Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tunafungwa kwenye mechi za timu ndogo huku kwenye benchi yupo Kovacic, Giroud, Alonso, Odoi halafu ndio kocha tunayetaka atupeleke vita vya dunia Liverpool, Man city, Tote, Arsenal, Man u. Vita ya kinjekitile ngwale anaishindwa ya dunia ataiweza.
 
Hivi yule oleguna akiwapiga leo tena, mtakuwa mnataka nini

Msimu umeopita kawagalagaza nje ndani, kawapa kipigo cha mbwa koko seburen kwenu darajana, akaona haitoshi akaenda chumban akamtia adabu lampard

Sasa leo inatakiwa ikiwezekana mfie uwanjan aisee

Yan oleguna atakuwa ametengeneza historia ya ajabu, misimu miwili kuwavunja daraja bila hata kumpapasa
 
Anatengeneza historia kwa Lamaprd na sio kwa timu. Tunafahamu timu yetu inayo wachezaji wazuri wa kumfunga Man u ila kocha anatuangusha. Historia itabaki ole alimfunga Lamaprd mara 5 akiwa kocha wa Chelsea.
 
Umeongea point mzee huo ndio ukweli wenyewe.
 
Most CFC fans wana mihemuko iliyopitiliza. Jitu linakuja eti leo tunafungwa utafikiri mpira una matokeo ya aina moja. Sasa ikitokea tumeshinda mtasema nini au ndio yanaanza yale maneno Lampard kabahatisha. Hebu tulieni bhana, kila mtu anaumia na haya matokeo kuanza kusema tunafungwa haimaanishi wewe ndio mwenye kuumia zaidi.

Uelewe mpira, zitambue hisia zako
 
Usilazimishe tutapigwa utafikili umetuchonga.
Sisi tuna chukua points 3 leo, nakuja kukufanyia kitu mbaya week ijayo.

Kuhusu Ole, sio mashabiki wote wanao mkataa.
Tupo wengi tu tulio na imani nae.
Mtapigwa ,mnakikos gani nyie, Chelsea wanawalamba , wiki ijayo tunakuja kuwalamba

Naona mshajisahau baada ya hizi mech 2 kuwa Ole sendeka ni mbahatishaji, mmeshasahau kampen yenu ya kumtimua
 
Ningekua Lamps..

Mfumo.. 4-1-3-2

Mendy
Cesar, Rudiger, Silva, Chilwell.

Kante.

Pulisic, Mount, Ziyech

Tammy, Timo.

Sub; Carballero, Recce, Christnsen, Jorginho, Haverts, Giroud, Odoi.

Ila Mimi sio super Frank.

Kila la kheri wanangu.. #KTBFFH #LONDONPRIDE
 
Usilazimishe tutapigwa utafikili umetuchonga.
Sisi tuna chukua points 3 leo, nakuja kukufanyia kitu mbaya week ijayo.

Kuhusu Ole, sio mashabiki wote wanao mkataa.
Tupo wengi tu tulio na imani nae.
Mkipigwa Leo utapotea ,sasa hivi jifanye una iman nae[emoji23][emoji23]

Leo labda Lampard awakosee tu , kwa beki zile za Maguire ,na lindelof mchaga , kweli akiwawekea Ziyech, Pulisic ,kai na Werner tutashihidia vituko vya Maguire Leo[emoji23]
 
Tuombe kwa Mungu Lampard amchezeshe Pulisic kwenye nafasi yake
 
Ningekua Lamps..

Mfumo.. 4-1-3-2

Mendy
Cesar, Rudiger, Silva, Chilwell.

Kante.

Pulisic, Mount, Ziyech

Tammy, Timo.

Sub; Carballero, Recce, Christnsen, Jorginho, Haverts, Giroud, Odoi.

Ila Mimi sio super Frank.

Kila la kheri wanangu.. #KTBFFH #LONDONPRIDE
Hv Kante anakuwaga bora akisimama one man army kwenye midfield mwenyewe kweli? Naona lzm wapangwe wawili au watatu ktk midfield ya 433 na ndo makocha wengi wanampanga hata deschamps
 
😍
Screenshot_20201024-155312.png
 
Tuombe kwa Mungu Lampard amchezeshe Pulisic kwenye nafasi yake
Lampard anachojua ni kuua vipaji. Pulisic anafanya vizuri upande wa kushoto, kocha anampanga kulia huku Odoi yupo benchi. Anafanya sub anamuingizia Abraham huku Giroud na magoli yake yupo benchi. Analazimisha Jogniho amalize dk 90 Huku Kovacic tuko benchi. Goli 3 zitaacha kurudi?
Lampard yupo Chelsea halafu fundi Ancellot yupo Everton hii ni dharau kwa tasnia ya ukocha.
 
Account umefungua jana tar 23/10 umeanza na comments za aina hii.

Njoo na ID yako halisi wewe una weza kuwa capital letter wa aina nyingine aliyeibuka kwa muda mfupi akapotea ghafla
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom