Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ndio maana tunasema Lampard anaua vipaji. Kova mchezaji bora wa Chelsea msimu ulioisha, anampanga Jognho mzito, mzee wa kucheza rafu, mzee wa kipanik fasta na kuondoka mchezoni
Amuweke nani, Kova form yake imeshuka tangu fainali ile na Arsenal ndio maana Lampard anamkwepa Jorgonho anacheza vizuri first half tatizo lake anachoka haraka na hapo kocha anachotakiwa ni kufanya sub ya haraka tu
 
Southern Highland mbona kipengele Cha Pulisic kutochezeshwa kwenye nafasi umekikwepa kujibu hiv wewe kitu gani Cha tofauti unakiona wengine hatukioni kwa Lampard? Huyu kocha wako anamadudu mengi kiasi ambacho tunaweza kuandika hapa Kama essay
Bigger than life
Aaron Arsenal
Pulisic si ndio huyo anacheza badala ya Odoi au Ziyech kuanza. Ndio maana anacheza kulia nafasi ambayo hata Dortmund alikua anacheza ila anapofit zaidi ni kushoto
 
Line up mimi niliyonayo ni hii ya 3-4-2-1 hiyo ya Pulisic kuwekwa kulia imetoka wapi


Werner

Pulisic -----------------------------------------------Havertz

Chillwell --------- Kante --------- Jorginho ------ James

Zouma ------------------------Silva ----------------------Azpi

Mendy

Sub
  1. Caballero
  2. Rudiger
  3. Kovacic
  4. Mount
  5. Ziyech
  6. Giroud
  7. Tammy Abraham
Hii ID mpya chenga tu haijui chochote inaropoka ropoka tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom