotezaLampard hawezi kubalance vyote viwili kufunga bila kufungwa, hana mbinu hizo. Sasa hivi aamue kutoa draw mpaka pale atakapofukuzwa.
Timu imetumia zaidi ya £150 milioni kununua washambuliaji wanashindwa kufunga hata goli 1? Jana man u walikuwa bora wanadefence na kushambulia.
Siwezi kumpongeza Lampard kwa draw jana ukilinganisha na word class attacking players tulionao kwa sasa. Mbinu hakuna pale.
Lampard out
Akupishe wewe na nani?Lampard atupishe tu